CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

Watu wengine wawe wanajipima kabla ya kuandika humu JF, CHADEMA wako makini kuliko umakini wenyewe, Bigup CHADEMA.
 
mama makinda kazi imekushinda tafadhali jivue gamba kama makamba ,na wewe umwachie mwanao kama Makamba jinga na Makamba jingajinga
 
Katibu wa CCM Idara ya siasa na Mahusiano ya kimataifa Mh. January Makamba katikati akizungumza na Mabalozi,Kulia Balozi wa Japani Hiroshi Nakagawa,Balozi wa Uswisi Adrian Schlapfer,na Balozi wa Norwegian Ingunn Klepsvik kulia kwake akiwa amefuatana na katibu wa ubalozi Veslemoy Lothe Salvesen.

Membe Sijui Anajisiaje..
 

MM nahisi kwa kutumia kanuni yako hawa jamaa wameanza na kutoa ni balaa ndo mana yamepatikana majibu yasiyo sahihi
 
Kudandia mawazo ya watu wengine.
Babu ameanzisha kikombe, sasa imekuwa vikombe kila mahali.
Wewe baada ya sisiemu kuja na utumbo wa kuvua gamba, na wewe umesharuka nayo ukifikiri watu makini wana akili za kuiga kila jambo hata bila kufanyia utafiti yakinifu.
Wacha kukalili mambo, kuwa mtafiti, sio mtu wa kuamini kila kitu ilmradi kimesemwa na mtu aliyepewa dhamana ya uongozi, chunguza busara yake kwanza.
 
we acha tu! nadhani wanafikiri ukiweka vijana sehem mbalmbali watafanikiwa kuwa teka vjana ndo nnavo fikiri moja ya maana ya kuvua gamba..
 
Mi naona wamevumbua kanuni yao ya Middle Common Denomitor(MCD), sasa tuwape muda wa-prove kama itahold true in all environment. Bora wangetumia Logic wakaachana na mahesabu sababu ni janga la kitaifa.
 
kabla hauja post fikiria kuwa tunasoma watu wenye akiri zetu, kwani fujo ilianzishwa na nani bungeni? Au haukuangalia hata bunge umerukia tu,au unaleta masuala ya DARK MARKET HAPA NA WW tena sifuti kauri yangu. Kila siku kutengua kanuni tu asa waliziweka za nini?
 

sema mura,umepata ghahawa leo?
 
CDM haijawahi kusema yenyewe ni joka, haina magamba, we vipi. Mpaka mtu anakwambia yeye sio binadamu ni joka na anamagamba bado unamg'ang'ania tu.

Joka alikuwa Idi Amini Dada
Na sasa ni CCM:hug:
Achana na CDM:drum:
 
Unatakiwa ufungwe jiwe la kusagia utupwe baharini kwa watu wenye ideas kama zako.
 

hii ni nini sasa.... kama si upunguani
 

SASA NAFIKA WAKATI WAKUJIAMINISHA KASHAGA WEWE NI MMOJA KATI YA HAO MAFISDI NDANI YA CCM WANATAKIWA KUJIUZULU HARAKA cc - ccm. KAM NIMEKUSINGIZIA JITETEE
 
Hii stail ya kuvua magamba badala ya kuzaliwa upya hatuta fika popote
 
Walianza

CCM = Chama Cha Mapinduzi
CCM = Chukua Chako Mapema
CCM = Chama Cha Majambazi
CCM = Chama Cha Mafisadi
CCM = Chaka Chua Matokeo
And the latest CCM = Chama Cha Magamba

Tusubiri kabla ya 2015 watakuja na jina gani?!
 
Hao waliojivua gamba wasubiri gamba lingine liote maana ndio tabia ya nyoka, mnayo hayo magamba na mtakufa nayo!!!!!!!!!!!!!
 
jibu hoja siyo kusema upuuzi, kwa jinsi ulivyo comment, na wewe ni yule yuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Hivi kwa mawazo yako ulichotoa ni hoja? Pole sana mkuu sio kosa lako ila kwa vile hapo Ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri. Hata ujinga ni kipaji maana sio wote waliojaliwa ujinga.
 
Kujivua gamba ni kitengo cha baadhi ya viumbe ikiwamo nyoka na wadudu.
Kitendo cha kujivua gamba kwa viumbe hivi huwa hakivibadilishi kimaumbile wala tabia zao.
Sumu au nyoka mkali huwa haibadiliki kwa vipindi, yaani akiwa na gamba anaweza udhuru zaidi kuliko akiwa na gamba lake lililokomaa.
Najiuliza mambo mengi lakini kitendo cha ccm kujivua gamba kinauhusiano gani na kubadilika kwa tabia za ufisadi na rushwa?
Nyoka habadiliki jina, sumu na tabia baada ya kujivua gamba
 

Ni kweli mkuu, ni HCF na LCM, nilipitiwa kidogo.
Mkuu Mwanakijiji, sasa kama hawakufuata kanuni za MAGAZIJUTO, hayo majibu yasiyo sahihi kwa nini yanalazimishwa kuwa halali ? Inaonekana tatizo kubwa hapa nchini ni kulazimisha mambo hata yale ambayo kwa akili tu ya kawaida hayakubaliki kwa kiwango chochote kile.

Hebu fikiria Raisi na Mwenyekiti wa Chama tawala anazunguka nchi nzima akiwanadi watu kwa wapiga kura akidai anawahitaji kwani ni wachapa kazi na waadilifu, hivyo wananchi wawakubali na kuwachagua. Anafanya hivyo licha ya shutuma nzito zinazowahusisha watu hao pamoja na yeye Raisi.

Ni wazi kuwa ufisadi nchini Tanzania haungeweza kushamiri bila baraka za Raisi na hizo picha zaonyesha kuwa common factor ni moja tu, Jakaya Kikwete. Miezi sita baadaye yeye huyo huyo eti anakurupuka baada ya kubanwa mbavu na kudai umefika wakati wa kukisafisha chama na kuvua magamba.

Leo April Kikwete eti anawakana washiriki wake wa siku zote na kubariki watoswe na chama kijijenge upya, kama si usanii ni kitu gani ? Tumwamini vipi wakati kila mtanzania anajua fika kuwa yeye ndiye alikuwa Kamanda wao Mkuu, je wakiamua kumuumbua wapi atauficha uso wake ? yangu macho !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…