Ccm itatoka kweli 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm itatoka kweli 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kwamtoro, May 25, 2012.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Nimefanya utafiti kwa watu 500 kwa siku 20.

  Katika kila vijana 10. 9 Chadema 1 Ccm
  Katika kila wazee 10. 7 Chadema 3 ccm

  Kingine

  Habari yeyote iandikwayo kwenye ukurasa wa mbele katika magazeti ya kila siku.
  Kama inahusu CCM, mauzo ya siku upungua kati ya asilimia 15 mpaka 25

  Ambayo inausu Chadema, mauzo uongezeka kati ya asilimia 7 mpkaka 10

  Utafiti huu, nimeufanya katika wilaya ya Temeke ambapo ina wabunge wa CCM tu.
   
 2. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,391
  Likes Received: 8,514
  Trophy Points: 280
  huo ndio ukweli wa mambo
   
 3. S

  Silent Burner Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakushauri urudi hapa Dec 2015, utalipata jibu na kwa mshangao wako CCM itashinda.
   
 4. j

  jitu1 Senior Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Dec 28, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  I agree kama hakutakuwa na Tume Huru Ya Uchaguzi
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  2015 nitakuuliza hapo vipi. Nitabandika huu uzi, usikimbie.
   
 6. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  |Mh nyie ndio mnakuja kupata pressure majibu yakitoka, yaani hivi nani kawaambia chadema inapendwa kote? ! maana yani mnajishaua kweli kweli ! ngoja 2015 ufike kwanini uandikie mate?
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa hisani ya watu wa Marekani!
   
 8. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  CCM itatoka ikulu na kuwa chama cha upinzani!!!
  Dalili zipo wazi na hata JK ameshaanza kupigia chapuo uchaguzi wa rais uhojiwe mahakamani;hii ni hofu dhahiri ya kushindwa 2015!!
  CCM wasithubutu kuiba kura 2015 kwani mwamko sasa ni mkubwa na wataishia kuharibu hata historia yao na historia kuwakumbuka vibaya!
   
 9. S

  Silent Burner Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuombeane uzima, maajabu ya siasa za Bongo yaja.
   
 10. KML

  KML JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ilo liko wazi Chadema itashinda kwa kura ila ccm itaendelea kukaa ikulu kwa fitna...simple and clear
   
 11. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama ilivyokuwa arumeru na ile chupuchupu ya igunga baada ya kugawa mahindi ya kutosha
   
 12. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Watu 500 uliwapata wapi ndugu? kwenye ma BAR? Mashuleni? Vituo vya mabasi? Hospitali?

  Uliwapa Questionaire wakajaza kwa siri au uliuliza wakati rafiki zao wanasikiliza?
   
 13. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  nina imani na dr john pombe magufuli mwaka 2015 ndie rais wa tanzania!
   
 14. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sasa ungetaka kuthibitisha hayo matokeo yako ni ya kweli, ungeleta hizo asilimia vis versa, Yani CCM iwe inangoza ungeona moto wake hapa JF! Na hiyo ingekuthibitishia wazi hayo matokeo yamepikwa. Ila kwa sababu umeleta ya kweli haa, we tarajia likes nyingi tu shehe wangu. Naomba ukafanye Vijijini ila mikoa ya kusini halafu tuone nako wanasemaje.
   
 15. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Sehemu za viwandani - Wafanyakazi, Biashara pamoja na majobless pia katika mazingira ninayoishi
   
 16. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Uzuri ni kwamba hata wewe unajua kwamba litakuwa ni JAMBO LA KUSHANGAZA.
   
 17. o

  ocs Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa utafiti wake sio,Iam sure tuna miongo zaidi ya 3 ya kuendelea kushika madaraka,Kwa mjini its ok kwamba chadema wanawatu kiasi japo hawajatufikia,jaman uchaguzi uliopita its 2years tu tuna wabunge karibu 75%, hii inaonnyesha ni jinsi gani wananchi bado wana iman na ccm,kwa utafiti wenu hasa usiotumia busara na kutojua utafiti ni nini,huwezi kuchukua research ya wilaya moja ikawasemea wengine zaidi ya wilaya 130.
  Rudi shulen kasome vizuri
   
 18. z

  zamlock JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ukweli uko pale pale na hilo linajulikana chadema watashika nchi
   
 19. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jameni...mkishangaa ya Musa mtaona ya Firauni, mkishangaa ya CCM, CDMinawaumbua....viva CDM viva, and "Aluta Continua"
   
 20. n

  nya2nya2 Senior Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani hueleweki ulikuwa unataka kusema nn!
   
Loading...