FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
shibuda
Inaonesha chadema inaogopa kumgusa Shibuda kwa sasa maana ana kundi la wafuasi si mchezo.
shibuda
- Ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya Chadema ambao umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana ulitolewa na Waziri Wassira kwamba Chadema ipo katika siku zake za mwisho. Ninasema hivi kufa kwa Chadema kama dalili zinavyoonyesha sasa hivi sio the best Interest ya chama chetu CCM. Tunahitaji kuwasaidia sana waendelee kuwepo kwa sababu they have proven time and time kwamba ni paper tiger tu, wazuri kwenye makaratasi lakini hawana nguvu yoyote kisiasa.
- Kupitishwa kwa musawada wa Katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake kwenye Club ya Disco ya Mwenyekiti wao. Ninawaomba sana CCM tunahitaji kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.
- AGAIN KWA WANA-CCM WOTE NI KWAMBA TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO, MAANA OTHERWISE TUTAKUTANA NA WAPINZANI WENYE AKILI KUBWA WATATUSUMBUA, TUWASAIDIE WASISMBATRATIKE!! ha! ha! ha!
- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!
LE Mutuz Big Shoow!!
Soma post namba 1.
Tunahofia sana mtu kama Zitto akiamuwa kuungana na Hamad Rashid wakaanzisha chama kipya. Hao watu wana mvuto, wana akili na wachapa kazi na hawako kimaslahi zaidi.
Ni bora chadema kibaki na viongozi hao hao wenye akili kiduchu wazidi kuzibana nguvu za kina Zitto na Kitila. Wakiondoka huko ni kasheshe kwa CCM

- Kupitishwa kwa musawada wa Katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake kwenye Club ya Disco ya Mwenyekiti wao. Ninawaomba sana CCM tunahitaji kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wake wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.
- AGAIN KWA WANA-CCM WOTE NI KWAMBA TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO, MAANA OTHERWISE TUTAKUTANA NA WAPINZANI WENYE AKILI KUBWA WATATUSUMBUA, TUWASAIDIE WASISMBATRATIKE!! ha! ha! ha!
- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!
LE Mutuz Big Shoow!!
Inaonesha chadema inaogopa kumgusa Shibuda kwa sasa maana ana kundi la wafuasi si mchezo.
Soma post namba 1.
Tunahofia sana mtu kama Zitto akiamuwa kuungana na Hamad Rashid wakaanzisha chama kipya. Hao watu wana mvuto, wana akili na wachapa kazi na hawako kimaslahi zaidi.
Ni bora chadema kibaki na viongozi hao hao wenye akili kiduchu wazidi kuzibana nguvu za kina Zitto na Kitila. Wakiondoka huko ni kasheshe kwa CCM
- Ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya Chadema ambao umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana ulitolewa na Waziri Wassira kwamba Chadema ipo katika siku zake za mwisho. Ninasema hivi kufa kwa Chadema kama dalili zinavyoonyesha sasa hivi sio the best Interest ya chama chetu CCM. Tunahitaji kuwasaidia sana waendelee kuwepo kwa sababu they have proven time and time kwamba ni paper tiger tu, wazuri kwenye makaratasi lakini hawana nguvu yoyote kisiasa.
- Kupitishwa kwa musawada wa Katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake kwenye Club ya Disco ya Mwenyekiti wao. Ninawaomba sana CCM tunahitaji kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.
- AGAIN KWA WANA-CCM WOTE NI KWAMBA TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO, MAANA OTHERWISE TUTAKUTANA NA WAPINZANI WENYE AKILI KUBWA WATATUSUMBUA, TUWASAIDIE WASISMBATRATIKE!! ha! ha! ha!
- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!
LE Mutuz Big Shoow!!
Akili zako zinakutuma bila hao hakuna CHADEMA? subirini muone kazi itakayofanyika wanafki wote wakishaondoka, mmemsikia mmoja aliyeitabiria CHADEMA itakufa lkn hamjasikia maelfu ya watabiri wanaotabiria kifo cha CCM 2015.
W. J. Malecela alishindwa kujieleza kwa kiingereza wakati wa uchaguzi wa wabunge wa EALA, akashindwa, akaenda kugombea Jumuiya ya Wazazi (wakati sio mzazi), nako akashindwa, amesema ana mpango wa kugombea UVCCM (wakati sio kijana), nako bila shaka atashindwa tuUng'eng'e huo...! na hii ni pamoja na kukaa ughaibuni miaka nenda rudi, kwa nini usiandike tu Kiswahili?
Hebu soma tena ulichoandika and come back to reality
W. J. Malecela alishindwa kujieleza kwa kiingereza wakati wa uchaguzi wa wabunge wa EALA, akashindwa, akaenda kugombea Jumuiya ya Wazazi (wakati sio mzazi), nako akashindwa, amesema ana mpango wa kugombea UVCCM (wakati sio kijana), nako bila shaka atashindwa tu
Muungano wa watu wenye mvuto, akili na wasio kimaslahi utakuwa kasheshe kwa CCM. Sasa wewe unafanya nini CCM kama huko hamna mvuto, akili... au wewe uko kimaslahi zaidi pia?
Hata kwa Zito si mlisema hivyohivyo?
Wapi? Hamad Rashid si anachama Chake na wameshindwa kufulukuta? asikudanganye mtu umaruf ni kwa saabu yuko CDM,
Tanzania, Hawa ndiyo vijana wako ambao watakulinda na kukutetea!! - Pole sana Tanzania.- Na mgombea wa Chadema yule mchangga Komu alishinda kwa sababu anajua kiingereza right? Niligombea uwakilishi wa Wazazi kwenye UVCCM nikashinda by the way wewe ulishinda wapi na hicho chama chako chenye miaka 25 kinapigwa chini kila uchaguzi, rudi kwenye topic mkuu wachana na mimi!1
- by the way later guys nawahi Makao makuu ya Wazazi kwenda kumsafisha Mwenyekiti wangu kwenye press. Conference nasikia Rai wamemchafua sana jana, later!!
Le Mutuz