CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

Soma post namba 1.

Tunahofia sana mtu kama Zitto akiamuwa kuungana na Hamad Rashid wakaanzisha chama kipya. Hao watu wana mvuto, wana akili na wachapa kazi na hawako kimaslahi zaidi.

Ni bora chadema kibaki na viongozi hao hao wenye akili kiduchu wazidi kuzibana nguvu za kina Zitto na Kitila. Wakiondoka huko ni kasheshe kwa CCM

Usiwahofie acha waungane ni wa dini yetu hawa, wanzishe chama cha mujaheedin tuko wengi sana hapa Tz watapata wafuasi.
 
- CCM Tukikubali kufa kwa Chadema tutakutana na Al-Shaabab so no bora hawa hawa ndugu zetu watupu kcihwani, maana ukiona kwenye Chama Lema anakuwa na nguvu sana kuliko wasomi kama Zitto na Kitila, ujue hao tayari wapo pabaya sana, so tuwasaidie wasitawanyike!!

Le Mutuz
Tupo pamoja mkuu!
Toka siku nyingi nimesema ma-F4F katika CDM yapo mengi, na wengi wape!!!!
Sasa yameshinda for now, for how long only God knows!!!
 
Soma post namba 1.

Tunahofia sana mtu kama Zitto akiamuwa kuungana na Hamad Rashid wakaanzisha chama kipya. Hao watu wana mvuto, wana akili na wachapa kazi na hawako kimaslahi zaidi.

Ni bora chadema kibaki na viongozi hao hao wenye akili kiduchu wazidi kuzibana nguvu za kina Zitto na Kitila. Wakiondoka huko ni kasheshe kwa CCM

Hapo kwenye rangi umenikamata haswa angalau tunao watu wachache wanaokuwa appreciated na almost everybody....
 
Kwani CCM hamjiamini au mnategemea udhaifu wa vyama vingine ndio muendelee kutawala,ina maana nyie hamna mipango madhubuti muda wote ni hofu tu,kama mna hofu mpaka leo miaka yote hiyo mnafanya nini mpaka muwe na hofu leo
 
- CCM Tukikubali kufa kwa Chadema tutakutana na Al-Shaabab so no bora hawa hawa ndugu zetu watupu kcihwani, maana ukiona kwenye Chama Lema anakuwa na nguvu sana kuliko wasomi kama Zitto na Kitila, ujue hao tayari wapo pabaya sana, so tuwasaidie wasitawanyike!!

Le Mutuz

Lazima nawe uwe mtupu
 
MACCM yana miaka 59 na bado hayajaimarika, au umesahau fito wanazochapana hadharani!? Fito kati ya makundi ya fisadi Lowassa, Membe, Sumaye na Sitta. Au umelisahau hili!? Haya ya kuchapana hadharani unaweza kuita ni kuimarika!?

Hatujaimarika tunaongoza nchi, Jee, tukiimarika?
 
Kwa mapenzi mema na Tanzania, bado unayo nafasi ya kumshauri Zitto aungane na Hamad Rashid. Zitto amepewa siku 14 aseme kwanini asifukuzwe CHADEMA, nafikiri kwa kua unaukubali akili,mvuto na uchapaji kazi wake ungetumia muda huu kumshauri.

Mimi nashauri asijibu, wamfukuze mambo yahamie mahakamani. Muwe bize mahakamani sisi tuwe na shortcut.
 
- Ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya Chadema ambao umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana ulitolewa na Waziri Wassira kwamba Chadema ipo katika siku zake za mwisho. Ninasema hivi kufa kwa Chadema kama dalili zinavyoonyesha sasa hivi sio the best Interest ya chama chetu CCM. Tunahitaji kuwasaidia sana waendelee kuwepo kwa sababu they have proven time and time kwamba ni paper tiger tu, wazuri kwenye makaratasi lakini hawana nguvu yoyote kisiasa.

- Kupitishwa kwa musawada wa Katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake kwenye Club ya Disco ya Mwenyekiti wao. Ninawaomba sana CCM tunahitaji kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wake wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.

- AGAIN KWA WANA-CCM WOTE NI KWAMBA TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO, MAANA OTHERWISE TUTAKUTANA NA WAPINZANI WENYE AKILI KUBWA WATATUSUMBUA, TUWASAIDIE WASISMBATRATIKE!! ha! ha! ha!

- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

LE Mutuz Big Shoow!!

William, itakuwa ni tusi kubwa sana kwa mtu anayetuhumiwa kuwa shoga kama wewe kuipa Chadema ushauri nasaha. Nadhani ushauri huo ungeipa chama Chako. CDM haiendekezi hizo tabia. niwie radhi kakangu. Hadi pale utakapotoa maelezo kuhusu hizo shutuma ndipo tutakapokuelewa
 
Kwani CCM hamjiamini au mnategemea udhaifu wa vyama vingine ndio muendelee kutawala,ina maana nyie hamna mipango madhubuti muda wote ni hofu tu,kama mna hofu mpaka leo miaka yote hiyo mnafanya nini mpaka muwe na hofu leo

Yote uyasemayo ni sawa kabisa, licha ya yote hayo sisi ndio tunatawala na jinsi mambo yanavyokwenda bado tutaendelea kutawala kwa muda mrefu sana.
 
Na ndio fahari ya kuwa kwenye upande wa ushindi.
 
- Ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya Chadema ambao umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana ulitolewa na Waziri Wassira kwamba Chadema ipo katika siku zake za mwisho. Ninasema hivi kufa kwa Chadema kama dalili zinavyoonyesha sasa hivi sio the best Interest ya chama chetu CCM. Tunahitaji kuwasaidia sana waendelee kuwepo kwa sababu they have proven time and time kwamba ni paper tiger tu, wazuri kwenye makaratasi lakini hawana nguvu yoyote kisiasa.

- Kupitishwa kwa musawada wa Katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake kwenye Club ya Disco ya Mwenyekiti wao. Ninawaomba sana CCM tunahitaji kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wake wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.

- AGAIN KWA WANA-CCM WOTE NI KWAMBA TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO, MAANA OTHERWISE TUTAKUTANA NA WAPINZANI WENYE AKILI KUBWA WATATUSUMBUA, TUWASAIDIE WASISMBATRATIKE!! ha! ha! ha!

- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

LE Mutuz Big Shoow!!

Ni mara chache sana huwa ninakuelewa. Hiyo CCM yako unayoizungumzia sidhani kama unaifahamu vizuri. Mnatuambia mnaondoa magamba mwishoni mkayaacha bila kuyatoa. Waacheni wenzenu wafanye kazi zao kama chama kinachoongozwa na taratibu bila kuwaogopa watu kufanya maamuzi.

Kama unafikiri CDM kinakufa basi unaota ndoto. Hutambui chama kinachokua na kinachokufa. Hivi CCM unayodhani kinaishi kipo wapi? Kuwa Chama kinachoshikilia dola? kuwa kwenye dola ndo uhai wa Chama na hakuna kingine zaidi ya hicho? Kama hujui CDM wame "pre-empt" mipango yenu ya kijasusi kwa CDM.

Nani asiyeelewa kuwa CCM mmekuwa mtetezi wa Zitto Hasa wewe Malecela? Mlikuwa mnamtetea kwa lipi ambacho kiwafaa CDM? Kama Zitto anawafaa CDM atakuwaje msaada kwenu? Hapo alikufikia Zitto ajifikirie mara mia mia kama maamuzi aliyokuwa anayanya yalikuwa sahihi.
 
Ni ndoto za mchana tu,Chadema ya Mbowe na Dr Slaa kamwe haitaweza kuitoa CCM madarakani.Na kwa mwendo huu tegemea chama kingine kuibuka na kuchukua nafasi ya Chadema kama chama kikuu cha upinzani.Tatizo la Mbowe ni kushindwa kuutambua kuwa uwezo wake umeishia hapa.

Kwa Chadema kwenda kuwa Chama Tawala inahitaji uongozi wenye upeo na mikakati mkubwa zaidi ya hii ilioifikisha hapa, na wanaoweza kuaminiwa kuwaunganisha Watanzania wa makundi yote ya kijamii,sasa kwa kuwa mgonjwa amegoma kunywa uji,tumsaidiaje sasa?

Haina shida mzee... Ngoja tukisubiri hicho chama kingine chenye nguvu tukiunge mkono. Ultimate goal ni CCM iondoke madarakani. ..
 
- Ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya Chadema ambao umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana ulitolewa na Waziri Wassira kwamba Chadema ipo katika siku zake za mwisho. Ninasema hivi kufa kwa Chadema kama dalili zinavyoonyesha sasa hivi sio the best Interest ya chama chetu CCM. Tunahitaji kuwasaidia sana waendelee kuwepo kwa sababu they have proven time and time kwamba ni paper tiger tu, wazuri kwenye makaratasi lakini hawana nguvu yoyote kisiasa.

- Kupitishwa kwa musawada wa Katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake kwenye Club ya Disco ya Mwenyekiti wao. Ninawaomba sana CCM tunahitaji kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wake wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.

- AGAIN KWA WANA-CCM WOTE NI KWAMBA TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO, MAANA OTHERWISE TUTAKUTANA NA WAPINZANI WENYE AKILI KUBWA WATATUSUMBUA, TUWASAIDIE WASISMBATRATIKE!! ha! ha! ha!

- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

LE Mutuz Big Shoow!!
Haya ni mawzo yako au ni taarifa ya chama chako?
 
Hatujaimarika tunaongoza nchi, Jee, tukiimarika?

Mnachoongoza ni nini mmeshindwa hata kulinda pembe za ndovu. Nenda kawaulize tembo sasa hivi wamekaa kikao na wameamua kuwa watajilinda wenyewe. Mimi ni Mtanzania na nina imani siongozwi na serikali ya CCM kwa sababu haina mchango kwangu zaidi ya kuniingizia hasara
 
kweli duniani kuna mambo...
hata malecela jr naye amekuwa ni political analyst? ninahakika wanaompa kichwa ni wale wanaoendeleza malumbamo naye..huwezi kubishana na mtu ambaye hana uwezo hata wa kuosha makalio yake baada ya kujisaidia!!!

Mnababaika na hiyo surname yake au nini...maana anachoandika ni pumba laikini mkiona jina tu mnakimbilia kuchangia!
Anyway...
 
- Ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya Chadema ambao umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana ulitolewa na Waziri Wassira kwamba Chadema ipo katika siku zake za mwisho. Ninasema hivi kufa kwa Chadema kama dalili zinavyoonyesha sasa hivi sio the best Interest ya chama chetu CCM. Tunahitaji kuwasaidia sana waendelee kuwepo kwa sababu they have proven time and time kwamba ni paper tiger tu, wazuri kwenye makaratasi lakini hawana nguvu yoyote kisiasa.

- Kupitishwa kwa musawada wa Katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake kwenye Club ya Disco ya Mwenyekiti wao. Ninawaomba sana CCM tunahitaji kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wake wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.

- AGAIN KWA WANA-CCM WOTE NI KWAMBA TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO, MAANA OTHERWISE TUTAKUTANA NA WAPINZANI WENYE AKILI KUBWA WATATUSUMBUA, TUWASAIDIE WASISMBATRATIKE!! ha! ha! ha!

- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

LE Mutuz Big Shoow!!

Hivi kumbe na wewe ni mwanasiasa mkuu?
Mimi nilijua uko upande huu zaidi;
LEMUTUZ.jpg
 
Sasa ni wakati wa wana CCM kumpigia chapuo Zito abaki Chadema badala ya kumwambia karibu nyumbani CCM. Nilikwisha sema awali Zito kuwa Chadema ni faida kwa CCM kuliko kuondoka na kwenda huko.
ukweli unadhihirika sasa maana toka tamko limetolewa hakuna anayesema KARIBU KWETU ila wanatoa ushauri eti maamuzi hayo sio sahihi yataua chama. Hell! Acha kife si kuna vyama vingine vipo! Chadema ni watu sio mtu, na hakiwezi kuvumilia "mtu" akavuruga harakati za "watu"

Wamekwisha kumtumia sasa watamtupa kama toilet paper. Hujawaona kina Shonza na Mtela?
 
Soma post namba 1.

Tunahofia sana mtu kama Zitto akiamuwa kuungana na Hamad Rashid wakaanzisha chama kipya. Hao watu wana mvuto, wana akili na wachapa kazi na hawako kimaslahi zaidi.

Ni bora chadema kibaki na viongozi hao hao wenye akili kiduchu wazidi kuzibana nguvu za kina Zitto na Kitila. Wakiondoka huko ni kasheshe kwa CCM

Hapo kwenye rangi umenikamata haswa angalau tunao watu wachache wanaokuwa appreciated na almost everybody....

wote wapenda pesa hao
 
Yote uyasemayo ni sawa kabisa, licha ya yote hayo sisi ndio tunatawala na jinsi mambo yanavyokwenda bado tutaendelea kutawala kwa muda mrefu sana.

Nashukuru ila hujasema kwanini mna hofu? na mtaendelea kutawala namna gani wakati umesema unamhofia Zitto?
 
Back
Top Bottom