Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,484
- 2,892
Mungu huwaangazia juwa wema na wabaya. Mungu hunyeshea mvua wema na wabaya.
Kama hili la kugawa barakoa au vitakasa mikono linafanywa/litafanywa kwa misingi ya kubaguana sio sawa.
Covid ni ungonjwa umevamia wanadamu ikiwemo Tanzania. Huu sio wakati wa kuwaokoa wanachama maana kuna ambao hawana vyama na ni Watanzania.
JPM ni mtumishi wa Watanzania sio CCM pekee. Tunakubaliana CCM kumpa JPM bendera na ILANI; ila alopokula kiapo akawa CIC kwa niaba ya Watanzania wote.
Kama mtajwa anafanya hivyo, tumkemee na kumtaka arejee kwenye misingi ya umoja wa kitaifa.
Tanzania na Utanzania ni mkubwa kuliko tofauti za vyama vya siasa
Sent using Jamii Forums mobile app