CCM kulichukulia hatua gazeti lililo chapisha habari za kupotosha umma

Kwanza Nape hajakana kuwepo kwa taarifa hiyo bali anadai zimetoka kabla hazijatekelezwa (prematurely).

Kwa mara nyingine ameonesha umma jinsi alivyo na uwezo mdogo (Kilaza).
 
Kwanza Nape hajakana kuwepo kwa taarifa hiyo bali anadai zimetoka kabla hazijatekelezwa (prematurely).

Kwa mara nyingine ameonesha umma jinsi alivyo na uwezo mdogo (Kilaza).

nadhani ni vyema imetangulia maana hata kama isingeletwa juzi ktk gazeti ingeletwa hata kesho,so hainashida
 
Enzi za mwalimuuu hakukuwa na upuuzi huu eti kuvuja kwa siri!!mi nadhani chama chetu kinahitaji kuvunjwa na kubadili viongozi wote na kuanza upya nahisi wengine mchana ccm usiku Cdm ndo mana wanavujisha siri walaaniwe!!
 
ktk taarifa ya habari ya TBC ya saa mbili usiku,NAPE amesema kuwa chama cha mapinduzi ccm kitalichukulia hatua gazeti linalochapishwa kila siku hapa Tz kwa kuandika habari za kupotosha umma na kutumia nyaraka ambazo ni siri na bado hazijafanyiwa kazi na chama.

sasa Umma umepotoshwa vipi kama hizo nyaraka zilikuwa zinasubiri kufanyiwa kazi na chama?
Kama hizo nyaraka ni za siri ilikuwaje zikafika kwenye Magazeti?
Instead of cursing the darkness, light a candle...!!
 
Ni jukumu la chama kulinda habari zake. Sidhani kama kuna kosa hapa kwa gazeti la mtanzania. Kosa ni lao ccm ni kuwa chama kinasambaratika hakuna umoja.
 
Mtanzania gazeti la rostam aziz, mkurugenzi husein bashe sasa ccm inawashitaki wanachama au vipi. Ngoja mtamsikia bashe atavyo mchana huyo mropokaji.
 
Hapana, anajaribu kuanza kuwa na topic mpya maana hapo awali alikuwa akikutana na waandishi wa habari mazungumzo ilikuwa kujivua gamba, sasa taratibu anajaribu kuhama katika mada ya kujivua gamba na kwenda katika mada nyingine, anajua taratibu watu watasahau na kuachana kabisa na mada ya gamba.
 
Kama chama kitaenda mahakamani
na mahakama ni za ccm,tegemeen kulikosa MTANZANIA SOK0NI
 
Back
Top Bottom