CCM Kimeandaa propaganda dhidi ya ujio wa Lowassa CHADEMA/UKAWA

CCM Kimeandaa propaganda dhidi ya ujio wa Lowassa CHADEMA/UKAWA

Nitakuwa wa mwisho kuamini ati Jk kamtosa El. Siamini. Waweza kuta huu ni mkakati wao wote wa kuiondoa ccm, na ili jk asionekane ndio tatizo inabidi jamaa ake aingie magogoni kwa mlango mwingine, na bado ni wamoja bila hivyo kamwe chadema wasingemkubali El inawezekana kuna kitu wamehakikishiwa na unaweza kuta pombe akatoswa kiaina.

Siku zote naamini la JK na EL ni moja. Zingine sarakasi. Nitakua wa mwisho kuamini ujio wake UKAWA/CDM ni kutoka rohoni kwa hasira ya kukatwa. Hao mapacha wana mikakati sana. SANA! Kwa tunaoamini habari za kula njama, KUHAMA ENL CCM kwenda CDM/UKAWA ni NJAMA za kundi fisadi kuendelea kutawala.

Akiba ya maneno: Nasubiri nisikie tamko la viongozi CDM halafu UKAWA na pia yeye mwenyewe ndio nichukue uamuzi.

Kwa sasa: NAMUONEA HURUMA MAGUFULI. ZAIDI, NAONEA HURUMA HARAKATI ZETU WAZALENDO DHIDI YA UFISADI!!
 
Wadau.

CCM wameandaa propaganda za kuwatishia CHADEMA kuwa Lowassa wamemwandaa wao kimkakati, ili katikati ya kampeni ajitoe.
..hii haitowasaidia ccm...maana wakifanya hivyo itawageukia wao...maana Lowassa anajua uchafu wao kuliko yeyote...haswa uchafu uliohusisha JK na ikulu yetu....hivyo ccm wakifanya hivi watakua wanajichimbia shimo....maana Lowassa sasa hana cha kupoteza baada ya kujiunga UKAWA....Itabidi aseme yote ili kulinda reputation yake....na kwa kusema yote lazima victims watakuwa watu waliokalia ikulu yetu....na hivyo ccm sidhani kama watauweza mchezo huu mchafu (kama wakiamua kufanya hivyo).....ccm wajue kuwa kwasasa chadema na ukawa ni majasiri sana wa kujibu michezo michafu....kama hawajui wamuulize mh.Lema na Nassari kwenye chaguzi za ubunge majimboni mwao....jinsi ambavyo walipambana na michezo michafu ya ccm na kushinda....Watanzania leo wameamka hamna mashudu tena ...hatudanganyiki kifala ....
 
Kuna sehemu niliona ulikuwa unapinga ujio wa Lowassa Ukawa, bado bado una huo msimamo?

Unataka kujua msimamo wangu?Sijaelewa na sitaelewa,msimamo wangu sijabadilisha.Ubunge JJMnyika Rais sina....Labda mniambie Dr.Slaa ndiyo mgombea vinginevyo rais sina wa kumpigia.Maana hatabmakomeo naye hana nafuu na Lowassa wale wale tu.

Kama mkimchukua kama mwanachamw wa kawaida will support him,vinginevyo mhhhh!Uzuri wangu sina BEI....
 
Ni kweli CCM ni lazima watakuja na Propaganda za kucounter!!! Sidhani kama itakuwa na mafanikio makubwa. Hata UKAWA pia watakuja na Propaganda ya kumnadi huyu mtu!!

Watanzania siyo wajinga kiasi hicho .............. I think it's too late for that.

Mkuu watanzania ni wajinga sana tuliaminishwa na chadema kuwa Lowasa ni fisadi leo hii tunaambiwa ni msafi tena wanadai ushahidi kama alikuwa fisadi daaaahhh sana kweli watz ni majuwa zaidi ya abunuasi
 
Wajinga ni wewe na mke wako na family yako na wazazi wako. Lowassa ni msafi kuliko ulimi wako unao uamini ndorooobo wewe watanzania siyo wajinga wajinga ni familia yako na siyo watanzania shika adabu na ukome kabisa watanzania wakiumwa ni wewe unawatibu wanafunzi ni wewe una wafundisha jinga kabisa wewe tena jinga la mwisho kabisa we ni mkenya au eti watanzania ni wajinga labda mamako !
 
Sawa mkuu lakini nilikuwepo siku dr. Slaa alipoorodhesha watu 11pale mwembe yanga ambao ni mafisadi, katika orodha hiyo Lowasa alitajwa na akasema kuwa lnapaswa afikishwe mahakamani kwa ufisadi wake, leo Lowasa ni msafi, nasisitiza watanzania ni wakudanywa ni wajinga labda wewe haukuwepo muda huo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom