Shomari hujui kwenye uchumi daraja la kwanza tunasoma nini ndio maana unapima kwenye thread za jf. Kuna thread tunayoijadili kwa kutumia Koutsoyiannis humu? La ngrangian?. Cob dougglus function?. Msikimbilie issues za kitaalamu kwenye vitu visivyo vya kitaalam. Kuna sehem gani ya kuweka uchumi hata wa form two wa demand and supply kwenye thread hii. Narudia, 2015 CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA .
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA
Hahahahaaa vp mwigulu WEKA MBALI NA TEMBO mzima?Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa
Mtaenda kufukua recycle bin mpaka mkome! BTW: Hii ilipangwa kumpatia ubunge Siyoi...tafuteni kashfa mpya bwana hizi zimeshachuja. Chama tawala badala ya kujivunia rekodi yake ya uadilifu inatafuta vitu vya kipuuzi vya kutunga tunga, sishangai mmeligeuza hili taifa kuwa la watu wa kushabikia vitu vya kimbea ambavyo havina maana.Kashfa ya katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema),Dk Willibrod Slaa imewekwa hadharani kwamba kiongozi huyo alifukuzwa upadri baada ya kutafuna mamilioni ya fedha zilizochangwa kwa ajili ya ujio wa hapa nchini wa Kiongozi wa Kanisa katoliki nchini duniani papa katika miaka ya tisini
Tuhuma hizo zimemwagwa na Waziri Steven Wassira katika mikutano ya kampeni za ccm kumnadi mgombea wa chama hicho sioi Solomon sumari katika Jimbo la Arumeru mashariuki
Tuhuma hizo zinakuja wakati vyama hivyo viwili vikubwa nchini vikirusiana vijembe na makombora mazito mazito
kashfa hiyo imetolewa katika vijiji vya kata Kikwe katika Jimbo hilo la Arumeru Mshariki Mkoani Arusha.
Wassira alisema kwamba Dk Slaa ambaye pia aliwahi kuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu nchini(TEC) kabla ya kukumbwa na kashfa hizo za kutafuna mamilioni hayo ya fedha zilizochangwa na waumini wa katoliki kutoka vigango na parokia mbalimbali nchini ili kufaniKisha ujio wa Papa miaka ya tisini kitendo kilichopelekea kufukuzwa kazi ya upadri.
amesisitiza kwamba kiongozi huyo hana kifua cha kupambana na ufisadi kwa kuwa hata yeye alitafuna fedha za kanisa.
Aliwataka wakazi wa kata ya Kikwe kumuuliza Dk Slaa chanzo cha kufukuzwa upadri pindi atakapotia mguu ndani ya kata yao na kuwataka wakazi hao kutosikiliza sera za kiongozi huyo kwa kuwa si msafi wa kujipambanua kwamba anapambana na ufisadi nchini.
Alimtuhumu Dk Slaa Pia katika hatua nyingine anatuhumiwa kumfukuza kazi mhasibu wa chama hicho ngazi ya taifa kwa kosa la kukataa kutekeleza maagizo yake amlipe shilingi milioni 10 mchumba wake,Josephine Mushumbushi kitendo kinachotia mashaka ya uadilifu wa kiongozi huyo.
Hata hivyo,alishangaa kitendo cha Dk Slaa kuishi maisha ya uchumba wakati akiwa na umri wa miaka zaidi ya 60 na kudai kitendo hicho kinashangaza umma wa watanzania pamoja na wafuasi wa vyama vya siasa nchini.
Jifariji sana lakini mwisho wenu umefika. Na damu ya Mwangosi itawalaani popote mtakapo kua.Shomari hujui kwenye uchumi daraja la kwanza tunasoma nini ndio maana unapima kwenye thread za jf. Kuna thread tunayoijadili kwa kutumia Koutsoyiannis humu? La ngrangian?. Cob dougglus function?. Msikimbilie issues za kitaalamu kwenye vitu visivyo vya kitaalam. Kuna sehem gani ya kuweka uchumi hata wa form two wa demand and supply kwenye thread hii. Narudia, 2015 CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA .
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa
Mwaka 2015 ni mwaka wa CHADEMA kuongoza Nchi hii, Nasema hivo baada ya kufanya tafiti za maeneao mbalimbali hapa Nchini na kugundua wengi wanaunga mkono jitihada za CHADEMA!
CHADEMA ni wembe wa kunyolea tena aina ya wembe unyoleao karatasi Ambao hupatikana viwandani tu na ambao huwa na Makari zaidi ya vipindi vi 4 baada ya kunyoa.
CHADEMA tuna jembe letu Dr SLAA.
CCM MTAMPA NANI? kwani wote wamechafuka na Richmond, Epa, Kagoda,Mapesa ya Uswis, Kutaka kuchakachua Gasi na kuileta Dar es salaam na Bagamoyo. Kwa nini Mnataka kupeleka Gasi Bagamoyo kwa Kikwete? je hao wananchi walopewa neema hiyo baada ya CCM kuaacha bila Barabara, Umeme, Maji na Afya hawafai? Hadi mtake Gasi iende Bagamoyo kwa Kikwete?
CCM mwisho wake ni 2015
Angalia wamepandisha Mafuta ya Taa ili wananchi washindwe kupika vyakula!!!!
Ndio maana nasema mwisho wa Kutawara kwa CCM ni 2015
Hivi nawe unajiita kiongozi? Kweli tz tumrudie Mungu kama watu wenye upeo mgando kama wewe nao ni viongozi wa tz mhh nadhan hii itakua laana.Dalai Lama viroba sisi hatugawi wala pilau. Sisi tunatekeleza ilani. Ila kuhusu ushindi liko wazi CCM LAZIMA ITASHINDA hilo lazima likutishe tu. Hakuna wa kuisimamisha CCM. HIVI WEWE BARCELONA IKICHEZA NA POLISI MORO LIKO WAZI HATA KAMA REFA AMETOKEA MORO BARCA ITASHINDA TU. SASA 2015 HAKUNA MJADALA CCM ITASHINDA NA CHEDEMA MKICHEZA VIBAYA HATA VITI VYA UBUNGE VITAPUNGUA. TUMEDHAMIRIA.
Hiyo mkuu ni zaidi ya kali,
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa
Jamani wana jf huyu wala sio Mwigulu ni kibaka tu kaamua kutumia hiyo id. Mwigulu ninae mwelewa hata kuandika shida. Anatuchanganya huyu. Wewe so mwigulu mbwa wee!Malaka unakataa ukweli? Kuna watu kwa kuandamana ni kazi inawapatia viroba siku hiyo na wengine 1000 ili wahamasishe maandamano. Lakini CCM ITASHINDA TU. UTANIAMBIA.
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA
Pole sana kamanda kwa mawazo mgando na ndoto za kusadikika.Nasema hakuna chama kinachoweza kuishinda CCM iwe mwaka 2015 au 2025 au 2035 na kuendelea.Badilisha mawazo yako ili mwaka 2015 CDM itakapopoteza majimbo yake mengi iliyonayo sasa na kuwa kama NCCR usife kwa presha. CCM Jana-CCM Leo -CCM Kesho.