CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

Huyu ndondocha naye taabu kwelikweli. WaTz wanataka vyama vya siasa imara vitakavyo shindanisha mbinu na hoja bora katika kuwatumikia wananchi. Sasa wewe unakuja kupigania kuwa cdm dhaifu iendelee kuwepo kwa faida ya ccm. Acha ife kama haipo kwa ajili ya wananchi kutatokea chama kingine.
 
Makala ya MAWIO jana jinsi alivyowasaidia Mkono,Dewji na Pinda Uchaguzi Mkuu 2010 ilinichefu

fedha walizomlipa hazizidi thamani ya Wabunge Bora waliowakosa wananchi

rafu alizozifanya na bado anajiita muumini wa demokrasia
 
- Kuondoka kwa Zitto na Kitila Chadema kunawaondoa kwenye ramani ya a serious political alternative party katika hili taifa, mliruhusiwa kuwepo against kura za maoni 80% za Taifa hili since then mmeshindwa kutumia kuwepo kwenu kuwashawishi hii 80% kwamba walifanya makosa sana, badala yake kila siku ya Mungu mnajidhirishia kwamba hawakukosea.

- I mean kuna mpinzani objective na blod kama Zitto na Kitila? Leo unawezaje kumruhusu Lema kawa hakimu wa Zitto na Kitila, mnajishushia hadhi kama chama, huna hoja hata moja ya kunihakikishia mimi binafsi kwamba Kitila ni Msaliti au Zitto ni msaliti, kwenye hili mnajishusha sana kwamba hamko tayari kuwa mawazo huru huko Chadema.

Le Mutuz
CHADEMA iruhusu mawazo huru kwa maslahi ya CCM?
 
- Ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya Chadema ambao umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana ulitolewa na Waziri Wassira kwamba Chadema ipo katika siku zake za mwisho. Ninasema hivi kufa kwa Chadema kama dalili zinavyoonyesha sasa hivi sio the best Interest ya chama chetu CCM. Tunahitaji kuwasaidia sana waendelee kuwepo kwa sababu they have proven time and time kwamba ni paper tiger tu, wazuri kwenye makaratasi lakini hawana nguvu yoyote kisiasa.

- Kupitishwa kwa musawada wa Katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake kwenye Club ya Disco ya Mwenyekiti wao. Ninawaomba sana CCM tunahitaji kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wake wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.

- AGAIN KWA WANA-CCM WOTE NI KWAMBA TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO, MAANA OTHERWISE TUTAKUTANA NA WAPINZANI WENYE AKILI KUBWA WATATUSUMBUA, TUWASAIDIE WASISMBATRATIKE!! ha! ha! ha!

- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

LE Mutuz Big Shoow!!
Le Mutuz!!!
Naungana nawe katika hili.
Kifo cha CHADEMA is not in the best interest ya CCM, na wananchi kwa ujumla.
Kimefanya kazi nzuri ya kuiamsha CCM kutoka kweye usingizi mnono wa kuridhika.
 
Soma post namba 1. Tunahofia sana mtu kama Zitto akiamuwa kuungana na Hamad Rashid wakaanzisha chama kipya. Hao watu wana mvuto, wana akili na wachapa kazi na hawako kimaslahi zaidi. Ni bora chadema kibaki na viongozi hao hao wenye akili kiduchu wazidi kuzibana nguvu za kina Zitto na Kitila. Wakiondoka huko ni kasheshe kwa CCM
Huo Mvuto wao bado sijauona, siwapendi watu wanaorudisha maendeleo ya ukombozi nyuma
 
Le Mutuz!!!
Naungana nawe katika hili.
Kifo cha CHADEMA is not in the best interest ya CCM, na wananchi kwa ujumla.
Kimefanya kazi nzuri ya kuiamsha CCM kutoka kweye usingizi mnono wa kuridhika.

- CCM Tukikubali kufa kwa Chadema tutakutana na Al-Shaabab so no bora hawa hawa ndugu zetu watupu kcihwani, maana ukiona kwenye Chama Lema anakuwa na nguvu sana kuliko wasomi kama Zitto na Kitila, ujue hao tayari wapo pabaya sana, so tuwasaidie wasitawanyike!!

Mbona CCM inaongozwa na vilaza husemi? Kuanzia m\kiti mpaka kwenye mashina. Ukitaka kujua kuwa CCM akili zao zipo mas ab urini angalia mikataba ya kipumbavu wanayoisaini na rasilimali zetu zinavyoibiwa na wageni. Hivi hata wewe W. J. Malecela na wenzako wakina Nape na Nchemba mnajiita wasomi?
 
Mbona Baba yako alikuwa na nguvu ndani ya CCM kuliko wasomi kama Dr Salim, Mwandosya na wengineo hadi akaitwa Tingatinga? Au mbona Ndani ya chama chenu katika jimbo la Mtera kaka yako wa ukoo Livingstone Lusinde ana nguvu kuliko baba yako aliyesoma zaidi yake? Fikiri kabla ya kuandika. Toka asubuhi wewe na maamuzi ya KK ya Chadema tuu, yanakuhusu nini?
 
- It does not matter inaongozwa na nani bado ni paper tiger tu, until siku itakapoongozw ana wasomi kama Kitila na Zitto mnaowafukuza ndio mnaweza kuitisha CCM.

LE Mutuz
Tulia dawa ikuingie, leo hamna cha kuongea CHADEMA imewakata ngebe hapo mapaka muanze upya KUPATA PAPETI MPYA 2018 imefika na CHADEMA tayari watakuwa wamekalia Ikulu ya magogoni.

Mbona CCM inaongozwa na vilaza husemi? Kuanzia m\kiti mpaka kwenye mashina. Ukitaka kujua kuwa CCM akili zao zipo mas ab urini angalia mikataba ya kipumbavu wanayoisaini na rasilimali zetu zinavyoibiwa na wageni. Hivi hata wewe W. J. Malecela na wenzako wakina Nape na Nchemba mnajiita wasomi?
Chakaza like this post.
 
Mbona Baba yako alikuwa na nguvu ndani ya CCM kuliko wasomi kama Dr Salim, Mwandosya na wengineo hadi akaitwa Tingatinga? Au mbona Ndani ya chama chenu katika jimbo la Mtera kaka yako wa ukoo Livingstone Lusinde ana nguvu kuliko baba yako aliyesoma zaidi yake? Fikiri kabla ya kuandika. Toka asubuhi wewe na maamuzi ya KK ya Chadema tuu, yanakuhusu nini?
ANAPUNGUZU MACHUNGU mkuu leo Kamati kuu imewamaliza kabisa CCM, kwani imeng'oa mti na kuchimba kabisa mizizi yake , kwa hiyo hapo kila mtu kapagawa.
 
we mungu akusaidie maaana wewe kwa ulevi wa mali za umma kupitia dingi yako unafikili hii dunia ni ya kwako,ata shetani hana cha kujifunza kutoka ccm,ccm ya wabakaji,wauza dawa za kulevya wapokea rushwa live kama yule mbunge wenu wa bayi,wauza twiga ,na ndovu,mmemfunga babu seya milele? listen ccm its now sodoma na gomora mungu mwenyewe atashuka kuitia kberiti,wewe uliyesoma mboana ata kamati kuu ukumbukwi, kwanini nyerere alimkataa dingi yako live mpaka akatishia kujitoa kwenye chama kwanini dingi yako alibadili dini kisa kuwa rais ,aya yote ni laana inayokutafuna ata wewe.kapuku
 
Wale jamaa aliowataja Profeseri Muhogo kwamba wana akili finyu na wavivu sana kufikiri nadhani wewe LEMUTUMBA unahusika sana na lile kundi...
 
- tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wake wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.
nadhani kwenye hiyo nyekundu kuna hoja ya msingi, kusukuma mashua ukiwa ndani yake ni upuuzi mara mbili !?
 
Wewe unaota? Chadema imeanguka lini?

Tiba
 
Najua somewhere in your mind unakubalu kuwa mziki wa Mbowe umewaelemea. Yule jamaa hakurupuki. Anaifanya vyema kazi ya kuiondoa CCM madarakani gradually but strategically. Kaz iliyowashinda maprofesa kama Lupumba, wabishi kama Mtikila, wajanja akina Mbatia, mamilionea kama akina Cheyo, watu machachari kama akina Mrema bila kusahau wanasiasa nguli kama akina Maalum Seif.

Najua mnashangaa jinsi mnaemwita DJ anawanyang'anya nchi so softly...

Sisi tunaomba usiku na mchna abaki kuwa Mwenyekiti na Slaa abaki kuwa Katibu Mkuu na safari hii msimsahau Godbless J Lema, Ben Saanane na 2Yericko Nyerere kuziba mapengo.

Mjini tunasema uchochoro huoooooooo!
 
Last edited by a moderator:
Najua somewhere in your mind unakubalu kuwa mziki wa Mbowe umewaelemea. Yule jamaa hakurupuki. Anaifanya vyema kazi ya kuiondoa CCM madarakani gradually but strategically. Kaz iliyowashinda maprofesa kama Lupumba, wabishi kama Mtikila, wajanja akina Mbatia, mamilionea kama akina Cheyo, watu machachari kama akina Mrema bila kusahau wanasiasa nguli kama akina Maalum Seif.

Najua mnashangaa jinsi mnaemwita DJ anawanyang'anya nchi so softly...

Ni ndoto za mchana tu,Chadema ya Mbowe na Dr Slaa kamwe haitaweza kuitoa CCM madarakani.Na kwa mwendo huu tegemea chama kingine kuibuka na kuchukua nafasi ya Chadema kama chama kikuu cha upinzani.Tatizo la Mbowe ni kushindwa kuutambua kuwa uwezo wake umeishia hapa.

Kwa Chadema kwenda kuwa Chama Tawala inahitaji uongozi wenye upeo na mikakati mkubwa zaidi ya hii ilioifikisha hapa, na wanaoweza kuaminiwa kuwaunganisha Watanzania wa makundi yote ya kijamii,sasa kwa kuwa mgonjwa amegoma kunywa uji,tumsaidiaje sasa?
 
Soma post namba 1.

Tunahofia sana mtu kama Zitto akiamuwa kuungana na Hamad Rashid wakaanzisha chama kipya. Hao watu wana mvuto, wana akili na wachapa kazi na hawako kimaslahi zaidi.

Ni bora chadema kibaki na viongozi hao hao wenye akili kiduchu wazidi kuzibana nguvu za kina Zitto na Kitila. Wakiondoka huko ni kasheshe kwa CCM

Kwa mapenzi mema na Tanzania, bado unayo nafasi ya kumshauri Zitto aungane na Hamad Rashid. Zitto amepewa siku 14 aseme kwanini asifukuzwe CHADEMA, nafikiri kwa kua unaukubali akili,mvuto na uchapaji kazi wake ungetumia muda huu kumshauri.
 
MACCM yana miaka 59 na bado hayajaimarika, au umesahau fito wanazochapana hadharani!? Fito kati ya makundi ya fisadi Lowassa, Membe, Sumaye na Sitta. Au umelisahau hili!? Haya ya kuchapana hadharani unaweza kuita ni kuimarika!?

Ikiwa chama hakijaimarika kwa miaka 20 si ndio "akili ndogo" yenyewe hiyo.
 
Back
Top Bottom