Uchaguzi 2020 CCM Karatu yarejesha Halmashauri baada ya miaka 20

CCM kama Barcelona ya enzi za kina Xavi Hernandez na Andres Iniesta ni mwendo wa snake pass,pass accuracy ni 100% wapinzani wameamua bora yesheee wametia mpira kwapani.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Najiuliza hii imewezekanaje?

Kuna majimbo Magufuli kapata kura 71,000 na Lissu kapata kura 3000. Sasa kama Magufuli aliwekewa kura feki, za Lissu za halali walizinyofoa kutoka kwenye mabox yale?
Haya yangekua solved kma kila kituo wangeacha mawakala wa upinzani na pia wawape nakala ya matokeo.

Mbagala 2015 yaliletwa masanduku mapya kabisa kureplace yaliyokuwepo na hapo askari wana mtutu wakati wa ujumuishwaji huna la kuzuia. Kuna maeneo mengine mnaanza kupiga kura ila kuna masanduku tayari yana kura.

So haya yanawezekana kabisa maana kura hazitumwi ki-electronic kma Kenya.
 
Watanzania kadiri muda unavyozidi kwenda ndo wanakuwa wajuzi wa Mambo hususani katika maendeleo Yao.

Wameamua kuchagua maendeleo na kuachana na propaganda.
Kama yale yaliyo sheheni katika jimbo la Spika anayemaliza muda wake? Arusha itakuwa California? Wananchi wa Kawe watapelekwa Japan na Marekani? Kila kata itakuwa na Ambulance? Watakopeshwa pesa kwa kutumia kitambulisho cha ujasirismali tu?
Ikiwa hivyo, basi kweli wamefanya uamuzi wa busara na wanastahili pongezi.

Amandla....
 
Najiuliza hii imewezekanaje?

Kuna majimbo Magufuli kapata kura 71,000 na Lissu kapata kura 3000. Sasa kama Magufuli aliwekewa kura feki, za Lissu za halali walizinyofoa kutoka kwenye mabox yale?
Waliwatoa mawakala wote wa vyama vya upinzani wakati wa kuhesabu kura kisha wakabandika hizo namba zao.
 
Najiuliza hii imewezekanaje?

Kuna majimbo Magufuli kapata kura 71,000 na Lissu kapata kura 3000. Sasa kama Magufuli aliwekewa kura feki, za Lissu za halali walizinyofoa kutoka kwenye mabox yale?
Watu muda ulipokaribia kuhesabu kura waliingiza mabegi ya kura.

Kwanza turnout ya voters ilikuwa ndogo sana worse enough wanatangaza namba kubwa sana
 
Najiuliza hii imewezekanaje?

Kuna majimbo Magufuli kapata kura 71,000 na Lissu kapata kura 3000. Sasa kama Magufuli aliwekewa kura feki, za Lissu za halali walizinyofoa kutoka kwenye mabox yale?
Ila hata Kama CCM wamejaza Kura fake Hizi 3000 ndio halali Za CCM

Walichofanya CCM ni kufidia lile gape ambalo watu hawajaja kupiga Kura

Hapo ndio tunawasema wanaharakati WA twitter hawapigi Kura na hawakai bongo

Sasa Jimbo LA watu 100,000+ wanaenda 3,000 kweli
 
Huu “ulafi” na kufuru ya CCM mwaka huu umevunja record. Inapendeza sana kwa kweli kuwa na wapinzani bungeni angalau 30% ya Wabunge.
Kweli linataka hili kwa wabunge wa upinzani wanaojielewa sio wale wanaotoka bungeni kwenye kipindi muhimu
 
Watanzania kadiri muda unavyozidi kwenda ndo wanakuwa wajuzi wa Mambo hususani katika maendeleo Yao.

Wameamua kuchagua maendeleo na kuachana na propaganda.
Uzuri ni kwamba wewe utachumia juani na kulia juani Kama mm na tofauti nyingine ni kwamba kwenye sanduku la kura wewe ulienda na fake votes mm nilienda kihalali kwa hyo kwenye msoto wewe ndio utakaeumia zaidi
 
Uzuri ni kwamba wewe utachumia juani na kulia juani Kama mm na tofauti nyingine ni kwamba kwenye sanduku la kura wewe ulienda na fake votes mm nilienda kialale kwa hyo kwenye msoto wewe ndio utakaeumia zaidi
Acha kujifariji kijana.. Hali ishakuwa mbaya maana mkishauriwaga huwa hamshauriki.
 
Wagombea wa udiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) katika Kata tisa kati ya 12 ambazo kura zimemaliza kuhesabiwa kushinda.

Akizungumza na mwandishi msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Moris Waziri amesema sasa wanasubiri matokeo ya kata tatu tu ambazo wanakamilisha kuhesabu.

Amesema kata ambazo wanakamilisha kuhesabu ni pamoja na Karatu mjini na muda si mrefu watakamilisha.

Waziri amesema madiwani wawili katika jimbo hilo wa CCM walipita bila kupingwa.

“Tunaendelea kuhesabu kura za ubunge yakikamilika tutatangaza matokeo,” amesema.
 
Leo nimemkumbuka Saddam Hussein alikuwa anashinda 99% na hao 1% walikuwa wanachinjwa mbali huko.
 
Hahah upinzani kama kawaida yao n kupinga kila kitu, unaweza kuwatangazia ushindi lkn bado watapinga
 
Back
Top Bottom