figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,148
- 64,483
http://a8.sphotos.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash3/582463_456476297697787_1336415100_n.jpg[/IMG
watu walikuwa wengi kiasi kwamba nape alikuwa akirudia neno "wanaweza...???" kila dakika.
Ninakukubalia msemo wako Mkuu.. Bushloiaz wengi wa inzi hauwezi kumaliza Mavi hahahahahahahah kasheshe kweli chama cha magamba.Hivi hiki ndio kile chama numbro uno?kweli mbuzi yake kamba ukimuona na mnyororo huyo mbwa
usafiri ulikuwepo wa kutosha. yaani magari yalikuwa mengi kuliko watu
wanaccm wakisikiliza mziki wa twanga pepeta
wengine walikuwa wakiona aibu kupigwa picha.
wanaccm wakimsikiliza nape
wanaccm wakimsikiliza magembe na sera za maji.
walio kosa viti walisimama kwa nyuma
watu walikuwa wengi kiasi kwamba nape alikuwa akirudia neno "wanaweza...???" kila dakika.
chombo chao cha habari kilikuwepo.mia