CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

na yeye kasomea udsm? Acha masihara mkuu,kana ni kweli basi majanga hayo tena
kuna haja ya kuuliza alifaulu kwa kukariri au aligawa uroda kwa maprof ni vipi mtu una degree unashidwa kujua nini maana na maudhui ya breaking news
 
Kama wewe ulivyokimbilia kujibu ili ukamilishe hesabu ya buku 5 leo!

Duh! Shonza una ID's kibao. Kwa kiyo kila ID unakinga bubu 7? Sisi huwa tunachangia chama makini na hatuhitaji fadhila yoyote zaidi ya kukombolewa watanzania wale wanaorubuniwa na t shirts, kofia na khanga. Maadam wewe kwa ubinafsi wako umekubali kununuliwa endelea kutumika.
 
Ndugu wana jamvi,hatimaye siku na saa watanzania tulikuwa tunasubili kwa hamu ili kuweza kujua nani ataibuka kidedea katika kata nne zinazofanya uchaguzi leo jijini Arusha kwa maana ya kata ya Erelai, Kimandolu, Themi na Kaloleni.

Ni wazi sasa CCM inaenda kuibuka kidedea na kushinda kwa kishindo katika kata zote nne kwa namna ilivyojipambanua kwa sera zake kipindi cha kampeni na wananchi hasa vijana kuanza kuelewa tofauti iliyopo kati ya chama maslahi jamii(CCM)na chama maslahi binafsi(chadema)

Viva ccm,umoja ni ushindi.

Sababu zote ulizosema hapa kuwa mtashinda anganya toto najua mtashinda kwa hila na wizi kwani najua mmejipanga kwa hali na mali kuhakikisha mnashinda kwa mbinu zozote Chafu
 
Juli mwenzio mwampa alichemka kwa kusema fulani wa udiwani eti anarudisha kadi na kajitoa CDM, Ikadhihirika alichemka kuliko kukubwa na P yake imeshuka na humu amepotea. Sasa nakusubiri nawe swahiba wake nione utabiri wako. Japo mwalimu wangu aliwahi kuniambia ndege wafananao huruka pamoja.

CHa msingi matokeo yasicheleweshwe na uchaguzi usiharibiwe kwa fujo zozote zile. Wananchi wakusaidie kuthibitisha hili.
 
Siku yangu niliianza vizuri kabisa ,ila umeshaiharibu na wewe mwenye kichwa kilichojaa kamasi badala ya ubongo
 
Yaani Juliana Shonza ndio think tanker na Analysis Personnel wa CCM ya sasa!!!

Ni majanga makubwa sana kwa CCM kuacha kuwatumia makada wake iliyowakuza na kuwapika mpaka wakaiva kiitikadi toka zamani na badala yake imeamua kuja kuwakumbatia 'Pimbi' wa kisiasa ambao unaweza kuwatumia utakavyo kwa posho kidogo sana.

Any way tusubiri tuone namna CCM tukivuliwa nguo na kupata aibu leo Arusha.
 
Akili za kuazima haziwez kukusitili kichwa chako,kawapikie green gued kisha ukainamishwe.mwakilkishi wa umoja wa vichaa ccm(uvccm)
 
Binti umeanza taarabu zako...ushindi nani kakuambia mtavuna?...wawajua hawa...TAMBWE HIZZA,NJERU KASSAKA,SELELII................hivi waweza kuwazidi ururu hawa magwiji?.....HALAFU MNATUDHALILISHA KWA KUWA MNASOMA UDSM HAPO MLIMANI HAKUNA WAJINGA WA NAMNA HII LABDA N I KIPINDI HIKI AMBACHO CC TULOKWENDA HAPO KUELIMIKA TUMESHATOKA KITAMBO HIVYO DIRA,MALENDO.MOTO,MISSION NA VISSION ZZIMEBADILIKA........SHAME UPON YOU.very stupidity.
 
Akili za kuazima haziwez kukusitili kichwa chako,kawapikie green gued kisha ukainamishwe.mwakilkishi wa umoja wa vichaa ccm(uvccm)

green gued ndo nini tena,international school za chadema ndo matunda yake
 
TanganyikaTANU; Pole sana mkuu, itakubidi ukubali matokeo ya CCM kushindwa kwani huwezi kufanya lolote hali Naibu Katibu Mkuu wa chama ameamuru kimada wake awe political strategist japokuwa hajui hata maana ya BREAKING NEWS!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kitu kibaya kuwa changu wa siasa mwisho wake unatumia ukiisha utamu unabaki na maadui wengi!shame on you!:A S-fire1:
 
kama kawaida chakula ya wanasisa hiyo kesho itahamia kwa mtatiro baadae cck,tlp na mwisho kwa mbatia, utabadili vyama sana nyama ni ileile 2 mind u HIV IS THERE ,, GET MARRIED AND ENJOY THE LIFE WITH ONE MAN AND GOOD FAMILY.... SIASA hauwezi kabisa, its me ud mate ... solidality yako imeishia ccm kweli? siamini or njaa mbaya aiseee
 
Jamani kura zinaendelea kupigwa tusubiri... Hatupendi hizi thread zije kuitwa kampeni.
 
Wanawake wote wangekuwa vigeu geu na kugeuzwa ovyo kama wewe tusingekuwa na familia licha ya ndoa.
 
Back
Top Bottom