Tunakubaliana CCM haishindi uchaguzi wowote kwa kura za watanzania, "ushindi" wake unatokana na ushirika usio na hekima kati yake na wasiojulikana, polisi, tume ya uchaguzi, kura feki kwenye mabegu meusi n.k
Ukiwatenganisha CCM na wasiojulikana maana yake unataka kuwafuta kwenye ramani ya siasa za Tanzania, hata wale walioko huko CCM "wanaota" urais wanajua watatimiza ndoto zao kwa msaada wa wasiojulikana, sio wapiga kura.
Mikono ya maccm yote imejaa damu hivyo hakuna atakayethubutu kumnyooshea kidole mwenzie. Yote ni mauaji hayo.
Kwao siku hizi kuongoza no sio kuongoza, ni kutawala, hawatawali wananchi, wao wanatafuta madaraka ili wapate 10% kwa manufaa yao na familia zao, wabebane wao kwa wao kwenye kula keki ya taifa, vyeo vikubwa serikalini wapewe watoto wao; na mwisho waibe wapate ya kuhonga ili kutimiza ndoto zao za kuwa viongozi wa nchi mbele ya safari.Mkuu kwa mwenye hekima, ni heri fedheha kuliko kuwa sehemu ya ufedhuli. Ni heri kuukosa urais kama kinachohitajika kuupata ni kuuwa, kutesa, kuteka, kupoteza au kubambikizia watu kesi.
Tofauti yake itakuwa nini na kusaka utajiri na viungo vya binadamu kama kafara?
Nirekebishe kidogo hapo kwenye mahusiano yasiyo na hekima.
List nzima uliyoitaja hapo inakamilika kwa sababu wasiojulikana wamejipenyeza au kupenyezwa huko polisi, tume, mahakamani nk:
Kama CCM siyo adui, mchawi wetu ni nani?
"Inasemekana wajumbe wake hao wako kila mahali na katika kila idara wanayoiita nyeti. Si mahakamani, polisi hadi JF. Kina Sabaya ni baadhi yao. Wameigeuza nchi kuwa yenye huzuni na vilio badala ya kuwa yenye furaha na bashasha."
Na walivyo wengi wanaweza kushindaPamoja na yote mkuu shweitan peke yake ndiyo kesha nyimwa nafasi ya toba.
Kujitenga nao haiwezi kuangaliwa kuwa ni sawa na kuendelea kuambatana nao.
View attachment 1987000
Kama vipi wasiojulikana waanzishe chama chao.
Mwenye hologram ni nani?Pamoja na yote mkuu shweitan peke yake ndiyo kesha nyimwa nafasi ya toba.
Kujitenga nao haiwezi kuangaliwa kuwa ni sawa na kuendelea kuambatana nao.
View attachment 1987000
Kama vipi wasiojulikana waanzishe chama chao.
Mwenye hologram ni nani?
🧐Hiyo ni picha tu kama zilivyo nukuriwa kutokea mahakamani kama ilivyo hii:
View attachment 1987019
Au nasema uongo johnthebaptist?
na walivyo wengi wanaweza kushinda
Kitakuwa chama kama TalibanWakipigiwa ukulele kama wa mwizi nao wanaupiga ukelele huo vidole wakimnyooshea CCM, JK na hata Samia. Wao nyuma ya pazia.
Kumulikwe nyuma ya pazia kila mtu akajishindie mechi zake.
Waanzishe chama wana uzoefu wa wizi, uuwaji, utekaji, na kubambikia watu kesi na hata hukumu - watashinda wakawe sole power.
Katiba hairuhusu parallel power.
Ccm ni kikundi cha hovyo sana. Hakijawahi kuwa chama tangu Mwalimu Nyerere alipong'atuka rasmi kama Mwenyekiti wake.
Polepole ni kajitu kanafiki sana! Hutakiwi kukaamini kwa 100%Hata enzi za Sodoma na Gomora watu walipokuwa wachafu wa matendo kuliko maelezo, wasafi wachache walikuwapo.
Ushahidi wa wazi, Nuhu na binti zake wakaiepuka hasira kali ya Mola.
CCM kama hili si genge lao kweli kama anavyo lalama Polepole of recent, wajitenge hadharani na kundi hili la kihalifu sasa.
Hala hala kabla ya hatari.
CCM ndio mratibu wa magenge yote ndani ya nchi hii,wametufanya mateka na kuondoa furaha nchini,watu wanaishia kwa wasiwasi na chuki, ukigeuka huku police, ukigeuka huku tume ya uchaguzi,ukigeuka huku wasiojulikana, ukigeuka huku msajili wa vyama, wote hao ni mbeleko ya CCM