CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

- Naunga mkono hoja hii, jana nilikuwa Serena nikajionea mkutano live sikusikia anything serious ninawashukuru sana Zitto na Kitila, kwa kuwa waangalifu sana kutoibomoa Chadema kwa maneno yasiyo kuwa na tija, walisema maneno ya kawaida sana, halafu ukisoma kwa makini maoni ya wana Chadema huku JF ndio unajionea wafuata upepo, wanafiki na wasiojitambua kabisa kwenye hii ishu mazumbukuku ni wengi sana wasiojua kitu,

- Zitto ni CCM, lakini ameenda Uswiss kutuabisha CCM zaidi, Kitila ni CCM, lakini si ndiye anayewatungiaga hoja za kumdhalilisha Rais wa CCM kama ile ya Mnyika kuwa ni dhaifu, sasa anakuwaje CCM na this kind of politics, Chadema ninaamini kuna matatizo mawili makubwa la kwanza ni Zitto kutaka mahesabu ya chama na pili ni Zitto kuutaka uenyekiti ambayo ni halali yake,

- Chadema kwenye haya matatizo yenu mnajonyesha wazi kwamba hamko serious na mnachokidai toka CCM yaani Demokrasia ya kweli, this is very damaging hasa kwa wafadhili wenu kutoka nje maana hapa mmewahakikishia kwamba ni wajanja wajanja tu lakini sio a serious oppostion party, lakini still ninasema hivi kuvunjika kwenu sio in CCM interest so ninawaomba tena wale wote wahusika ndani ya CCM tuwasaidia hawa ndugu zetu wavuke hiki kipindi kigumu kwao salama bado nasema ni afadhali hawa Chadema adui tunayemjua kuliko adui mpya ambaye hamtumjui.

Le Mutuz

Uenyekiti wa chama CHOCHOTE ni haki ya mwana chama yeyote mwenye sifa ....CCM kuna utaratibu wa mgombea pekee bado ....Unaoendana na Historia na Mrengo wake ...
Zitto Ana haki ya kugombea ...lakini pia hata kiwi kuwa na haraka Sana ...kwa kuwa bado Ana safari ya kutosha mbele yake........nafikiri rafiki yangu January pia hawezi kuota kuwa mwenyekiti wa CCM Leo .....lakini pia anaeeza kuonesha nia...ili wajuwe anataka mbele ya safari...wampime...
Hata Kikwete ...alipogombea....Mara ya kwanza na kuwekwa pembeni busara yake na ile hotuba aliyotoa ( hata Kama moyoni aliumiaa) ndiyo iliyompa urais Leo .....Kiukweli mwaka 1995 Kikwete hakushindwa Bali alipata ushindi ...wa utii alioonesha kwa chama chake ....ni wazi ile hotuba yake ya kukubali kushindwa ndiyo iliyompa tickets ya kugombea urais mwaka 2005 ...miaka 10 kabla ...akawa president in waiting.....na pia nidhamu aliyomuoneshaa Mzee Mkapa ..na kutotoa Kauli Za kutofautiana..naye zilimfanya Mkapa Alegeze moyo hasa toka kwa watu waliokuwa kucha kutwaaa wanapeleka maneno ya kumachafua Kikwete kwa Mkapa

Nadhani Kama Kweli Zitto anataka uenyekiti wa Chadema ...aende kwa Kikwete ajifunze somo la uvumilivu....na kuunda mtandao..bila kujificha.
 
Bahati mbaya tuna wanasiasa ambao hawajasoma siasa wala sayansi ya jamii, i would like to to tell you that conflict is inherent in the nature of politics
 
Back
Top Bottom