CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

i thought you are busy defending Prof K, do you still have time for this?
this is too big for Magambaz to comprehend! CDM is on its own level, compare it with CCM? no way!!!!
 
Sasa ni wakati wa wana CCM kumpigia chapuo Zito abaki Chadema badala ya kumwambia karibu nyumbani CCM. Nilikwisha sema awali Zito kuwa Chadema ni faida kwa CCM kuliko kuondoka na kwenda huko.
ukweli unadhihirika sasa maana toka tamko limetolewa hakuna anayesema KARIBU KWETU ila wanatoa ushauri eti maamuzi hayo sio sahihi yataua chama. Hell! Acha kife si kuna vyama vingine vipo! Chadema ni watu sio mtu, na hakiwezi kuvumilia "mtu" akavuruga harakati za "watu"
 
- It does not matter inaongozwa na nani bado ni paper tiger tu, until siku itakapoongozw ana wasomi kama Kitila na Zitto mnaowafukuza ndio mnaweza kuitisha CCM.

LE Mutuz

Orodha ya wasomi CCM ni ndefu; Prof Kahigi, Baregu, Lisu, Marando, Kapuya, Komba, Maji Mafupi, Sokoine, Ibrahim Lincon, Socrates, Da Gama, Kikwete, Mwinyi, Washington, Newton the great, Pythogras, Kinjeketile, Rage, Diomond, nk wanaandika maajabu kama ya kusahihisha sheria baada ya tu kusainiwa, ndizo akili kubwa hizo kwa wenye kili kubwa za kununua mitihani. Hivi asiyezaliwa na akili baada ya kuzunguka ktk vyuo duniani akinunua vyeti anaweza kutokea akawa nazo? Kuna vyeti vya kupima akili ya mtu? Kama sio, kipimo ni nn ili tumpimie william mtoto wa Malecela.
 
lemutuz una akili fupi na kama ya panya kama baba yako malechela, kamwe cdm haitasambaratika ndio cc vijana wasomi tunazidi kutiwa moyo na mawazo ya watu wenye busara, ujue siku zote utii ni bora KULIKO mito elfu ya mafuta ya beberu hasa kwenye hili la kuwafukuza wahuni na wasaliti wanao fadhiliwa na wauza miharadati wa ccm.
SHAME UPON YOU, VIVA CHADEMA NA WATZ WOTE WENYE MAONO MEMA NA TAIFA HILI.
 
- Ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya Chadema ambao umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana ulitolewa na Waziri Wassira kwamba Chadema ipo katika siku zake za mwisho. Ninasema hivi kufa kwa Chadema kama dalili zinavyoonyesha sasa hivi sio the best Interest ya chama chetu CCM. Tunahitaji kuwasaidia sana waendelee kuwepo kwa sababu they have proven time and time kwamba ni paper tiger tu, wazuri kwenye makaratasi lakini hawana nguvu yoyote kisiasa.

- Kupitishwa kwa musawada wa Katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake kwenye Club ya Disco ya Mwenyekiti wao. Ninawaomba sana CCM tunahitaji kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wake wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.

- AGAIN KWA WANA-CCM WOTE NI KWAMBA TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO, MAANA OTHERWISE TUTAKUTANA NA WAPINZANI WENYE AKILI KUBWA WATATUSUMBUA, TUWASAIDIE WASISMBATRATIKE!! ha! ha! ha!

- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

LE Mutuz Big Shoow!!
Ndugu yangu Malecela ninaona unadhalilisha hiyo joho ulilovaa vile vile unadhalilisha pia jina la Malecela
CHADEMA ni chama Imara ambacho kinawawajibisha watu bila kujali ni nani kwenye chama.
Naona leo utapewa double sio buku 7 tena ni 14
Narudia tena unadhalilisha hilo joho toa hiyo picha tafadhali
 
Lemutuz don't be hypocreate,ccm cant take us any more,inatosha acheni unafiki,hizo mbinu zenu tumeshazoea,taifa mbele mtu moja moja baadaye.Chadema ni zaidi ya unavyo fikiri ni zaidi ya zzk mnaye mtumia.
 
Hv ni kwann ccm mnamuogopa sana Mbowe, mm nahisi yule jamaa hatetereki na kumpata mtu mwingine kama yeye, sio kazi rahisi kwanza mvumilivu kamvumilia sana zito lkn Zito ni bonge la traitor ndani ya chama.Basi tena kwaheri zito.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sisi ndio tunainda Serikali kwa sasa. Upinzani ni lazima uwepo, na tunaomba upinzani uliopo sasa uedelee kama ulivyo, kwani DJ na Slaa ni watu wenye akili nyingi sana, na tunaomba msiwasahau akina Godbless J Lema, Ben Saanane na Yericko Nyerere mnapoziba nafasi za uongozi, maana hao ni majembe, wana akili nyingi sana na wapiganaji kweli kweli na watatupa changa moto ya hali ya juu.

Jee, unayo link ya picha chafu za Lema? kama unayo, hebu tupia hapa mimi sijaziona. Nataka kuona Mheshimiwa Godbless J Lema anavyosingiziwa kulawitiwa.

Najua somewhere in your mind unakubalu kuwa mziki wa Mbowe umewaelemea. Yule jamaa hakurupuki. Anaifanya vyema kazi ya kuiondoa CCM madarakani gradually but strategically. Kaz iliyowashinda maprofesa kama Lupumba, wabishi kama Mtikila, wajanja akina Mbatia, mamilionea kama akina Cheyo, watu machachari kama akina Mrema bila kusahau wanasiasa nguli kama akina Maalum Seif.

Najua mnashangaa jinsi mnaemwita DJ anawanyang'anya nchi so softly...
 
Last edited by a moderator:
yaaan huyu jamaaa huwa ananipa shida sana kumuelewa.hv mbona baba yako alipigwa chinikugombea ubunge na ccm mtela chama kilikufa? yaan ww mawazoyako bila hao hakunachama. nyambafu. shule gani umesoma ww inayokufanya ukose kujiamini mwenyewe? hiii ni shida sana we inaonyesha kuna watu wakikwambia inamautainama sababu unawahusudu sana, acha ulimbukeni huo ww.
 
- It does not matter inaongozwa na nani bado ni paper tiger tu, until siku itakapoongozw ana wasomi kama Kitila na Zitto mnaowafukuza ndio mnaweza kuitisha CCM.

LE Mutuz
William Interest zako kwenye mgogoro wa CDM tunazifahamu, angalia hapa ulichowahi kuandika:- @ LE MUTUZSTRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamuakujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS isworking kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now onemore to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili ourbest interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTETUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMAILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMUMMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWAKUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJENA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANAMHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAAAJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!

- Na mgombea wa Chadema yule mchangga Komu alishinda kwa sababu anajua kiingereza right? Niligombea uwakilishi wa Wazazi kwenye UVCCM nikashinda by the way wewe ulishinda wapi na hicho chama chako chenye miaka 25 kinapigwa chini kila uchaguzi, rudi kwenye topic mkuu wachana na mimi!1

- by the way later guys nawahi Makao makuu ya Wazazi kwenda kumsafisha Mwenyekiti wangu kwenye press. Conference nasikia Rai wamemchafua sana jana, later!!

Le Mutuz

Kweli CCM isisile...Mwenyekiti wa CCM kusafishwa na mtu wa level ya Lemutus, uuuiphfsiiiiiiiiii
 
Huku hatulindani kijana, sio kama nyinyi ccm kwetu mtu anafaa tu wakati anafaa tukiona anatuzingua tunapiga chini CDM for life.
 
alianguka juma malecela akafuata ana kilango mbele ya sophia simba sasa sasa umebaki kupayuka wewe bwa:smile-big::smile-big:bwa unayepakuliwa na mawaziri
 
Kufuata akiri ya baba yako umepata hasara kubwa sana kijana, utakalia hayohayo hutakujapata hata udiwani.
 
You mean...??? Ok, wait a minute you mean kwamba.....?

- Ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya Chadema ambao umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana ulitolewa na Waziri Wassira kwamba Chadema ipo katika siku zake za mwisho. Ninasema hivi kufa kwa Chadema kama dalili zinavyoonyesha sasa hivi sio the best Interest ya chama chetu CCM. Tunahitaji kuwasaidia sana waendelee kuwepo kwa sababu they have proven time and time kwamba ni paper tiger tu, wazuri kwenye makaratasi lakini hawana nguvu yoyote kisiasa.

- Kupitishwa kwa musawada wa Katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake kwenye Club ya Disco ya Mwenyekiti wao. Ninawaomba sana CCM tunahitaji kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wake wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.

- AGAIN KWA WANA-CCM WOTE NI KWAMBA TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO, MAANA OTHERWISE TUTAKUTANA NA WAPINZANI WENYE AKILI KUBWA WATATUSUMBUA, TUWASAIDIE WASISMBATRATIKE!! ha! ha! ha!

- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

LE Mutuz Big Shoow!!
 
- Kuondoka kwa Zitto na Kitila Chadema kunawaondoa kwenye ramani ya a serious political alternative party katika hili taifa, mliruhusiwa kuwepo against kura za maoni 80% za Taifa hili since then mmeshindwa kutumia kuwepo kwenu kuwashawishi hii 80% kwamba walifanya makosa sana, badala yake kila siku ya Mungu mnajidhirishia kwamba hawakukosea.

- I mean kuna mpinzani objective na blod kama Zitto na Kitila? Leo unawezaje kumruhusu Lema kawa hakimu wa Zitto na Kitila, mnajishushia hadhi kama chama, huna hoja hata moja ya kunihakikishia mimi binafsi kwamba Kitila ni Msaliti au Zitto ni msaliti, kwenye hili mnajishusha sana kwamba hamko tayari kuwa mawazo huru huko Chadema.

Le Mutuz
CHADEMA iruhusu mawazo huru kwa maslahi ya CCM?
 
Ung'eng'e huo...! na hii ni pamoja na kukaa ughaibuni miaka nenda rudi, kwa nini usiandike tu Kiswahili?
Mkuu Mag3, angeandika kiswahili tungejuaje kama anakashahada kasiko na maana alikokapata/kanunua huko ughaibuni?
 
ha! ha! Fisi na mkono! Sasa M4C with no Apology! Mkoa kwa Mkoa,Wilaya kwa Wilaya,Kijiji kwa Kijiji,Mtaa kwa Mtaa,Nyumba kwa nyumba,Kitanda kwa kitanda, mtu kwa mtu mpaka kieleweke.

chadema ni chama cha ushirika mkoa wa kilimanjaro na M4C ni nini tena?
 
Back
Top Bottom