Tonge
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 695
- 12
Fikra za ezan ni kama hio avatar yake, unafikiri vijiji kama vya sasa na sawa na vile vijiji vya ujamaa vya mwalimu, siku hizi watu wanakula newz, kwani solar kibao, hebu nenda kule umasaini ndio utashangaa, utakuta nyumba ya full suite ina solar na dish kubwa nje na bado mtu ana simu kwani anatumia umeme wa sola kuchaji hio simu, acha ujima wewe.Watanzania sio wadanganyika tena kaka, wanakijiji wamejanjaruka kwa sana tu sasa,wanajua kila kitu kinachoendelea duniani, so usiwa under grade kabisa.Matokeo hayo yana ukweli sana, angalia jisni matumizi ya fedha za umma yanayofanywa na hawa viongozi yalivyo juu.Inawezekana kutoa elimu na afy bureeeeeeeeee ni kujipanga tuu.