William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
-
- #61
Mkulu FMES, bado hakuna nyeti iliyopenyeza toka kwenye kamati ya maadili? walikuwa wanamjadili nani kule? ndugu yangu Dkt.Harisson Mwakyembe au Rostam Aziz?? najua hawawezi kumgusa Rostam Aziz kama chama lakini wanaweza kumgusa Mwakyembe kwasababu si mfadhili(kwa mtindo wa kifisadi) wa chama wala si fisadi.
- Hawa hawajaguswa kwanza alikuwa anasubiriwa Muungwana, kwa hiyo za betweeen za leo usiku na kesho, kutakuwa na habari zao hawa maana jana Muungwana kwenye sherehe za Malecela, alimsifia sana Mama K na kuwatesa mafisadi, na akasema hajui uchaguzi ujao mafisadi watapita wapi.
- Alipomaliza aliacha nyuma ming'ono mingi sana, kama kweli yuko serious na aliyoyasema au ni zile zake za kawaida, maana alisema mengi sana mazito jana na kuwaacha viongozi wengi wamepigwa na mshangao!
Respect.
FMES!
... maneno yako yote the 60s, kama ...gullibe gullibe ambayo yanaku-describe mwenyewe tena in a very serious way kuliko unavyofikiri, uanajribu kujifanya unajua kumbe hujui kitu mkuu...
Si maneno ya the '60s. "Gullible" linatumika mpaka leo, nilimaanisha si wote ni gullible, yani wanaoamini na kubugia kila unachokisema kwa vile tu wanahofia pedigree.
Kikwete hakwenda moja kwa moja kujumuika shereheni alipotoka safari. Alienda Chalinze Jumamosi asubuhi. Kikao cha Jumapili angekiwahi. Check your facts, and, or, your lies.
Tarehe za maadhimisho kwamba ni Jumamosi ni wewe ndio umezileta hapa, naenda na maneno yako mwenyewe. Au hukutumiwa taarifa vizuri toka Tanzania?
Hayo ya Makamba kumsakama Mengi kwenye vikao yeye Makamba akiwa kama Kaimu Mwenyekiti wa vikao nyoosha kauli zako kwa sababu Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM na wakuu wengine wa nchi hawawezi kuacha kwenda kwenye vikao vya CCM Taifa eti kwa udhuru wa kuhudhuria birthday. Get a clue. Peace, out.
- Dilunga haya ya dataz huyawezi mkuu, sasa achia njia nikipata dataz zaidi nizimwage hapa, umejaribu kurudia rudia maneno yangu na ya bwana William ukajaribu sana kuyachanganya ili nionekane mtu mmoja lakini unakosea tena mbali sana, sina muda wa kuendelea kubishana maana huna dataz, mara vikao, mara hakusema siasa, sasa alienda Chalinze kama iko Ikulu kweli, sasa nakuomba utafute hotuba aliyoitoa Rais kwenye sherehe uiweke hapa maana hiyo haikuwa dataz na wala sio nyeti, otherwise pole sana mkuu. Na nikukumbushe tena ni Halisi peke yake ndio anaweza kupangua dataz zangu, yeye akisema ni za uongo ujue kumekucha!
- Anyways, nikipata more dataz nitazimwaga hapa anytime, bado ninazifuatilia!
Respect na later!.
FMES
Ninapata tatizo sana kila ninapoona wazi wazi CCM kama chama nachelea kusema CCM kama chama kwasababu viongozi wanawakilisha mawazo ya chama na si ya kwao binafsi,wanapoamua kumshambulia waziwazi mtu/kiongozi ambaye anaonekana kuweka mbele maslahi ya taifa letu.
Naamini kiongozi yoyote wa chama hawezi kukurupuka kuongea maneno yake binafsi bila kuwashirikisha viongozi wenzake na kama anatoa mawazo yake lazima aweke bayana kwamba anachokiongea muda huo ni mawazo yake binafsi wala hayawakilishi msimamo wa chama.
Mengi na wapiga vita ufisadi wengine wanaweka mbele maslahi ya taifa katika hoja zao wakati makamba anaweka mbele maslahi yake binafsi na ya wanae. Ni ukweli usiopingika kwamba Makamba amekuwa akiongoza foleni ya kuomba msaada kwa Manji na hata kwa watuhumiwa wengine wa ufisadi,na ni ukweli usiopingika kwamba Makamba njaa ndiyo inayomsumbua.
Samahani kwa kusema hayo lakini Makamba ni mmoja kati ya viongozi cheap sana.
Nawasilisha
Tatu, "Mkulu" hakuleta, asingeweza kuleta, siasa za ufisadi kwenye birthday ya Malecela wakati Malecela mwenyewe ameshasema ya ufisadi na yatokanayo, yapelekwe kwenye ma sekretarieti huko. Hii ilikuwa ni fursa ya kuwakutanisha sworn enermies wa CCM kujumuika kucheka (japo kinafiki, na Capo Mkapa, jirani kaikwepa) kabla ya uchaguzi. Haikuwa food evening kuwateta mafisadi, ina kazi yake hii Birthday made in Sicily View.
Kamati kuu imempa Mzee Malecela mamlaka ya kusimamia uchaguzi huo,
Dilunga sikukuona lakini wana JF tulikuwepo pale!
Wewe sema ulikuwepo na wala sio kuwa wanaJF mlikuwepo! Ina maana mmeshaibinafsisha JF siku hizi?, usije jaribu kuijengea JF mrengo!
halafu hiyo picha hapo juu mpiganaji dhdi ya mafisadi Mama Kilango alikubali fisadi Lowassa naye awe mualikwa? au tinga lilitia kifua?[/B]