CCM: Kufikia Disemba 2022 Vijiji vyote nchini lazima viwe na umeme

Chongolo Acha uongo, mwaka 1995 mlisema kufika mwaka 2000 tatizo la maji TANZANIA litakuwa ni historia, leo huu ni mwaka wa 22 hadi vijiji tu mita 700 toka ziwani maji ni shida. Acheni kusogeza mbele tarehe
 
Katibu mkuu wa CCM bwana Chongolo leo akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya CCM kwa miaka 60 amesema kwenye ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi ya 2020 - 2025 imeelekeza kuwa kufikia mwezi wa 12 mwaka 2022 vijiji vyote nchini Tanzania lazima viwe na umeme na waziri atakayeshindwa kufikia hilo lengo atawajibishwa mara moja.

Chongolo amebainisha kuwa mpaka sasa hakuna mkoa wala wilaya ambayo haina mkandarasi wa kupeleka umeme maeneo husika.
Kama uchumi wa kati na WA viwanda haukufikiwa hata umeme Kila Kijiji ni fix kama fix nyingine😂
 
Back
Top Bottom