Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
Huyu dada,kiswahili anachapia,lugha ya Elizabeti ndio kabisaa..janga la lugha hili.
mkuu uyole kuzalikisha ndo nini tena?Acha kuzalikisha degree yako ya sociology mtu unadegree unasindwa kujua nini maana ya breaking News

Haa haaaaaaaa kamekuingia ee Mbona umetoa neno Breaking News?mkuu uyole kuzalikisha ndo nini tena?
Au ndo product chuo cha kilimo uyole?
Duh ndugu zangu mshaanza kuporomosha matusi tayali.kuweni wavumilivu kipindi hiki japo najua kitaenda kuwa kigumu sana kwenu.
Hata hueleweki,arusha mtachora chini.mod futeni upuuzi huu
Duh ndugu zangu mshaanza kuporomosha matusi tayali.kuweni wavumilivu kipindi hiki japo najua kitaenda kuwa kigumu sana kwenu.
Ndugu wana
jamvi,hatimaye siku na saa watanzania tulikuwa tunasubili kwa hamu ili
kuweza kujua nani ataibuka kidedea katika kata nne zinazofanya uchaguzi
leo jijini Arusha kwa maana ya kata ya Erelai, Kimandolu, Themi na
Kaloleni.
Wana jamvi waswahili wanasema dalili ya mvua ni mawingu ,na hofu ni
ishara ya woga wa kushindwa,ni wazi chadema wameingiwa na hofu kubwa
baada yakuona kuna uwezekano mkubwa wakupoteza kata nne za jiji la
Arusha mkoa ambao wamekuwa wakijinasibu kuwa ndiko kiliko kitovu cha
chadema.
Hofu hiyo inatokana na kugundua kwamba wananchi wa Arusha wamechoka
kuona mkoa wao ukigeuzwa kuwa uwanja wa mapambano na umwagaji damu kwa
ajili ya maslahi ya watu wachache.
Hivyo basi ni wazi sasa chadema wamejichimbia kabuli wenyewe
kwakutokujali misingi ya utawala bora inayosema kiongozi ni mali ya
wananchi ila mwanachama ni mali ya chama wao wakakiuka misingi hiyo na
kuamua kufukuza madiwani wao kwa maslahi ya watu wachache.
Ni wazi sasa CCM inaenda kuibuka kidedea na kushinda kwa kishindo katika
kata zote nne kwa namna ilivyojipambanua kwa sera zake kipindi cha
kampeni na wananchi hasa vijana kuanza kuelewa tofauti iliyopo kati ya
chama maslahi jamii(CCM)na chama maslahi binafsi(chadema)
Viva ccm,umoja ni ushindi.