CCM Kimeandaa propaganda dhidi ya ujio wa Lowassa CHADEMA/UKAWA

CCM Kimeandaa propaganda dhidi ya ujio wa Lowassa CHADEMA/UKAWA

hyo ni ngumu aroooo... labda ahame nchi km balali
 
Usiogope hawezi kuwa mgombea
 
Wadau.

CCM wameandaa propaganda za kuwatishia CHADEMA kuwa Lowassa wamemwandaa wao kimkakati, ili katikati ya kampeni ajitoe.

Ni kweli CCM ni lazima watakuja na Propaganda za kucounter!!! Sidhani kama itakuwa na mafanikio makubwa. Hata UKAWA pia watakuja na Propaganda ya kumnadi huyu mtu!!

Watanzania siyo wajinga kiasi hicho .............. I think it's too late for that.
 
Huyo fisadi kajimaliza yeye mwenyewe na kawamaliza na cdm
 
Wewe hilo wazo toa kabisaa walivyomfanya Dodoma hawawezi kumwongelea kabisaa
 
Kila siku hakukomi habari za Lowasa humu wakati yeye kakaa kimya anawaona mnabishana wakati majibu anayo yeye.

Ukawa wanaweza kulia vibaya endapo Lowasa hajiunga maana akili za watu wanamuwaza yeye kama mgombea sasa ikitokea tofauti morali itapungua na kuanza upya kuamsha hisia za watu.
 
Nchi haiwezi kuongozwa na mkuu wa Mafisadi, bora angekuwa fisadi mdogo.

Nch inaweza kuongozwa tu na mafisadi, kama nchi yenyewe imeshindwa kuwafikisha mahakamani itakuwaje isiongozwe na hao mafisadi?
 
Nchi haiwezi kuongozwa na mkuu wa Mafisadi, bora angekuwa fisadi mdogo.

Yaani ni wewe tu unayemuona kuwa ni fisadi lakini wenzako ona walivyojazana uwanjani kumuunga mkono na kwa jinsi ulivyo na mapenzi na miCCM unafikiri wote waliojazana hapo uwanjani ni maCCM hilo wazo ondoa hapo na mchanganyiko wapo hapo kwa kuwa wanamuamini mzee wa maamuzi magumu.

MMGL2495.jpg


MMGL2533.jpg


MMGL2536.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom