CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

Kaazi kwel kweli,hivi lile tamko la Wamasai juzi mlisahau ku edit baadhi ye maneno?manake mliwaambia kuwa Wachaga wasishike madaraka yoyote arusha hii,lakini cha ajabu mkuu wa Wilaya aliyeratibu tamko hilo ni wa Bukoba,Mkuu wa Mkoa ni wa kanda ya Ziwa na Gaudence Lyimo ambaye ni meya ni mchaga wa Marangu.Sasa ambao hamuwataki hasa ni akina nani?Kweli naamini CCM ni janga la taifa!!
 
Siku yangu niliianza vizuri kabisa ,ila umeshaiharibu na wewe mwenye kichwa kilichojaa kamasi badala ya ubongo

kama unaharibiwa siku na mwenye kichwa kilichijaa makamasi basi wewe kichwa chako p kimejaa ile kitu inayitoka kwa meya aka inayotoka ma------ni
 
Ndugu wana jamvi,hatimaye siku na saa watanzania tulikuwa tunasubili kwa hamu ili kuweza kujua nani ataibuka kidedea katika kata nne zinazofanya uchaguzi leo jijini Arusha kwa maana ya kata ya Erelai, Kimandolu, Themi na Kaloleni.

Wana jamvi waswahili wanasema dalili ya mvua ni mawingu ,na hofu ni ishara ya woga wa kushindwa,ni wazi chadema wameingiwa na hofu kubwa baada yakuona kuna uwezekano mkubwa wakupoteza kata nne za jiji la Arusha mkoa ambao wamekuwa wakijinasibu kuwa ndiko kiliko kitovu cha chadema.

Hofu hiyo inatokana na kugundua kwamba wananchi wa Arusha wamechoka kuona mkoa wao ukigeuzwa kuwa uwanja wa mapambano na umwagaji damu kwa ajili ya maslahi ya watu wachache.

Hivyo basi ni wazi sasa chadema wamejichimbia kabuli wenyewe kwakutokujali misingi ya utawala bora inayosema kiongozi ni mali ya wananchi ila mwanachama ni mali ya chama wao wakakiuka misingi hiyo na kuamua kufukuza madiwani wao kwa maslahi ya watu wachache.

Ni wazi sasa CCM inaenda kuibuka kidedea na kushinda kwa kishindo katika kata zote nne kwa namna ilivyojipambanua kwa sera zake kipindi cha kampeni na wananchi hasa vijana kuanza kuelewa tofauti iliyopo kati ya chama maslahi jamii(CCM)na chama maslahi binafsi(chadema)

Viva ccm,umoja ni ushindi.
Kademu ka kamizinga. Watakuwezo?
 
Mtu kama wewe ukitajiwa kiungo chako cha uzazi na urination utaanza kulia lia,maana ukera sana
 
nenda chooni, kuni kitu kimekubana haraka! maana unatoa harufu sasa
 
kama unaharibiwa siku na mwenye kichwa kilichijaa makamasi basi wewe kichwa chako p kimejaa ile kitu inayitoka kwa meya aka inayotoka ma------ni

Unasema nikutoe hiyo inayotokea kwa ma------ kwa ngumi,usiendekeze tabia za kisengerema wewe
 
hivi ile tarehe 15/04/2013 pale Oysterbay police canteen nini kiliwakimbiza? wewe na mwenzio asenga na yule mzee aliyevaa suti halafu mguuni kavaa Raba!,wewe ukiwa umeshika gazeti la tanzania Daima! Ama kweli kuhamia CCM ndio Umeanza hiyo Biashara!!!
 
Duh ndugu zangu mshaanza kuporomosha matusi tayali.kuweni wavumilivu kipindi hiki japo najua kitaenda kuwa kigumu sana kwenu.

Okay...yetu macho!
Tutakutana kwenye thread za usiku........kwa sababu huwezi kuwa na maslahi jamii (aggregate concern) bila kuwa na malahi binafsi (individual concern)....kurukia stage au mambo ndio kunaliponza Taifa...CCM walirukia ujamaa bila kupitia ubepari kama waanzilishi wake (Engels,Karl max na Owen) walivyotanabaisha.....ndio maana mpaka sasa hamjitambui na hamtambui kwa nini Tanzania ni maskini!
 
Ndugu wana jamvi,hatimaye siku na saa watanzania tulikuwa tunasubili kwa hamu ili kuweza kujua nani ataibuka kidedea katika kata nne zinazofanya uchaguzi leo jijini Arusha kwa maana ya kata ya Erelai, Kimandolu, Themi na Kaloleni.

Wana jamvi waswahili wanasema dalili ya mvua ni mawingu ,na hofu ni ishara ya woga wa kushindwa,ni wazi chadema wameingiwa na hofu kubwa baada yakuona kuna uwezekano mkubwa wakupoteza kata nne za jiji la Arusha mkoa ambao wamekuwa wakijinasibu kuwa ndiko kiliko kitovu cha chadema.

Hofu hiyo inatokana na kugundua kwamba wananchi wa Arusha wamechoka kuona mkoa wao ukigeuzwa kuwa uwanja wa mapambano na umwagaji damu kwa ajili ya maslahi ya watu wachache.

Hivyo basi ni wazi sasa chadema wamejichimbia kabuli wenyewe kwakutokujali misingi ya utawala bora inayosema kiongozi ni mali ya wananchi ila mwanachama ni mali ya chama wao wakakiuka misingi hiyo na kuamua kufukuza madiwani wao kwa maslahi ya watu wachache.

Ni wazi sasa CCM inaenda kuibuka kidedea na kushinda kwa kishindo katika kata zote nne kwa namna ilivyojipambanua kwa sera zake kipindi cha kampeni na wananchi hasa vijana kuanza kuelewa tofauti iliyopo kati ya chama maslahi jamii(CCM)na chama maslahi binafsi(chadema)

Viva ccm,umoja ni ushindi.

Yeah kwa sera za mauaji ya raia, track record ya wizi wa kura, kuvuruga chaguzi..ni lazima mtashinda mia kwa mia..mkumbuke tu kutuambia waliojitokeza kupiga kura walikuwa 100% ya wapiga kura..na shuhuda kadhaa kwa luninga na radio nk ccm onyee.
 
Makamanda leo viroba vitawatoka kichwani
 
Kweli magamba ni kalio la sufuria, mda si mrefu nitaelekea Kimandolu kulinda kura yangu
 
Back
Top Bottom