CCM Kugawa bure barakoa kwa wanachama wake

CCM Kugawa bure barakoa kwa wanachama wake

Raisi ndio final .Halafu Raisi ni.mtaalamu wa kemia yuko sahihi hao wengine hawajui hata definition ya chemistry.Waulize what is chemistry .Wewe pia mbumbumbi Huna unachojua kuhusu chemistry

Umetaka Ushahidi nime kuwekea Mkuu sasa dharau na dhihaka kwangu ni za nini ?.

Rais ni final say ni sawa ila Ujinga huu ni
kwa Afrika zaidi,na ingekuwa hiyo Sumu ina madhara kwa Binadamu tayari tungekuwa tume athirika-umakini hamna hapo.
 
Awataje wasamaria waliochangia CCM ambao sio wanachama wa CCM huyo kachanyanyikiwa anachanganya michango ya serikali na ya CCM kavurugikiwa kichwani na ana akili ndogo haelewi tofauti kwake yeye mtu akichangia serikali kachabgia CCm aisee halafu kweli kwa reasoning hizi za kitoto chadema mnataka kushika nchi vitu vidogo tu Kama hivi mnahitaji mketishwe chini mtu awafafanukie!!! Very sad

Kumbe wewe ni joka la kijani, na wewe pia umeshika nchi? Hongera jombaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona Mbunge wa viti maalum Chadema Devotha Minja akigawa barakoa huko morogoro mjini, bila shaka kwa kufany ahivyo uchumi wa watu wa morogoro utapaa kwa kasi.

Ameonesha kuwajali Binadamu tofauti kabisa na Mawazo yako haya ya Kisiasa za kishamba.
 
Ameonesha kuwajali Binadamu tofauti kabisa na Mawazo yako haya ya Kisiasa za kishamba.
wanaofanya siasa za kishamba ni hao wanaokejeli vitendo vya CCM na kusifia vitendo vile vile kwa Chadema, wewe ukiwa mmoja wapo.
 
Mbona katika baadhi ya Mitandao ( siyo JamiiForums ) nimeona CHADEMA nao wana Barakao zao? Tatizo hasa liko wapi hapo?
Mtandao upi na lini Chadema walitangaza na kwanini haukulileta hadharani tulichambue! Jirani yako wa Chadema akipata Corona na wewe pia unaweza ukaambukizwa bila kujali chama.
Kwahiyo wewe ulipoliona hilo ukaona ni sawa tu!
 
Awataje wasamaria waliochangia CCM ambao sio wanachama wa CCM huyo kachanyanyikiwa anachanganya michango ya serikali na ya CCM kavurugikiwa kichwani na ana akili ndogo haelewi tofauti kwake yeye mtu akichangia serikali kachabgia CCm aisee halafu kweli kwa reasoning hizi za kitoto chadema mnataka kushika nchi vitu vidogo tu Kama hivi mnahitaji mketishwe chini mtu awafafanukie!!! Very sad
Ma INTERAHAMWE mna akili ndogo sana, na hivi sasa mnapaswa kufurushwa kama alivyofanya Kagame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Job true true
IMG-20200425-WA0002.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona Mbunge wa viti maalum Chadema Devotha Minja akigawa barakoa huko morogoro mjini, bila shaka kwa kufany ahivyo uchumi wa watu wa morogoro utapaa kwa kasi.
Hilo si jipya kwani yeye amezigawa kwa watu wote bila kujali vyama au dini, hata wewe gawa na hata CCM ikigawa kwa wananchi wote haina shida, shida ni ubaguzi.
 
CCM haijapokea michango kwa asiye mwanachama serikali ndio inapokea pesa kwa Kila mtu Nilesh Nani asiye means CCM ambaye kaichangia CCM itengeneze barakoa nitajie mmoja weka ushahidi hapa?
Ikijengwa reli mnasema CCM imejenga, zikinunuliwa ndege mnasema Magufuli amenunua, kwahiyo michango aliyopokea Magufuli tukubaliane tu kuwa CCM ndiyo iliyopokea.
 
Upande wapili wakigawa wata kamatwa hata kabla ya kuzi fungua
 
Leo asubuhi Jumamosi 25/04 kwenye kipindi cha Magazeti TBC, msomaji alimkariri Kate Kamba kuwa CCM itatengeneza barakoa zake na kuzigawa kwa wanachama wake.

CCM ndiyo inayopokea michango toka kwa wasamaria wema, CCM sasa imeamua kwenda kivyakevyake na kuwatelekeza watanzania wasio wanachama wake?

Je, ni jambo lenye Tina kwa taifa kila vyama, makabila, dini na makundi mengine yapambane kivyaovyao?
Hii hatari sasa.
 
Tukumbushane yaliyotokea Bukoba baada ya tetemeko, CCM ilitumia misaada tuliyopewa watanzania kuikarabati shule ya sekondari inayomilikiwa na Jumuia ya Wazazi CCM na walidai kuwa wangeiuzia serikali baada ya ukarabati! Mpokea sadaka anapojinufaisha, na bado mpaka leo Kagera kuna wananchi wanadai hawajapata msaada!
 
Ubinafsi wa Hali ya juu Kama Ni kweli.
Mnaposikia kuwa ccm imeshapoteza uhalali wa kutuongoza nchii hii ninyi huwa mnaelewaje? Hili ni kundi la interahamwe lililo wakali watanzania zaidi ya milioni 40 kimabavu. Wanaweza kufanya chochote maana akili zao ndo hizo
 
Sio tu CCM hata vyama vingine kama vimetengeneza barakoa na kugawa basi ni ujinga uliopitiliza na kuleta mzaha kwenye mapambano na Corona... Serikali ipige marufuku mara moja..
 
Leo asubuhi Jumamosi 25/04 kwenye kipindi cha Magazeti TBC, msomaji alimkariri Kate Kamba kuwa CCM itatengeneza barakoa zake na kuzigawa kwa wanachama wake.

CCM ndiyo inayopokea michango toka kwa wasamaria wema, CCM sasa imeamua kwenda kivyakevyake na kuwatelekeza watanzania wasio wanachama wake?

Je, ni jambo lenye Tina kwa taifa kila vyama, makabila, dini na makundi mengine yapambane kivyaovyao?
Hou siyo uzalendo mmeanza kubaguana kwa vyama?
 
Back
Top Bottom