CCM Kugawa bure barakoa kwa wanachama wake

CCM Kugawa bure barakoa kwa wanachama wake

Mkuu ,kwani hao Mawaziri ni wa Chama gani !? .

Au unafikiri hatukumuelewa Katibu Mkuu Bashiru juu ya unufaikaji wa kuwa na Dola. !?
Hujui mipaka ya chama na serikali iko.wapi hasa kwenye matumizi ya pesa za serikali!!!! Pesa za serikali Ni za za serikali na chama ni za chama

Ruzuku ya chadema haiwezi tumiwa na serikali kutengeneza barakoa!!!! Wala pesa za michango ya wanna chadema kwa chama Chao haiwezi tumiwa na serikali kutengeneza barakoa!!!
 
Hebu msome alie leta hii Habari Mkuu alimaanisha nini ...

"CCM ndiyo inayopokea michango toka kwa wasamaria wema, CCM sasa imeamua kwenda kivyakevyake na kuwatelekeza watanzania wasio wanachama wake?"
 
Lipi alipinga ?
Si ndio imesemwa sasa,ndio nasema akibatilisha mpango huo wa chama hamchelewi kuja na nderemo na vifijo humu jukwaani!Bado nakumbuka kikokotoo!Wazee wa kutengeneza tatizo halafu mnalitatua halafu shangwe nyingi!
 
Lipi alipinga ?

Hili hapa alilipinga waziwazi juu ya Sumu iliyo pulizwa na Watendaji wake Jijini Dar es Salaam ,bisha tena Mkuu maana mna kazi sana ya kutetea hata vinavyo onekana wazi wazi

Kama ni kweli basi, CCM imeichimbia kaburi serikali ya Magufuli.
 
Hebu msome alie leta hii Habari Mkuu alimaanisha nini ...

"CCM ndiyo inayopokea michango toka kwa wasamaria wema, CCM sasa imeamua kwenda kivyakevyake na kuwatelekeza watanzania wasio wanachama wake?"
Awataje wasamaria waliochangia CCM ambao sio wanachama wa CCM huyo kachanyanyikiwa anachanganya michango ya serikali na ya CCM kavurugikiwa kichwani na ana akili ndogo haelewi tofauti kwake yeye mtu akichangia serikali kachabgia CCm aisee halafu kweli kwa reasoning hizi za kitoto chadema mnataka kushika nchi vitu vidogo tu Kama hivi mnahitaji mketishwe chini mtu awafafanukie!!! Very sad
 
Leo asubuhi Jumamosi 25/04 kwenye kipindi cha Magazeti TBC, msomaji alimkariri Kate Kamba kuwa CCM itatengeneza barakoa zake na kuzigawa kwa wanachama wake.

CCM ndiyo inayopokea michango toka kwa wasamaria wema, CCM sasa imeamua kwenda kivyakevyake na kuwatelekeza watanzania wasio wanachama wake?

Je, ni jambo lenye Tina kwa taifa kila vyama, makabila, dini na makundi mengine yapambane kivyaovyao?
Lakini hujaona kiongozi wa CCM akipokea michango
 
Kwasasa kila mtu apambane na kujilinda mwenyewe kwa namna yoyote
 
Leo asubuhi Jumamosi 25/04 kwenye kipindi cha Magazeti TBC, msomaji alimkariri Kate Kamba kuwa CCM itatengeneza barakoa zake na kuzigawa kwa wanachama wake.

CCM ndiyo inayopokea michango toka kwa wasamaria wema, CCM sasa imeamua kwenda kivyakevyake na kuwatelekeza watanzania wasio wanachama wake?

Je, ni jambo lenye Tina kwa taifa kila vyama, makabila, dini na makundi mengine yapambane kivyaovyao?
Unalia nini sasa

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Ebhana baba mmoja mama mmoja ila tunabaguana kwenye majanga

121.
 
Watu wapumbavu hufikiria kipumbavu na kuamua kipumbavu.

CCM ijitafakali.
 
Hili hapa alilipinga waziwazi juu ya Sumu iliyo pulizwa na Watendaji wake Jijini Dar es Salaam ,bisha tena Mkuu maana mna kazi sana ya kutetea hata vinavyo onekana wazi wazi

View attachment 1429735
Raisi ndio final .Halafu Raisi ni.mtaalamu wa kemia yuko sahihi hao wengine hawajui hata definition ya chemistry.Waulize what is chemistry .Wewe pia mbumbumbi Huna unachojua kuhusu chemistry
 
Mmh hii kama ni kweli tunaipeleka nchi pabaya sana

Jr[emoji769]
Nimeona Mbunge wa viti maalum Chadema Devotha Minja akigawa barakoa huko morogoro mjini, bila shaka kwa kufany ahivyo uchumi wa watu wa morogoro utapaa kwa kasi.
 
Back
Top Bottom