Shalom,
Mbona wawekezaji hawaji? Tumeambiwa huji tena kwasababu mama kakunyima nauli. Eti ukipewa pesa unaoa Kyela mpaka ziishe.
Mtoto wa watu uliyemwacha na mimba huku kajifungua, njoo utoe pesa za matunzo. Huyo msichana alikuwa na mchumba wake, ukamdanganya kwamba utampeleka USA, wewe mkulu kwa usanii umenishinda.
Niko na kakako Malafyale hapa. Ni mzee wa heshima, sio kama wewe msanii na kibaka wa wake za watu. Wewe inabidi uwe unashinda na Kinanasi tu maana mambo yenu yanafanana.
Engineer unatisha, yaani umeshajua field marshal ni nani na yuko na nani?How do you know?Kamba zingine bwana! Huyo mama Kilango mwenyewe kisha wakimbia wenzake kwasababu amewaona hawana mpango. Kubwabwaja kwingi matendo sifuri.
Wewe mzungushe tu kwa wafadhili wamsaidie arudi tena kule Same. Angalau yeye anahangaika kusaidia jimbo lake kuliko hao wabunge wa taifa.
Faidi pesa zetu kupitia hao waheshimiwa.
Engineer unatisha, yaani umeshajua field marshal ni nani na yuko na nani?How do you know?
ooh the man is back!ulipotea mkuu.- Wakuu wote salaam sana, so far tetesi ni kwamba Rais amekiita kikao hicho ili aweke waazi msimamo wake alioutoa jana, na dataz zingine ni kwamba uchaguzi huu unaokuja unakuja na kishindo kizito sana,
- Kuna tetesi za Karamagi kupigwa chini kwenye ubunge, Chenge naye kupigwa chini kwenye ubunge, na kuna tetesi za hao kujitoa wenyewe kabla ya uchaguzi, infact the dataz ni kwamba hata Lowassa ana wasi wasi sana na jimbo lake, na sio siri tena kwamba Rostam huko Igunga is "dead" na soon atatangaza kujitoa jimboni rasmi, maana in private ameshasalim amri.
Tupo pamoja wakuu na niko kwenye good spirit than never before, maana hapa Iowa mambo yote yako sawa na masilahi ya taifa kwa wananchi!
Respect.
Field Marshall Es!
(GT, vipi ndugu yangu text, namba yako tatizo kidogo!)
MKUU,- Wakuu wote salaam sana, so far tetesi ni kwamba Rais amekiita kikao hicho ili aweke waazi msimamo wake alioutoa jana, na dataz zingine ni kwamba uchaguzi huu unaokuja unakuja na kishindo kizito sana,
Mkulu FMES,nafurahi kukuona ukiwa na nguvu mpya.Karibu jamvini baada ya kimya cha siku kadhaa.
Tunategemea habari nyeti za taifa kila tunapokuona ukiibuka.Mungu azidi kukujalia afya ili mapambano yazidi kupamba moto.Tanzania ina wenyewe bwana na wenyewe ndiyo sisi hakuna cha Makamba wala EL hii ni nchi yetu sote kwahiyo tufanye kitu kwaajili ya ujenzi na ustawi wa Taifa letu.
Mkuu FMES kudos kwa kazi unayoifanya.
...Mkono wa Mungu utawaelemea tu, haki ya mnyonge haipotei.
- Wakuu wote salaam sana, so far tetesi ni kwamba Rais amekiita kikao hicho ili aweke waazi msimamo wake alioutoa jana, na dataz zingine ni kwamba uchaguzi huu unaokuja unakuja na kishindo kizito sana,
- Kuna tetesi za Karamagi kupigwa chini kwenye ubunge, Chenge naye kupigwa chini kwenye ubunge, na kuna tetesi za hao kujitoa wenyewe kabla ya uchaguzi, infact the dataz ni kwamba hata Lowassa ana wasi wasi sana na jimbo lake, na sio siri tena kwamba Rostam huko Igunga is "dead" na soon atatangaza kujitoa jimboni rasmi, maana in private ameshasalim amri.
Tupo pamoja wakuu na niko kwenye good spirit than never before, maana hapa Iowa mambo yote yako sawa na masilahi ya taifa kwa wananchi!
Respect.
Field Marshall Es!
(GT, vipi ndugu yangu text, namba yako tatizo kidogo!)
Marshal ES,
Siku hizi umegeuka Hussein Yahaya kujifanya unatabiri yale ambayo ni obvious?
Hayo uliyoyaandika hapo juu nayo ni breaking news!
Vipi mmeking mabakuri mangapi huko kwa ajili ya huyo mama yako?
Akifanya JK eti mkinga mabakuri lakini akifanya mzee au mama, unamwaga masifa yasiyo na maana.
Ila mimi namkubali mama Kilango, angalau anajua kukinga bakuri na sio kubwabwaja tu majukwaani, huku wananch wanaumia.