wewe kweli ziro.Shomari hujui kwenye uchumi daraja la kwanza tunasoma nini ndio maana unapima kwenye thread za jf. Kuna thread tunayoijadili kwa kutumia Koutsoyiannis humu? La ngrangian?. Cob dougglus function?. Msikimbilie issues za kitaalamu kwenye vitu visivyo vya kitaalam. Kuna sehem gani ya kuweka uchumi hata wa form two wa demand and supply kwenye thread hii. Narudia, 2015 CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA .
nimekuelewa mkuu nimekosa kitufe cha like hii ndio inatakiwa na kama unalolieleza ni kweli basi nimekalilishwa kula like mkuuTanira napata tabu kujibizana na watu walioficha jina unaweza jibizana na jini. Pili napata tabu kuongelea majina maana sio hoja yenye kuongeza tija. Ninachoona umekaririshwa vitu usivyojua. Kinyumbani kuna majina ya ukoo ambayo hata usipotumia yapo tu mfano mwanangu yeyote wa kiume ni kitundu hata wawe kumi na wa kike msua kwa ukoo ila wanakuwa na majina yao hivi yuko Joshua na Gracoius. Mimi na kaka zangu wote ni shumbi, dada zetu ntulu halafu tunakuwa na majina yetu, halafu baba mkubwa, mdogo na baba wote ni mkumbo dada zao kilie halafu wanakuwa na majina yao. Sasa jina la machungani niliitwa mwigullu, au mgulo au mbaga nilipopelekwa cliniki nikapewa majina ya mganga wa zahanati ya mkulu aliyekuwa akiitwa Lameck. Kuna upuuzi umekuwa ukiaminishwa kuwa mimi sikufaulu badala yake nilinunua jina la mtu aliyefaulu. Si kweli. Nilifanya mtihani tena na picha nilipiga. Hii mkumbo unayotafuta haiwezionekana kama ilivyo kitundu ilivyo kwa mwanangu utasikia akiitwa tu Joshua. Ukirudi Meatu hawa wanangu wakike wataitwa Ng'washi kisukuma. Uliza kwa wanyiramba kabla ya kuona hii ni hoja.
Ccm ni taasisi,
hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi
kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama
chadema ndivyo vitakufa
mkuu lieleze hili lifala la ccmBro, itakuchukua muda kuelewa. Kwa taarifa yako tajiri huwa hafahamu kuwa anafilisika.
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA
Tanira napata tabu kujibizana na watu walioficha jina unaweza jibizana na jini. Pili napata tabu kuongelea majina maana sio hoja yenye kuongeza tija. Ninachoona umekaririshwa vitu usivyojua. Kinyumbani kuna majina ya ukoo ambayo hata usipotumia yapo tu mfano mwanangu yeyote wa kiume ni kitundu hata wawe kumi na wa kike msua kwa ukoo ila wanakuwa na majina yao hivi yuko Joshua na Gracoius. Mimi na kaka zangu wote ni shumbi, dada zetu ntulu halafu tunakuwa na majina yetu, halafu baba mkubwa, mdogo na baba wote ni mkumbo dada zao kilie halafu wanakuwa na majina yao. Sasa jina la machungani niliitwa mwigullu, au mgulo au mbaga nilipopelekwa cliniki nikapewa majina ya mganga wa zahanati ya mkulu aliyekuwa akiitwa Lameck. Kuna upuuzi umekuwa ukiaminishwa kuwa mimi sikufaulu badala yake nilinunua jina la mtu aliyefaulu. Si kweli. Nilifanya mtihani tena na picha nilipiga. Hii mkumbo unayotafuta haiwezionekana kama ilivyo kitundu ilivyo kwa mwanangu utasikia akiitwa tu Joshua. Ukirudi Meatu hawa wanangu wakike wataitwa Ng'washi kisukuma. Uliza kwa wanyiramba kabla ya kuona hii ni hoja.
Haya maneno yanatoka kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama kilichoko madarakani!!kwamba kuna watu washaandaliwa kwa ajili ya kuwatuliza CHADEMA wasidai haki atakama watakuwa na sababu ya kudai haki hiyo?
Tuta refer hapa ikifika hiyo 2015 kwamba katibu mkuu alishasema....!
ha ha ha ha ha ha ha ha ha da watu na viatu hii like kabisa nimeona haitanoga kubonyeza likw bora niandike kabisaMbona hili jeneza lao limeshatengenezwa pale Manzese? View attachment 79022
Mwita uibiwe kura zitakwepo. Nani achague chama ambacho viongoz wake wa kitaifa wanapanga na kutekeleza mauaji
Shomari hujui kwenye uchumi daraja la kwanza tunasoma nini ndio maana unapima kwenye thread za jf. Kuna thread tunayoijadili kwa kutumia Koutsoyiannis humu? La ngrangian?. Cob dougglus function?. Msikimbilie issues za kitaalamu kwenye vitu visivyo vya kitaalam. Kuna sehem gani ya kuweka uchumi hata wa form two wa demand and supply kwenye thread hii. Narudia, 2015 CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA .
Mwita uibiwe kura zitakwepo. Nani achague chama ambacho viongoz wake wa kitaifa wanapanga na kutekeleza mauaji
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA