CCM jifunzeni siasa za kistaarabu toka kwa majirani

Ni sahihi kabisa. Pamoja na mapungufu ya Kikwete huwezi fananisha na Utopolo wa Magufuli
 
warioba anapata kidogo mvinyo pia sigarrete ,ndomana unakuta akili muda wote zinachaji properly ,napia anakumbuka kunakifo baada yakuwatesa wengine

Mkewake mama yetu Bibi yetu mungu amrehemu kwakumtunza vizuri mzee wetu warioba
Nimemsilikilza Warioba leo yule mzee ndio maana Mungu atamuweka sana. He is very Sincere.
 
Ni sahihi kabisa. Pamoja na mapungufu ya Kikwete huwezi fananisha na Utopolo wa Magufuli
Tatzo sisi hua hatuelewi dunia zima hii ,hakuna wakukohoa mbele ya amerika nilazima utengeneze connection ,uliona markel alivoenda kupiga magoti US alivokua anamsapot Putin miezi miwili iliyopita kisa bomba lamafuta ,Sasa hivi Russia kimya mama mpaka chama chake kimedondoka uchaguzi ,hapa inaangaliwa alliance /friends ,ukijobolewa na Amerika Basi Tena ,China rafiki zake woooooote maskini Hana uwezo hata wakuwasaidia ,mfano Burundi kweli itamsaidia nn China kwenye mipango yakidunia?
 
Lakini ukichunguza kwa undani unaweza kuona China, Russia, US na Uk wao jambo lao ni moja. Ni kama marafiki hivi wanaojificha
 
Kuna jirani mwenye siasa za kikabila na kishenzi kama Kenya?!!!!!!
 
Lakini ukichunguza kwa undani unaweza kuona China, Russia, US na Uk wao jambo lao ni moja. Ni kama marafiki hivi wanaojificha
Hapana hatasiku moja ,Russia ilishakubali mapigo ashukuriwe Putin aliiokoa kutoka mikono mwa amerika nowdays tungekua tunazungumza China iliyochoka ,Cuba Basi kwa watu wenye mlengo wa kijamaa


Huyu mswahili putin alivorudi toka kazini ujerumani mudawote aliishi huko kikazi nandomana anaongea kijerumani kuliko hata wazawa,alikuta Russia imechoka president ameshakubali mapigo ..kilichofata pale ndo unaiona Russia iliyofufuka
 
Kenya kwa sasa, katika uongozi, ipo hatua 1,000 mbele ya Tanzania. Wamevuka primitive politics ambazo Tanzania inapitia.

Katika nchi yoyote ile changamoto ndogo ndogo hazikosekani, lakini kilicho muhimu ni kuwa na mifumo inayofanya kazi katika kuzitatua.

Kenya wana mahakama, wana Bunge wana Serikali, na wana sheria zinazofanya kazi. Tanzania ina mahakama kiinimacho, ina bunge la mtu binafsi, ina serikali isiyotii sheria, ina sheria zinazochezewa na Rais kwa namna apendavyo.

Lakini kubwa zaidi, Kenya kwa kiasi kikubwa ina watu wanaozitumikia nafsi zao kama binadamu kamili, huku Tanzania ikiwa imejaa watu wajinga, wanafiki na wasiojitambua. Watu wanaoamini ili waishi ninlazima wawe chawa wa watawala.
 
Kenya hakuna demokrasia kuna ubabe mtupu!
Kujua Kenya ina demokrasia au hapana, inatakiwa angalao uwe na akili ya kujua maana ya demokrasia, na pia uwe binadamu aliyekamilika, yaani aliye mkweli wa nafsi yake kuliko wewe uliyeamua kuwa chawa wa CCM.
 
Mbaya zaidi CCM metufanya wote ni mandondocha..wazee sawa ila vijana tumegoma.. katiba mpya

Wazee wachache wenye mawazo ya vijana ttutakwenda nao hadi mwisho kama Mzee WWarioba .kwanza Mungu ampe maisha marefu namuombea
Hata mie siyo kijana.

Tatizo tuna vijana wengi ambao uwezo wa kufikiri, ukweli kwa nafsi zao na ubinadamu wao haujakamilika. Hawa ndio wanaojigamba kuwa ni chawa wa binadamu wenzao.

Lazima tuwe na Taifa lililojengeka kwa misingi ya haki, demokrasia na uhuru wa kweli.

Samia hatakuwa na chochote cha kujivunia, wala hatakumbukwa kwa chochote, kama hatashirikiana na Watanzania wenye dhamira njema, wenye uzalendo wa kweli, hekima na busara, kuhakikisha Tanzania inapata KATIBA NZURI MPYA mapema iwezekanavyo. Asisubiri kulazimishwa, atadharaulika sana.
 
Nimesema Zamani Kenya ndio Bwana wa siasa za East Afrika Atakachofanya Kenya ujue na TZ watafanya pamoja na nchi nyengine pengine watachukua muda tu .
 
Tukio la mpinzani kujiapisha likitokea Tanzania ,hakika michirizi ya damu itatiririka hadi baharini ,wanyama hawa.Uhuru is human.
 
Majirani wana mambo mengi sana, hakuna cha kujifunza kutoka kwao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…