CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

Nguvu ya CCM ni ujinga wa wapiga kura na kutumia raslimali zetu vibaya.
 
Kuna uzi unaletwa humu muda si mrefu kwa ajili ya malalamiko,si unajua tena hawa jamaa ni watu wa kutafuta kinga mapema,na leo wamedhibitiwa hawataweza kulipua mabomu yao ili uchaguzi uhairishwe tena.
Wanaojilipua Arusha ni wale waliokataliwa na wananchi.
 

ccm tupa kule. 4-0 ndio mpango mzima
 
shonza aliniahidi kuwa Arusha ikishinda ananipa......., sasa ajitokeze aniachie changu mie
 

hahahah kumbe duh!! unakumbuka ile picha alivyojiengemeza kwa desh desh.... jamani njaa mbaya!
 
Tangu asubuhi nilimwonya huyu kimada wa Mwigulu kwamba siasa siyo kazi rahisi kama kufungua zipu lakini kajifanya manju wa ugamba!
 
Last edited by a moderator:
Asubuhi kwenye majira ya asubuhi ulitangaza hapa Jamii forum kwamba CDM wameshindwa vibaya na CCM imepata ushindi wa kishindo.
1.Je ulimaanisha uchaguzi huu wa madiwani Arusha au mwingine?
Kama ni uchaguzi huu uombe radhi wanajamii forum kwa kupotosha.
2.Kama ulivyofukuzwa chadema kwa matokeo haya CCM hawatawabakiza wewe na Nchemba.Utahamia chama gani sasa?
 

Kwakua asubuhi alitudanganya, mi nashauri apigwe life ban.

CC Invisible
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…