The Prezident
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 459
- 176
Hili ndilo tatizo kubwa la nchi hii na watu wake, hatuna uthubutu. The Boss, ni chama kipi kingine kimewahi kukamata madaraka ya nchi hii hadi useme hakuna replacement inayoaminika? Unatumia vigezo gani? Yaani unataka kuwaambia Watanzania waendelee kuongozwa na dead man walking kuliko kuwapa wengine ambao angalau wanajitutumua? What kind of thinking is this? Comments kama hizi huwa zinanikera kweli kweli kwani ni kama vile hivi tumelogwa, taifa limejaa dead men walking! Fikiria tunao watu wanaosema, hapana imetosha, hatuwezi kuendelea na watu wale wale, ni heri tufanye mabadiliko halafu anakuja mwingine anadai haoni mbadala, heri tuendelee na wale wale!
I understand, change can be scary. Doing anything for the first time or stepping into the unknown can at times be frightening and so requires courage and resolve, two ingredients most of us Tanzanians lack. But when one has hit rock bottom like we have, the only way out is up. It is insane to expect the same minds that led us into the pit to take us out of it hence the need for change; complete overhaul and complete about turn.
Wewe jazba inakufanya ushindwe kuelewa nilicho andika
umeelewa nilicho andika?
wapi nimesema tuendelee na hawa hawa?
huoni nimeuliza na tena nimemuuliza mtu mmoja kuwa je anaona replacement?
na swali ni je wananchi wanaiona replacement?
huelewi nini haswa?
kuuliza wananchi wanaona ndo sawa na kusema wananchi hawaoni?
na hata kama ningesema mimi sioni tabu ingekuwa wapi?
si ingekuwa msimamo wangu binafsi?
wewe kama kuna replacement iliyokushawishi na ukaiona na kuiamini
huna haki ya kuwalaumu ambao hawajashawishika na kuiona hiyo replacement...
Shida sio CCM kufa kabisa
CCM now ni kama 'dead man walking'
shida ipo kwenye replacement tukishaizika CCM
je wananchi wanaiona na kuiamin replacement?
we umeiiona?
Lowassa hawezi kuenguliwa na ndilo hofu na tumaini la wengi. Kama ataenguliwa basi CCM itapona japo sasa hivi ipo ICU watu hawajui tu ila wao wanajua hilo. Wala sio wasiwasi ya Lowassa kukihama chama bali vichwa haswa wamejiandaa kukihama chama kama Lowassa atapita uchaguzi CCM na hiki ndicho UKAWA wanakisubiri mwaka huu 2015 - kazi kwisha... Ya Mwanakijiji yametimia.
Typical statement from a dead man walking, at least this much I expected! Maybe you didn't say it in so many words, truth is you implied it and that is even worse; you don't even have the courage to do so plainly. Tatizo ni kwamba wanafiki mko wengi. Mara ngapi swali linajitokeza humu likiuliza hao wapinzani wamefanya nini, mbona wameshindwa kutimiza ahadi zao, kwa nini wanapenda kulia lia. Wakiandamana wakipinga, wakashambuliwa na polisi, wakapigwa wakaumizwa na hata wengine wakauawa, mpo watu mtakaowabeza mkidai wameyataka wenyewe. Shame on you people!Wewe jazba inakufanya ushindwe kuelewa nilicho andika
umeelewa nilicho andika?
wapi nimesema tuendelee na hawa hawa?
huoni nimeuliza na tena nimemuuliza mtu mmoja kuwa je anaona replacement?
na swali ni je wananchi wanaiona replacement?
huelewi nini haswa?
kuuliza wananchi wanaona ndo sawa na kusema wananchi hawaoni?
na hata kama ningesema mimi sioni tabu ingekuwa wapi?
si ingekuwa msimamo wangu binafsi?
wewe kama kuna replacement iliyokushawishi na ukaiona na kuiamini
huna haki ya kuwalaumu ambao hawajashawishika na kuiona hiyo replacement...
Analysis yako ni sahihi. Wote wameamua kukomalia humo humo iwe kwa woga au kiburi. Tatizo hata wakikubaliana baadaya uteuzi wa wagombea bado kutabaki makundi. Chama kitaendelea kuwa na matatizo makubwa zaidi maana ni afadhali adui aliyeko nje kuliko adui wa ndani. Makundi yaliyoko ndani na ya kisiri yanasumbua aidi kuliko yaliyoko nje na dhairi. Kwa vyovyote vile ni shida, wampitishe Lowassa au wasimptishe!Sidhani kama itameguka! Wakati mmoja akina Mwakyembe, Sitta et al walisema kama gamba halivuki wao wataondoka. Gamba likakwama kiunoni. Hawakuondoka. Ilipokuja katiba wakaungana, mpaka Mwayembe akamwita Chenge mtemi! Sasa unajiuliza hawa watu wanasimamia nini? Jibu ni hakuna, ndio maana liwalo na liwe, maadam mkono unakwenda kinywani, basi sisi ni CCM damu.
Weka Lowassa, Chenge upande mmoja kisha weka Sitta, Mwakyembe upande mwingine. Jiulize kati ya makundi haya ni kitu gani wanachoshabihiana. Ni kimoja tu - ufisadi! Chukua makundi mengine - kama yapo - fanya hivyo hivyo. Utagundua kinachowaunganisha CCM sasa hivi ni ufisadi. Kwamba kila mmoja kesha-fisidi hivyo kilicho bora ni mmoja wao kuwa Rais aendelee kulinda maslahi yao - ufisadi. Kwa hiyo, pamoja na sarakasi zote wanazocheza sasa hivi utafika wakati watakumbatiana na kutuongopea kuwa wamekomaa kisiasa kumbe wapi - wamekubaliana ufisadi kwa kwenda mbele. Sidhani kama CCM itavunjika kwa hiari - natofautisha na KANU kwa sababu Kenya kuna wanasiasa waliokuwa na nguvu za kiuchumi hata nje ya siasa hivyo ilikuwa rahisi kwao kutoka KANU. Tanzania kuna wanasiasa matajiri uchwara-wanaotegemea ufisadi kuishi kibiashara - hawatathubutu kutoka CCM. Hivyo sioni CCM ikiwa kama KANU.
CCM itaondolewa madarakani kwa nguvu ya umma, si kwa hiari yake yenyewe.
Kumeguka kwa CCM ni dhahiri. Lowassa amekusanya kundi kubwa la viongozi na wanachama kiasi kwamba asipopitishwa vikao vya NEC na Mkutano Mkuu vitakuwa na vurugu na havitafanyika. Naamin Kikwete hapendi jamaa apitishwe na chama kugombea, lakini bahati mbaya au nzuri hana kawaida ya kuchukua 'unpopular' decision. Ndiyo maana anapenda kuwatumia watu wengine kama Nape, Mangula na Makonda. Japo hampendi jamaa hana uwezo wa kutamka wazi kuwa hana vigezo. Tena Lowassa anatishia kujiondoa CCM kwa kauli zake alizorudia mara kibao ya kuhusu mabadiliko kupatikana ndani au nje ya CCM.
Hapana CCM haiatmeguka baada ya uchaguzi,itameguka kabla ya uchaguzi tarehe 12/06/2015
CCM itavunjika hilo halina shaka. Unachochangaya hapa ni matokeao ya kuvunjika huko. Huo mvunjiko upo kwa pande mbili. Upande wa kwanza utakuwa na NGUVU NA MAMLAKA kuliko CCM ya mwanzo. Upande wa pili utakuwa CCM iliyopitwa na wakati.
Awamu ya 5 iko mikononi mwa CCM yenye Nguvu na Mamlaka yaliyoirudishia Uasisi na Uasili Wake. Hali Halina UBISHI.
Na wewe The President, tatizo lako ni kwamba unadhani unaielewa CCM lakini kulingana na post yako naona huielewi na huijui CCM. CCM wameweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa sababu moja, umoja wao na uwezo wao katika kulindana na kuteteana pale wanapokabiliwa na utata. Kama unafuatilia malumbano ambayo mara nyingi yangehatarisha umoja wao, huwa wanaitana na kuwekana sawa na kutoka hapo wakiwa wamoja.Uwezekano wa Wa Kutokea CCM moja nzito yaye Heshima na Mamlaka yenye Nguvu kuliko UKAWA na CCM Lowasa UPO. Na hiyo ndiyo ya kuchukua Uongozi.
Typical statement from a dead man walking, at least this much I expected! Maybe you didn't say it in so many words, truth is you implied it and that is even worse; you don't even have the courage to do so plainly. Tatizo ni kwamba wanafiki mko wengi. Mara ngapi swali linajitokeza humu likiuliza hao wapinzani wamefanya nini, mbona wameshindwa kutimiza ahadi zao, kwa nini wanapenda kulia lia. Wakiandamana wakipinga, wakashambuliwa na polisi, wakapigwa wakaumizwa na hata wengine wakauawa, mpo watu mtakaowabeza mkidai wameyataka wenyewe. Shame on you people!
Kama fisadi ni moja tu ndani ya CCM, kama mikwara yote ya watangazania 42 inasababibishwa na mtu moja tu, kama katika idadi ya wananchama wanaodaiwa kuwa milioni tano (sic!) fisadi na mwizi ni mtu moja tu, kama kwa watangazania wote 42 ni mtu moja tu anayedhani chama ni cha kwake na kama, kama...duh! Heri hiki chama kivunjike vipande vipande kila moja abebe fito zake.
Fikiria mtu moja...EPA yeye, Richmond yeye, Kagoda yeye, Meremeta yeye, mauaji ya tembo yeye, kutoroshwa kwa twiga yeye, Escrow yeye, utawala dhaifu yeye, mauaji ya Albino yeye, ufujaji kwenye halmashauri yeye, madawa ya kulevya yeye, Katiba mbovu yeye, kero za Muungano yeye, ukosefu wa madawa hospitalini yeye, uhaba wa madawati yeye, kufeli katika masomo yeye, polisi kuua watu yeye, TISS kuwang'oa wananchi kucha na meno yeye, wanajeshi kuwapiga raia yeye, kuzurura nje kwa Raisi yeye na, na...
Bavaria, je unakubaliana na Mzee Mwanakijiji kuwa kama ni kuvunjika ni heri CCM ivunjike haraka taifa lipate nafuu kwa kuondokana na yote niliyoyataja hapo juu?
We are only one week away, let's wait and see.Mkuu kama nchi yetu HAIITWI Tanzania basi maandishi mekundu yana ukweli. Lakini kama inaitwa Tanzania basi umepotoka kabisa. Nakuuliza.. hao viongozi na wanachama wenye uwezo na uthubutu wa kufanya vurugu ni kina nani?
Lowasa hatiishi ccm kama unavyodai, ila amejua wezi wapo wengi wamejifa kwenye jina lake wakitaka kumtoa kafara, kama ccm ni chama makini kwanini lowasa hakufukuzwa uanachama?
lowassa hawezi kuhama ccm...akienguliwa atakaa kimya....tatizo kubwa ni huyo mweyekiti wao..
Nafunga na kuomba jina la Lowassa likatwe tuone mikwara yake itaishia wapi. Mtu mmoja fisadi na mwizi hawezi kutishia watu wazima kana kwamba chama ni chake.
Hatuwezi kuongozwa na rais fisadi.