CCM Kugawa bure barakoa kwa wanachama wake

CCM Kugawa bure barakoa kwa wanachama wake

Kwahyo BARAKOA zitoke LUMUMBA zipelekwe MWANZA,,,kuna watanzania WANGAPI UMEWARUKA? kuanzia dar hadi mwanza? Kwa kweli sio VYEMA,,, CCM ndy inayopokea MABILIONI YA MISAADA YA CORONA kwa NEMBO YA TANZANIA.. lakini kwenye Matumizi mnalenga CCM,,,je misaada ililenga WATANZANIA AU WANACHAMA WA CCM?
Charity begins at home huwezii Anza kununulia barakoa nyumba ya jirani kabla ya familia yako Kwanza

CCM family first

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo asubuhi Jumamosi 25/04 kwenye kipindi cha Magazeti TBC, msomaji alimkariri Kate Kamba kuwa CCM itatengeneza barakoa zake na kuzigawa kwa wanachama wake.

CCM ndiyo inayopokea michango toka kwa wasamaria wema, CCM sasa imeamua kwenda kivyakevyake na kuwatelekeza watanzania wasio wanachama wake?

Je, ni jambo lenye Tina kwa taifa kila vyama, makabila, dini na makundi mengine yapambane kivyao vyao?
Wao wamepewa misaada na Jack ma itolewe kwa wote wao wanatafutia kura
 
Mbona katika baadhi ya Mitandao ( siyo JamiiForums ) nimeona CHADEMA nao wana Barakao zao? Tatizo hasa liko wapi hapo?
Kwani CHADEMA wamesema wasio wanachama wao hawapewi?
Kama wamebainisha hivyo nitakubaliana nawe, hawana tofauti na CCM.
 
Roho mbaya tu

Back
Top Bottom