Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,955
- 29,328
Leo asubuhi Jumamosi 25/04 kwenye kipindi cha Magazeti TBC, msomaji alimkariri Kate Kamba kuwa CCM itatengeneza barakoa zake na kuzigawa kwa wanachama wake.
CCM ndiyo inayopokea michango toka kwa wasamaria wema, CCM sasa imeamua kwenda kivyakevyake na kuwatelekeza watanzania wasio wanachama wake?
Je, ni jambo lenye Tina kwa taifa kila vyama, makabila, dini na makundi mengine yapambane kivyao vyao?