CCM jifunzeni siasa za kistaarabu toka kwa majirani

Rais Mh.Uhuru Kenyatta= Mtoto wa Mzee Jomo Kenyatta(Rais wa kwanza wa Kenya huru)......Waziri Mkuu Mstaafu mh.Agwambo Baba Raila Amolo Odinga= Mtoto wa waziri mkuu wa kwanza hayati Jaramogi Oginga Odinga 🤣🤣🤣🤣
Yeah....ila key point hapa ni kwamba wana cross kitu kinaitwa Mjaluo hawezi kutawala Kenya.. cause bye the time wakikuyu wakipambana na vuta vya MAUMAU wajaluo walikuwa ofisini wamefunga tai na wazungu...kama.chawa..

Nimesoma Kenya mimi miaka hiyo ..Mkikuyu na Mjaluo its not the way you think.
 
Ndo raha ya kunywa pombe ukiitumia vizuri ....unapata mipango Uhuru mjanja unatakiwa kua nyoka lenye makengeza

Tumeng'ang'ana na kazi iendelee ,kazi ya kutesa watu ugaidi pasipo na ugaidi
 
Ndo raha ya kunywa pombe ukiitumia vizuri ....unapata mipango Uhuru mjanja unatakiwa kua nyoka lenye makengeza

Tumeng'ang'ana na kazi iendelee ,kazi ya kutesa watu ugaidi pasipo na ugaidi
Mbaya zaidi CCM metufanya wote ni mandondocha..wazee sawa ila vijana tumegoma.. katiba mpya

Wazee wachache wenye mawazo ya vijana ttutakwenda nao hadi mwisho kama Mzee WWarioba .kwanza Mungu ampe maisha marefu namuombea
 
Tanzania inaongoza kwa UNAFIKI tena kwa Raia wake
Upo sahihi 100%; ukitaka mambo yako yaende sawa kubaliana na ka kikundi haka ka CCM...kwa mfano leo usiku huu mnajua Mh Mbowe yupo ndani ila kama akikubaliana nao he is free tomorrow morning ...ila hawajui Mh Mbowe kashayaishi maisha haya tangu yupo nasari. Utatupata kina sisi tunaoingia siasa tunavaa kandambili toka Mwadinga funza kibao
 
Rais Mh.Uhuru Kenyatta= Mtoto wa Mzee Jomo Kenyatta(Rais wa kwanza wa Kenya huru)......Waziri Mkuu Mstaafu mh.Agwambo Baba Raila Amolo Odinga= Mtoto wa waziri mkuu wa kwanza hayati Jaramogi Oginga Odinga 🤣🤣🤣🤣
Habari za hapo Denmark!?
 
Upo sahihi 100%; ukitaka mambo yako yaende sawa kubaliana na ka kikundi haka ka CCM...kwa mfano leo usiku huu mnajua Mh Mbowe yupo ndani ila kama akikubaliana nao he is free tomorrow morning ...ila hawajui Mh Mbowe kashayaishi maisha haya tangu yupo nasari. Utatupata kina sisi tunaoingia siasa tunavaa kandambili toka Mwadinga funza kibao
Yes mbowe akikubaliana hata Kesho atapewa Uwaziri Mkuu. Jaliwa anapigwa chini.
 
Mbaya zaidi CCM metufanya wote ni mandondocha..wazee sawa ila vijana tumegoma.. katiba mpya

Wazee wachache wenye mawazo ya vijana ttutakwenda nao hadi mwisho kama Mzee WWarioba .kwanza Mungu ampe maisha marefu namuombea
Pius Msekwa msimwache. Alichoonesha jana ni kwamba anahitaji katiba Mpya. Katiba ya zamani inamuogopesha hata kutoa maoni yake binafsi maana anajua itakachomfanyia.
 
Ndo raha ya kunywa pombe ukiitumia vizuri ....unapata mipango Uhuru mjanja unatakiwa kua nyoka lenye makengeza

Tumeng'ang'ana na kazi iendelee ,kazi ya kutesa watu ugaidi pasipo na ugaidi
Uhuru Kenyata ana Connection aisee.

Mwenzetu alimtuma Mulamula kupitia Mange Kimambi🤣🤣🤣
 
Yeah....ila key point hapa ni kwamba wana cross kitu kinaitwa Mjaluo hawezi kutawala Kenya.. cause bye the time wakikuyu wakipambana na vuta vya MAUMAU wajaluo walikuwa ofisini wamefunga tai na wazungu...kama.chawa..

Nimesoma Kenya mimi miaka hiyo ..Mkikuyu na Mjaluo its not the way you think.
Ni kweli. Ni sawa na wanaLumumba leo watu tunafungwa na kuteswa kwa sababu ya kudai katiba Mpya. Ikipatikana utaona na wao wanafurahi.

Mfano mzuri Wanachadema wanavunjwa miguu, wanateswa, wanafungwa, wanapigwa hadi nyaya za umeme kusikosemekana. Kesho na kesho kutwa wakipata madaraka kuna watu wataanza kulalamika.
 
Nimeambiwa Rais Uhuru yupo DC na ataongea na Biden kama Rais wa kwanza Africa kufika while House kwa official visit na zaidi wataongelea mambo ya demokrasia Africa.

Nimejuliza sisi tunakwama wapi? Mbona wa kwetu alikuwa huko huko juzi tu, nini mbaya

Haya naambiwa pia Uhuru atamkampenia mpinzani wake wa jadi kwenye uchaguzi mkuu.. Raira Ondinga ..kweli yàani Raila kumkampenia Ondinga ?

Sasa kama huamini Kenya ndiyo nchi inayokwenda kwenye ustaarabu wa kidunia huku sisi tukipeana kesi za UGAIDI.

Hivi sisi tunakwama wapi ??

View attachment 1973361

View attachment 1973362
#Fuso!
Naona kama huna uelewa kwa kiasi kikubwa na mambo ya siasa za Kenya.au una uelewa ila unajitoa fahamu ili tu umsemee Mbowe!

Kwanza unapaswa kuelewa kuwa Kenya na Marekani wana maslahi ya pamoja kwenye suala la penisula ya pembe ya Afrika. hasa tunapoongelea vita ya wenyewe kwa wenyewe Ethiopia kule Amhara na Eritrea.

Na kenya pia ina vikosi vyake vikipigana na Al shabab ndani ya ardhi ya Somalia.
Kenya ndio kituo kukubwa cha wanajeshi wa kimarekani katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Kwa hiyo rais Uhuru kuwa rais wa kwanza kuonana na Biden sio kuhusu maendeleo ya kenya bali kutaka kuangalia jinsi ya kuitumia Kenya kwa maslahi ya marekani katika pembe ya Afrika.

Kuhusu Uhuru kumpigia kampeni Raila ni simple sana,maana hata mtoto mdogo anaelewa. Uhasama uliopo katika ya marafiki wawili wa zamani Rais Uhuru na makamu rais Ruto.

Uhuru anajua kabisa kama Ruto akiingia Ikulu lazima atamlipizia
Kisasi kwa kukiuka makubaliano ya kuachiana kiti cha urais.(kama ilivyokuwa kwa Lowassa na rafiki yake wa zamani Kikwete).

Na Uhuru anajua ni vigumu makabila mengine kukubali tena kuwekewa rais mkikuyu au mkalenjini Gidion Moi.

Kwa hiyo ili alindwe vizuri kwenye ustaafu wake ndio maana ameamua kucheza karata hiyo ya Raila ambaye kwa kiasi kikubwa anakubalika na uwezo wa kuingia ikulu ni 83%.
 
Key point is ...Why Kenyatta and not king Haingaya ??
 
Uhuru Kenyata ana Connection aisee.

Mwenzetu alimtuma Mulamula kupitia Mange Kimambi
ndio ,ukitaka ushinde wiwanja vya ikulu ya marekani mudawote ,ruhusu democrasia Uhuru wakujieleza individuals Uhuru wa vyombo vya habari ,basi they will col a good boy ,muulize mzee kikwete atakwambia hapoo ilikuaje yeye akawa ana switch tumaswala kirahisi kabisa

Note,hatutakiwi kubweteka piga kazi tulipe Kodi dunia Kijiji bwana China alikua mgumu alivogundua ili upambane na amerika nilazima baadhi ya Mambo tuswitch off ,nakwasasa kitakachomchelewesha democrasia asimpiku amerika ni democrasia ,Uhuru wawatu mtu mmojammoja

Ndomana akibanwa kidogo tu lazime alegeze
 
Nimeambiwa Rais Uhuru yupo DC na ataongea na Biden kama Rais wa kwanza Africa kufika while House kwa official visit na zaidi wataongelea mambo ya demokrasia Africa.

Nimejuliza sisi tunakwama wapi? Mbona wa kwetu alikuwa huko huko juzi tu, nini mbaya

Haya naambiwa pia Uhuru atamkampenia mpinzani wake wa jadi kwenye uchaguzi mkuu.. Raira Ondinga ..kweli yàani Raila kumkampenia Ondinga ?

Sasa kama huamini Kenya ndiyo nchi inayokwenda kwenye ustaarabu wa kidunia huku sisi tukipeana kesi za UGAIDI.

Hivi sisi tunakwama wapi ??

View attachment 1973361

View attachment 1973362
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya
 
Mbaya zaidi CCM metufanya wote ni mandondocha..wazee sawa ila vijana tumegoma.. katiba mpya

Wazee wachache wenye mawazo ya vijana ttutakwenda nao hadi mwisho kama Mzee WWarioba .kwanza Mungu ampe maisha marefu namuombea
warioba anapata kidogo mvinyo pia sigarrete ,ndomana unakuta akili muda wote zinachaji properly ,napia anakumbuka kunakifo baada yakuwatesa wengine

Mkewake mama yetu Bibi yetu mungu amrehemu kwakumtunza vizuri mzee wetu warioba
 
Back
Top Bottom