CCM itaweza kumvua uanachama Gekul?

CCM itaweza kumvua uanachama Gekul?

Kumnyang'anya kadi mtu aliebakiza miaka miwili tu ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Akivuliwa uanachama means atavuliwa na ubunge, na akivuliwa ubunge unatakiwa uchaguzi mdogo uitishwe na uchaguzi una bajeti kubwa na mchakato mrefu hivyo aachwe amalizie kipindi kilichobaki na mwaka 2025 wajumbe wamle kichwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nakukumbusha tu kwamba kina mdee bado ni wabunge na Bwana ndugai aliahidi kuwalinda kwamba CDM iliwqfukuza kwakuwa kuna mfumo dume kama wanavyolindwa . Kina mdee ccm imlinde na huyu muunga mkono juhudi mfu za marehemu ili kwakuwa huko hakuna mfumo dume.
 
Kumnyang'anya kadi mtu aliebakiza miaka miwili tu ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Akivuliwa uanachama means atavuliwa na ubunge, na akivuliwa ubunge unatakiwa uchaguzi mdogo uitishwe na uchaguzi una bajeti kubwa na mchakato mrefu hivyo aachwe amalizie kipindi kilichobaki na mwaka 2025 wajumbe wamle kichwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ila tukio alilofanya linaendana na matumizi ya pesa za wanachi
 
Huo ushahidi wa Makonda kwa nini hamuuoeleki Mahakamani?
Kama upo mbona Saed Kubenea hakuutoa Mahakamani?
Chadema mtaendelea kufeli kila siku sababu ya Roho mbaya zenu kwenye Siasa.
Chadema mkiongozwa na Mbowe ni wajasiliamali wa kisiasa!
Mnaingia siasa ili kupata short Cut za Maisha.Na pindi mnapokosa nafasi kwenye Siasa mnaishia kuunda magenge kuwasakama wale walioko siasani.
Mngekuwa Makini na wasimi wazuri tungewaona mkipenya kwenye kazi zingine na maisha yakasonga.

Jifunzeni kwa Boniface Jacob alie amua kuuza MAYAI.Na maisha yanasonga.
Kwani ushahidi dhidi ya Sabaya ulipelekwa na Chadema?
 
Kumnyang'anya kadi mtu aliebakiza miaka miwili tu ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Akivuliwa uanachama means atavuliwa na ubunge, na akivuliwa ubunge unatakiwa uchaguzi mdogo uitishwe na uchaguzi una bajeti kubwa na mchakato mrefu hivyo aachwe amalizie kipindi kilichobaki na mwaka 2025 wajumbe wamle kichwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nyuma kidogo Sheria ya uchaguzi ilikua hairuhusu miaka miwili kabla ya Uchaguzi Mkuu kujazwa nafasi kama hizó.
 
Sio hata shinikizo! Huyu maza ni mweupe sana hana hata wanaomlinda na huyu atavuliwa hadi uanachama asipokua makini! Wakati wa uchaguzi 2015 nlikuwa babati mjini kama sio wananchi kumpambania asingepita....Jimbo lake ni dogo sana yaan kata 8 tu lkn Lina watu smart sana na walimchagua kwa sababu alikua CHADEMA sera safi lkn baada ya kuwasaliti wananchi na kwenda CCM & na huu alioufanya bas safari yake ya kisiasa omeishia pale
kwani huyu ni miongoni mwa kina mdee na ile kesi yao...? maana kama alichaguliwa akiwa chadema...ameingiaje akiwa Ccm...? nifafanulie vizuri mkuu...!​
 
kwani huyu ni miongoni mwa kina mdee na ile kesi yao...? maana kama alichaguliwa akiwa chadema...ameingiaje akiwa Ccm...? nifafanulie vizuri mkuu...!​
Usichanganye!

Gekul 2018 aliunga mkono juhudi akahamia CCM akaendelea na ubunge wake hvo hvo mpaka Leo

Kina mdee walinajisi mchakato 2020
 
Back
Top Bottom