BIG Banned
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 262
- 71
Yani watu wamejichokea!. kweli wamelazimishwa kwenda hapo.
Hahahahaha.......hii nimeipenda !Nambari wani eeh, nambari wani, nambari wani ni ccm lol.Hivi hiki ndio kile chama numbro uno?kweli mbuzi yake kamba ukimuona na mnyororo huyo mbwa
Kwahiyo macho yako yalipoupelekea ubongo wako na wenyewe ukatafsiri hii ndo nyomi. Teh teh te teh nicheke niongeze siku miye
Walikuwa wakifanya mkutano wa kampeni? Mbona walichosema ni kile kile wanachosema kila mara? Ni kitu gani kipya walichosema!? Aibu tupu.
ulijuaje bc,chanel ya magamba na sio ya watanzania.
Naomba kuuliza ulikuwa msibaaaaaaaaaaa au mkutano? maana watu wamekata tamaa utadhani utadhani msiba wa kijana mwenye umri wa chini ya miaka 20..........
KIKWETE chama kinamfia mikononi mwake. Uongozi wakufuata mtandao uliopo umegeuka sumu.