CM 1774858 Wale wengine ni MASACOSS tuHongera Sana Ccm-tanzania, ingekuwa wale wenzetu wa zidumu fikra za Mwenyekiti ndio ingekuwa basi tena,
CCM bado ni Chama bora kabisa duania na Africa cha kupigiwa mfano,
Viva CCM, VIVA, VIVA SAMIA VIVA
😄😄😄Join the chain hawana ata Cash register yaaani,CM 1774858 Wale wengine ni MASACOSS tu
Nchi ngumu sana hii bwashee!😄😄😄Join the chain hawana ata Cash register yaaani,
Nchi ngumu kwelikweli hii,
Hongera Sana Ccm-tanzania, ingekuwa wale wenzetu wa zidumu fikra za Mwenyekiti ndio ingekuwa basi tena,
CCM bado ni Chama bora kabisa duania na Africa cha kupigiwa mfano,
Viva CCM, VIVA, VIVA SAMIA VIVA
CM 1774858 Wale wengine ni MASACOSS tu
Zidumu fikra za Mwenyekiti si ndio Cmm yenyewe!!CM 1774858 Wale wengine ni MASACOSS tu
Wewe muongo! Marehemu Makani ha kuongoza?Chama kinamiaka 30 kimeongozwa na ndg wawili tu yaani kijana na mkwewe tu,
Hiyo ndio maana ya zidumu fikra za Mwenyekiti,
CDM ndio nini? Achana na CCM ni habari nyingine kabisaHuwa ninacheka vibaya sana, ili ccm ijipe matumaini hewa, inabidi iwe inawataja cdm kwenye kila vikao vyao ili kujifariji kuwa cdm haipo. Ikifika uchaguzi inategemea vyombo vya dola kutangazwa washindi!