CCM itaweza kumvua uanachama Gekul?

CCM itaweza kumvua uanachama Gekul?

Kwanza awali nilidhani Naibu Waziri alikuwa akisingiziwa lakini baada ya kuona utenguzi huu nikaamini kweli amefanya huo ukatiri.

Sina shaka kwa sasa kuwa ni kweli Kiongozi huyo alihusika kwa sababu Rais anafanyia kazi "evidence based informations" hasahasa kwa viongozi wa upande wake wa serikali na chama.

Kwa kuwa imedhihirika hivyo na ikaonekana hafai kuendelea kukalia kiti cha naibu waziri, Je.. anafaa kuendelea kuwa Mbunge? Anafaa kuendelea kuwa mwanachama wa chama chake?

Majibu yangu kwa maswali hayo ni kuwa hafai kabisa kabisa.. kwa sababu tuhuma hizi ni nzito, na ili vyombo vyetu vya maamuzi visije kupigiwa simu moja vikabadili maamuzi sahihi ni bora Pauline afikishwe mahakamani akiwa raia wa kawaida.

Nawasilisha.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Kama Makonda pamoja na kashfa za mauaji zote zinazomuandama zenye ushahidi wa wazungu usio na shaka kapandishwa cheo ndio wamvue uanachama katiri asiyeua Gekul ?
 
Jitahidi ununue Infinix mkuu utakuwa umepiga hatua japo ni wale wale.
 
d8aa131e-6b9b-4d46-b958-5c487f21f26a.jpg
 
Ingekuwa CCM ni kama marekani, haina rafiki wa kudumu, basi wangemtimua ila kwakuwa wanabebabana hawatamfanya jambo. Labda raia waandamane.
 
Kumnyang'anya kadi mtu aliebakiza miaka miwili tu ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Akivuliwa uanachama means atavuliwa na ubunge, na akivuliwa ubunge unatakiwa uchaguzi mdogo uitishwe na uchaguzi una bajeti kubwa na mchakato mrefu hivyo aachwe amalizie kipindi kilichobaki na mwaka 2025 wajumbe wamle kichwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
CCM Babati ni kama mtinwa msufi,lainiiiii ! Hawawezi kukubali kuingia kwenye uchaguzi mdogo kizembe hivyo!
 
Kumnyang'anya kadi mtu aliebakiza miaka miwili tu ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Akivuliwa uanachama means atavuliwa na ubunge, na akivuliwa ubunge unatakiwa uchaguzi mdogo uitishwe na uchaguzi una bajeti kubwa na mchakato mrefu hivyo aachwe amalizie kipindi kilichobaki na mwaka 2025 wajumbe wamle kichwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mtu akisoma hii anaona JF members kama watu wehu, kumbe sio
 
Kama Makonda pamoja na kashfa za mauaji zote zinazomuandama zenye ushahidi wa wazungu usio na shaka kapandishwa cheo ndio wamvue uanachama katiri asiyeua Gekul ?
Huo ushahidi wa Makonda kwa nini hamuuoeleki Mahakamani?
Kama upo mbona Saed Kubenea hakuutoa Mahakamani?
Chadema mtaendelea kufeli kila siku sababu ya Roho mbaya zenu kwenye Siasa.
Chadema mkiongozwa na Mbowe ni wajasiliamali wa kisiasa!
Mnaingia siasa ili kupata short Cut za Maisha.Na pindi mnapokosa nafasi kwenye Siasa mnaishia kuunda magenge kuwasakama wale walioko siasani.
Mngekuwa Makini na wasimi wazuri tungewaona mkipenya kwenye kazi zingine na maisha yakasonga.

Jifunzeni kwa Boniface Jacob alie amua kuuza MAYAI.Na maisha yanasonga.
 
babati manyara imejaa watu smart sana..ni kweli ni washamba kimuonekano lakini hawa watu ni smart sana........huyu mama nampa siku 60 tu anakwenda kuwa raia wa kawaida
Na wakishatoka nje ya system
Hawana ujanja

Ova
 
Kwanza awali nilidhani Naibu Waziri alikuwa akisingiziwa lakini baada ya kuona utenguzi huu nikaamini kweli amefanya huo ukatiri.

Sina shaka kwa sasa kuwa ni kweli Kiongozi huyo alihusika kwa sababu Rais anafanyia kazi "evidence based informations" hasahasa kwa viongozi wa upande wake wa serikali na chama.

Kwa kuwa imedhihirika hivyo na ikaonekana hafai kuendelea kukalia kiti cha naibu waziri, Je.. anafaa kuendelea kuwa Mbunge? Anafaa kuendelea kuwa mwanachama wa chama chake?

Majibu yangu kwa maswali hayo ni kuwa hafai kabisa kabisa.. kwa sababu tuhuma hizi ni nzito, na ili vyombo vyetu vya maamuzi visije kupigiwa simu moja vikabadili maamuzi sahihi ni bora Pauline afikishwe mahakamani akiwa raia wa kawaida.

Nawasilisha.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Kwani kuwa mwanaccm ni Kinga ya kutopandishwa hadharani? Washenzi wako wengi tuu hakika haja ya kufukuzana
 
Kwanza awali nilidhani Naibu Waziri alikuwa akisingiziwa lakini baada ya kuona utenguzi huu nikaamini kweli amefanya huo ukatiri.

Sina shaka kwa sasa kuwa ni kweli Kiongozi huyo alihusika kwa sababu Rais anafanyia kazi "evidence based informations" hasahasa kwa viongozi wa upande wake wa serikali na chama.

Kwa kuwa imedhihirika hivyo na ikaonekana hafai kuendelea kukalia kiti cha naibu waziri, Je.. anafaa kuendelea kuwa Mbunge? Anafaa kuendelea kuwa mwanachama wa chama chake?

Majibu yangu kwa maswali hayo ni kuwa hafai kabisa kabisa.. kwa sababu tuhuma hizi ni nzito, na ili vyombo vyetu vya maamuzi visije kupigiwa simu moja vikabadili maamuzi sahihi ni bora Pauline afikishwe mahakamani akiwa raia wa kawaida.

Nawasilisha.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Ile tu kujiingiza kwenye vikesi vya migongano ya kibiashara na mambo ya kishirikina inamshushia hadhi waziri.... Na pia kama alishinikiza huyo kijana apigwe hata bila kumuwekea chupa pia ni kosa...NILICHOMPENDEA MAMA SAMIA HAKURUPUKI

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Kumnyang'anya kadi mtu aliebakiza miaka miwili tu ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Akivuliwa uanachama means atavuliwa na ubunge, na akivuliwa ubunge unatakiwa uchaguzi mdogo uitishwe na uchaguzi una bajeti kubwa na mchakato mrefu hivyo aachwe amalizie kipindi kilichobaki na mwaka 2025 wajumbe wamle kichwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umeongea ujinga mwingi

Sipo hapa kutoa hukumu, lakini je kama kweli amefanya Hilo jambo we unaona ni heri aachiwe kuwaongoza wananchi wake kwa miaka miwili kisa tu unaogopa bajeti ya uchaguzi??

Kwanini kama kweli kafanya hayo asifikishwe mahakamani,??

Wazungu ukiwa maarufu afu ukafanya ujinga ujinga ndo wanapopapenda sasa, lazima wakule kichwa ili iwe fundisho kwa wengi
 
Kwanza awali nilidhani Naibu Waziri alikuwa akisingiziwa lakini baada ya kuona utenguzi huu nikaamini kweli amefanya huo ukatiri.

Sina shaka kwa sasa kuwa ni kweli Kiongozi huyo alihusika kwa sababu Rais anafanyia kazi "evidence based informations" hasahasa kwa viongozi wa upande wake wa serikali na chama.

Kwa kuwa imedhihirika hivyo na ikaonekana hafai kuendelea kukalia kiti cha naibu waziri, Je.. anafaa kuendelea kuwa Mbunge? Anafaa kuendelea kuwa mwanachama wa chama chake?

Majibu yangu kwa maswali hayo ni kuwa hafai kabisa kabisa.. kwa sababu tuhuma hizi ni nzito, na ili vyombo vyetu vya maamuzi visije kupigiwa simu moja vikabadili maamuzi sahihi ni bora Pauline afikishwe mahakamani akiwa raia wa kawaida.

Nawasilisha.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Kwa nini unataka CCM wamchukulie hatua, wakati ni mbunge wa wananchi? Kwa nini hushangai wananchi wapo kimya na mbunge atapokea mshahara wa mwezi huu wakati amewasaliti na kuwadhuru waliomchagua?
 
Kwanza awali nilidhani Naibu Waziri alikuwa akisingiziwa lakini baada ya kuona utenguzi huu nikaamini kweli amefanya huo ukatiri.

Sina shaka kwa sasa kuwa ni kweli Kiongozi huyo alihusika kwa sababu Rais anafanyia kazi "evidence based informations" hasahasa kwa viongozi wa upande wake wa serikali na chama.

Kwa kuwa imedhihirika hivyo na ikaonekana hafai kuendelea kukalia kiti cha naibu waziri, Je.. anafaa kuendelea kuwa Mbunge? Anafaa kuendelea kuwa mwanachama wa chama chake?

Majibu yangu kwa maswali hayo ni kuwa hafai kabisa kabisa.. kwa sababu tuhuma hizi ni nzito, na ili vyombo vyetu vya maamuzi visije kupigiwa simu moja vikabadili maamuzi sahihi ni bora Pauline afikishwe mahakamani akiwa raia wa kawaida.

Nawasilisha.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Ccm mvueni ubunge huyu Mama amekipaka mavi chama chenu mpeni ubunge mwanaccm mwenzenu

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kumnyang'anya kadi mtu aliebakiza miaka miwili tu ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Akivuliwa uanachama means atavuliwa na ubunge, na akivuliwa ubunge unatakiwa uchaguzi mdogo uitishwe na uchaguzi una bajeti kubwa na mchakato mrefu hivyo aachwe amalizie kipindi kilichobaki na mwaka 2025 wajumbe wamle kichwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na CCM LAZIMA ishinde.
 
Back
Top Bottom