Hata haujaeleweka,tulia uandike vizuri tukueleweHumu mtu mmoja anazo akaunti kibao. CCM humu huja kuonesha hoja kinzani zenye mantiki na kuvunja hoja za uongo.
Binadamu wenye uwezo wa kutafakari hulinganisha Mchango pinzani na hubaki na uamuzi

Maccm sijui hata tuyatukane kwa matusi gani ndo yagutuke usingizini
Kila wakati CCM wakizidiwa kwenye mijadala humu JF hukimbilia kusema kuwa "CCM haipendwi JF tu lakini mitaani inapendwa"
Niwafahamishe CCM kwamba sisi tunaochangia humu tunaishi mitaani na siyo mashine (Robot) bali ni watu halisi.
Sisi tumo mitaani na wakati mwingine maoni tunayoyatoa ni ya watu wengi walioko "mitaani" CCM inakosema inaungwa mkono!
Kama mnaungwa mkono mitaani na mnapingwa kwenye mitandao ya kijamii, ni kwa nini basi msiruhusu huko mitaani CHADEMA nao wafanye siasa ili ionekane wanavyokataliwa na watu wa mitaani?
Polisi+Vyombo vyote vya dola=CCMMaccm yanajua watanzania hawayapendi ila yanalazimisha kupendwa
Humu mtu mmoja anazo akaunti kibao. CCM humu huja kuonesha hoja kinzani zenye mantiki na kuvunja hoja za uongo.
Binadamu wenye uwezo wa kutafakari hulinganisha Mchango pinzani na hubaki na uamuzi
Mpaka vizazi vitano toka CCM izaliwe ndo watu watajitambua sababu elimu ilishafutwa vijijini tangu walipoanzisha kayumba na sec. za kata.Ni vigumu.
Lakini usichoke kumwelewesha.
Kila mmoja Ana kipaji chake wengine week, wengine mwezi na wengine miaka Kuja kufahamu.
Ukiona hujaelewa ujue haikuhusu. Nenda kasome vitabu vya tujifunze kusoma hatua ya kwanzaHata haujaeleweka,tulia uandike vizuri tukuelewe
Mbona michqngo yenyewe huwa ni ya aina moja. Upanzani ujue njia bora ya kufanya siasa sio kuangaika na matukio. Lazima wawe na itikadi wanayoipigania. Kingine upinzani wanaamini hii nchi imekamilika katika. Ukija na Sera ambazo mtu anafikiria namna atakavyojifunza namna ya kuishi katika nchi yake sijui serikali tatu, majimbo. Mtasubiri sanaUtakiwa unajidanganya mwenyewe, kama unadhani ni rahisi kuwa Na I'd zaidi ya 1 Na bado ukachangia Kwa I'd zote jaribu uone kama ni rahisi, sana sana utajikuta unaandika kitu kile kile. Hata huko majukwaani ccm sio kwamba inajenga hoja za ushawishi sana, Bali vyombo vya dola ndio huwa Masada wao.
moesy alisema andika ueleweke ukamzodoaMbona michqngo yenyewe huwa ni ya aina moja. Upanzani ujue njia bora ya kufanya siasa sio kuangaika na matukio.
Itikadi ni nini na kwa mfano Itikadi ya CCM ni ipi na wanaipiganiaje?Lazima wawe na itikadi wanayoipigania.
Hapa ulitaka kuandika nini?Kingine upinzani wanaamini hii nchi imekamilika katika.
Sentensi yako hii inaanza kwa umoja lakini inamalizikia kwa wingi na hivyo kukosa mantiki. Umamwambia unayemjibu ama unawaambia wapinzani wote?Ukija na Sera ambazo mtu anafikiria namna atakavyojifunza namna ya kuishi katika nchi yake sijui serikali tatu, majimbo. Mtasubiri sana .
Mbona michqngo yenyewe huwa ni ya aina moja. Upanzani ujue njia bora ya kufanya siasa sio kuangaika na matukio. Lazima wawe na itikadi wanayoipigania. Kingine upinzani wanaamini hii nchi imekamilika katika. Ukija na Sera ambazo mtu anafikiria namna atakavyojifunza namna ya kuishi katika nchi yake sijui serikali tatu, majimbo. Mtasubiri sana
Kwanza nashukuru kwa kusoma kwa kuzama. Nianze na hilo la mwisho nimetumia umoja nikimaanisha chama hasa chadema ndio wenye mambo ya serikali tatu, majimbo na mambo kadha wa kadha hata bendera wanaamini nchi limwaga damu hivyo rangi nyekundu lazima iwepo. Haya mabadiriko yote ni wazi yatazaa nchi mpya.moesy alisema andika ueleweke ukamzodoa
Itikadi ni nini na kwa mfano Itikadi ya CCM ni ipi na wanaipiganiaje?
Hapa ulitaka kuandika nini?
Sentensi yako hii inaanza kwa umoja lakini inamalizikia kwa wingi na hivyo kukosa mantiki. Umamwambia unayemjibu ama unawaambia wapinzani wote?
Ni kweli kuna baadhi ya maneno teknolojia imeniletea shida.Sorry, kuna makosa madogo madogo ya kiuandishi umefanya kiasi inaondoa hasa unataka kusema nini. Kama hutojali rekebisha hilo kwanza
Ni kweli kuna baadhi ya maneno teknolojia imeniletea shida.
Una matatizo makubwa ya kiuhandishi,cha muhimu ni kujifunza taratibu utafikaKwanza nashukuru kwa kusoma kwa kuzama. Nianze na hilo la mwisho nimetumia umoja nikimaanisha chama hasa chadema ndio wenye mambo ya serikali tatu, majimbo na mambo kadha wa kadha hata bendera wanaamini nchi limwaga damu hivyo rangi nyekundu lazima iwepo. Haya mabadiriko yote ni wazi yatazaa nchi mpya.
Hivyo kwa upya huo ni lazima ujifunze jinsi ya kuishi katika nchi uliyoizoea.
Katika mataifa mkubwa chama kingine kikishinda mabadiliko utayaona kwa vipaombele na utozaji kodi tu. Wengine huongeza kwa matajiri na wengine huongeza kwa watu wa chini
Huku kwetu hubadiri mpaka jina la nchi. Utasikia Shirikisho la .....
Hayo uliyotilia alama nyekundu ni teknolojia niliyoitumia ni changamoto. Ila imeeleweka nilichokusudia kueleza.

Poa ngoja nifanye hivyoSawa, pole ndugu. Set keyboard kuwa kiswahili badala ya English kwenye simu janja(smartphone) yako.
Sio wewe naye unatatizo kusoma na ufahamuUna matatizo makubwa ya kiuhandishi,cha muhimu ni kujifunza taratibu utafika