mabhuimerafulu
Member
- May 29, 2012
- 89
- 38
Iwepo Tume huru isiwepo, Mwenyekiti wake awe Nape, na kura zihesabiwe Ikulu ama Ofisi ndogo ya CCM pale Lumumba, wasimamizi wa uchaguzi wawe MaDC, bado CCM itang'oka. Upepo ni mbaya, ambaye haamini hili, ni mchawi pekee! 2015 CCM haitoki!!!!