SIMBA45
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 573
- 165
Nchi haiwezi kuongozwa na mkuu wa Mafisadi, bora angekuwa fisadi mdogo.
Alipokuwa ccm mbona amkusema ni fisadi, kingine mbona amkufikisha mahakamani kwanini umuhukumu mtu kabla ajahukumiwa..kwa ccm yenyewe ndyo imejaa mafisadi papa kama mkulu na familia yake, kinana weka mbali na tembo et al..kwanini mumuone LOWASA ndyo fisadi tu ndani ya ccm..mnachekesha kweli nyie magamba, huko ni kuweuka na dalili za kushindwa.. oct asubuhi na mapema mtahama nchi.