Mi naombea ife kabisa ili tuweze kuizika na kuanza upya.
Kumeguka kwa CCM ni dhahiri. Lowassa amekusanya kundi kubwa la viongozi na wanachama kiasi kwamba asipopitishwa vikao vya NEC na Mkutano Mkuu vitakuwa na vurugu na havitafanyika. Naamin Kikwete hapendi jamaa apitishwe na chama kugombea, lakini bahati mbaya au nzuri hana kawaida ya kuchukua 'unpopular' decision. Ndiyo maana anapenda kuwatumia watu wengine kama Nape, Mangula na Makonda. Japo hampendi jamaa hana uwezo wa kutamka wazi kuwa hana vigezo. Tena Lowassa anatishia kujiondoa CCM kwa kauli zake alizorudia mara kibao ya kuhusu mabadiliko kupatikana ndani au nje ya CCM.
mi naombea ife kabisa ili tuweze kuizika na kuanza upya.
Nafunga na kuomba jina la Lowassa likatwe tuone mikwara yake itaishia wapi. Mtu mmoja fisadi na mwizi hawezi kutishia watu wazima kana kwamba chama ni chake.
Hatuwezi kuongozwa na rais fisadi.
Wakati mwingine utaona ni vizuri kwa CCM kuvunjika hata kupoteza Urais na kukaa pembeni ili labda akili zitawarudia. Na inaweza kuchukua muda kweli akili kuwarudia. KANU ya Kenya ilibidi akae pembeni na ikavunjika kweli lakini ilirudi kwa namna nyingine kabisa na kundi lililomeguka. CCM inabidi iende njia hiyo.
Shida sio CCM kufa kabisa
CCM now ni kama 'dead man walking'
shida ipo kwenye replacement tukishaizika CCM
je wananchi wanaiona na kuiamin replacement?
we umeiiona?
Nafunga na kuomba jina la Lowassa likatwe tuone mikwara yake itaishia wapi. Mtu mmoja fisadi na mwizi hawezi kutishia watu wazima kana kwamba chama ni chake.
Hatuwezi kuongozwa na rais fisadi.
Lowassa hawezi kuenguliwa na ndilo hofu na tumaini la wengi. Kama ataenguliwa basi CCM itapona japo sasa hivi ipo ICU watu hawajui tu ila wao wanajua hilo. Wala sio wasiwasi ya Lowassa kukihama chama bali vichwa haswa wamejiandaa kukihama chama kama Lowassa atapita uchaguzi CCM na hiki ndicho UKAWA wanakisubiri mwaka huu 2015 - kazi kwisha... Ya Mwanakijiji yametimia.Shida sio CCM kufa kabisa
CCM now ni kama 'dead man walking'
shida ipo kwenye replacement tukishaizika CCM
je wananchi wanaiona na kuiamin replacement?
we umeiiona?
Kuna jamaa anapata wadhamini malaki kwa malaki. Ina maana;
1. Huyo jamaa ana pesa sana.?
2. Watanzania ni bei rahisi sana.?
3. Au anapendwa kweli?
Yangu macho
Shida sio CCM kufa kabisa
CCM now ni kama 'dead man walking'
shida ipo kwenye replacement tukishaizika CCM
je wananchi wanaiona na kuiamin replacement?
we umeiiona?
Hili ndilo tatizo kubwa la nchi hii na watu wake, hatuna uthubutu. The Boss, ni chama kipi kingine kimewahi kukamata madaraka ya nchi hii hadi useme hakuna replacement inayoaminika? Unatumia vigezo gani? Yaani unataka kuwaambia Watanzania waendelee kuongozwa na dead man walking kuliko kuwapa wengine ambao angalau wanajitutumua? What kind of thinking is this? Comments kama hizi huwa zinanikera kweli kweli kwani ni kama vile hivi tumelogwa, taifa limejaa dead men walking! Fikiria tunao watu wanaosema, hapana imetosha, hatuwezi kuendelea na watu wale wale, ni heri tufanye mabadiliko halafu anakuja mwingine anadai haoni mbadala, heri tuendelee na wale wale!
I understand, change can be scary. Doing anything for the first time or stepping into the unknown can at times be frightening and so requires courage and resolve, two ingredients most of us Tanzanians lack. But when one has hit rock bottom like we have, the only way out is up. It is insane to expect the same minds that led us into the pit to take us out of it hence the need for change; complete overhaul and complete about turn.