imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,456
Ndio kavialika Vikwazo mwenyewe Mbowe atatatoka lakini misaada imesitisitishwa.Siku DJ makengeza akistaafu ndo tutawaelewa. Vinginevyo huu muda ni wa kuchapa kazi kuanzia level ya mtu mmoja mmoja, familia na taifa kwa ujumla. Sio kila time ni za kubishana na viroja vya JF badala ya hoja za msingi za kujenga taifa letu. Ishu ya CDM na UFIPA kwa ujumla kutumika na mabwanyenye kuifanya serikali ya awamu ya tano isitulie ktk kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya wananchi hasa wanyonge imeshashtukiwa kitambo sana. Wanasema hata dhahabu hupitia kwenye moto mkali sana ndipo ing'ae. Raisi MAGUFULI endelea kukamatilia hapohapo hadi wakora na manyang'au wasalimu amri
Mpaka atakaporuhusu watu wapige siasa sasa kumuweka mdani Mbowe na viongozi wengine atapata faida gani tena ni bora Mbowe ang'ang'anie humo humo kama mandela mpaka CCM awamu ya tano ikubaliane na masharti ya tume huru na uchaguzi huru.