CCM/ Kihiyo Chegeni Kanusheni na hii…………… | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM/ Kihiyo Chegeni Kanusheni na hii……………

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Omutwale, Sep 23, 2010.

 1. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Matokeo ya Kipima joto cha ITV kilichohoji Mtazamo wa Wananchi juu ya utekelezwaji wa Ahadi ya Kutoa Afya na Elimu Bure inayotolewa na Mgombea-Urais wa CHADEMA, Dr. Slaa kama inatekelezeka kimetoa matokeo yafuatayo:
  Wanaosema NDIYO 87%
  Wanaosema HAWAJUI 2%
  Matokeo haya kwa Chama makini yanaashiria kukubalika au kutokubalika kwa sera za chama fulani na utayari wa Wapiga kura kununua sera za chama hicho au kukitosa. Wale waliozoea kukimbilia kukanusha kila takwimu zinakuwa chungu, mwaka huu wata/mtalala HABARI-MAELEZO
   
 2. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  chegeni fanya fasta, nenda habari maelezo, ukakanushe haraka
   
 3. a

  adobe JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Hao CCM wamekwisha safari hii,hata kama watashinda ni kwa wizi kama kawaida, Ee mungu wape hamasa watanzania waiondoe madarakani CCM ni chama cha majambazi.Hotuba ya J.K jana aliwaambia watz kuwa nchi yenye amani ndo nchi inayopata maendeleo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tz imekuwa na amani 50yrs ago. ni maskini hadi sasa. Uganda ushari miaka kibao na wana accelerate kimaendeleo balaa, Kenya nao sembuse TZ.
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  SI KWELI HAYO MATOKEO YAMETOKANA NA WATU WANAO ANGALIA TV TU, SISI KAMA CHAMA TUMEWALENGA ZAIDI WALE WATU WA VIJIJINI AMBAO HAWANA UMEME HATA KAMA WANAO HAWANA TV, HATA KAMA WANAZO WAWE WALE AMBAO TV WANAZITUMIA KUANGALIA TAMSIRIA AU MAIGIZO MBALIMBALI, YAANI WENYE HAMU NA KANGA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI NA POMBE ZA KIENYEJI NA ELFU MBILIMBILI NAAMANISHA WALE WATU WANAOAMINI SIKU CCM IKITOLEWA MADARAKANI KUTATOKEA VITA KAMA RWANDA NA BURUNDI, WASIOPENDA MACHAFUKO NA WANAOPENDA HII AMANI TULIOYO NAYO INADUMU MILELE.

  KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA CHAMA CHETU KITUKUFU.:becky:
   
 5. J

  Jafar JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo mnafanya makusudi kutowapa maendeleo ili muweze kuwatawala milele (what a disgrace !!!)
   
 6. T

  Tata JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Hii zinaitwa siasa za umaskini (politics of poverty) ndugu yangu. Unawafanya wapiga kura kuwa maskini na wasio na elimu kiasi kwamba wanaamini kuwa wewe ni kiongozi pekee unayeweza kuwakomboa. Ukiongeza na virushwa vidogovidogo vya Tshirts, kanga, chumvi na elfu mojamoja basi unakuwa umewamaliza kabisa.
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  What a dumbest comment, halafu mwalimu wako wa kiswahili sijui alikuwa ni nani? Na wa shule gani?
   
 8. M

  Mutu JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kweli watachoka kukanusha ,ahaaaaaaaaaaa watalalahabari maelezo
   
 9. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  vijini hawana umeme tena wakati jakaya kikwete kaahidi lapatop kwa kila mwanafunzi wa sekondari ya kata?
   
 10. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nadhani kuelekea mwisho wa kampeni CCM itaahidi elimu na matibabu bure, wait and see!! And i will not be suprised, kwa kuwa CCM wanaweza kufanya lolote, si umemsikia Makamba akisema kuwa ilani ya CCM inaongelea kuboresha usafiri wa anga na majini na haiwezekani bila kununa meli na kujenga viwanja vya kimataifa vya ndege. Sasa hawakawii kusema kuwa kuboresah elimu na afya ni pamoja na kutoa elimu bure na matibabu bure-- wait utaona hicho kituko!!!
   
 11. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  laptop zitachajiwa kwa kutumia gesi ya kinyesi cha ngombe, hakuna haja ya umeme, ebooo!
   
 12. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hivi unatumia spinal cord kufikiri au ubongo?
   
 13. d

  david2010 JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kwa weli hao vijan wetu au viongozi wa vyama ambavyo hawapo madarakani natia moyo tupo pamoja na wakati huu ni wenu kuweza kuuza sera zenu na watu watawatambua kwa sera na uadilifu wenu na wataamua siku ya tarehe 31 oct ninachomba tu wasihangaike na ccm kwani ndio inatapata kama kuku anaytaka kutia roho kwani wakati mytu unakaribai kufa unajitahidi kufanya unalaoweza lakini mwishoni uanambulia ulikopangiwa na mungu ni wakati wa CCm kuachia madaraka hata kwa damu ikibidi Mungu atafanya wao kama walivyofanya wamisri na Farao katika pigo la mwisho
   
 14. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280
  Sasa kama anaweza kutoa laptop kwa kila mwanafunzi inakuwaje aseme elimu bure Tz haiwezekani??
   
 15. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,145
  Likes Received: 1,240
  Trophy Points: 280


  Huo ndio mtaji wenu, SSM haitaki wapate maendeleo, wasiwe na TV na wala solar power, wasipewe elimu ya bure, waendelee kuwa maskini ili iendelee kuwakandamiza.

  Anyway huo ndo mtaji wenu (Ujinga na Umaskini) lakini siku moja utaisha.
   
 16. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mwalimu wake alikuwa Salma Kikwete (first lady) pale shule ya msingi.....
   
 17. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Aiseee
   
 18. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Laptop kwa kila mwanafunzi wa mjini ambapo kuna umeme na huku kwetu vijijini ambako umeme bado ni ndoto watu tunakuwa mpaka watu wazima tukisafiri mjini ndio tunaona umeme itakuwaje kutumia hizo laptop
   
 19. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160

  Mkuu hao waliohojiwa ni kati ya wangapi?

  Tatizo la wabongo ni kutatanishwa na takwimu,kwani inawezekana wamehojiwa watu wanne tu wa hapo kariakoo na posta

  tuwe makini na hizi tafiti kwani wakati mwingine zinaweza kueleza issue tofauti na ilivyo

  sipangani na hoja,napingana na kutumia takwimu za kinazi kuelezea msimamo fulani
   
 20. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Fikra za ezan ni kama hio avatar yake, unafikiri vijiji kama vya sasa na sawa na vile vijiji vya ujamaa vya mwalimu, siku hizi watu wanakula newz, kwani solar kibao, hebu nenda kule umasaini ndio utashangaa, utakuta nyumba ya full suite ina solar na dish kubwa nje na bado mtu ana simu kwani anatumia umeme wa sola kuchaji hio simu, acha ujima wewe.Watanzania sio wadanganyika tena kaka, wanakijiji wamejanjaruka kwa sana tu sasa,wanajua kila kitu kinachoendelea duniani, so usiwa under grade kabisa.Matokeo hayo yana ukweli sana, angalia jisni matumizi ya fedha za umma yanayofanywa na hawa viongozi yalivyo juu.Inawezekana kutoa elimu na afy bureeeeeeeeee ni kujipanga tuu.
   
Loading...