CCM itatawala nchi kwa karne nzima

CCM itatawala nchi kwa karne nzima

Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.

Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.

Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.

Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.

Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.

Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.

Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.

Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.

Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.

Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
Wa

Watanzania sio waoga km unavyojiaminisha. Tatizo lipo kwa upinzani hauleweki pia hauaminiki. Huwezi kupigania kitu ambacho hakieleweki. Labda km haupo timamu.
Mwaka 2015 ukawa ilipata kura 52000 Kinondoni uchaguzi wamarudio imepata kura 12000. Hadi hapo unaona kuna haja ya raia kupigana na polisi? Tatizo kuu ni gia ya angani na kuanza kutakasa mafisadi. Raia wamekata tamaa wanaona ni heri zimwi likujualo.
 
Chadema ilipopata fursa ya kukamata dola ikatuletea fisadi na hivyo watu wakaamua kwa dhati na kiakili mno kuwa ni lazima waibakishe CCM.

Kwa mantiki hii CCM lazima itawale milele !

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!

kuna mtu alipiga ten per cent kwenye kivuko kakikimbizia jeshin sisi wa bagamoyo tunapiga mbiz tu kuja mjini ndege wafananao huruka pamoja kama sio fisadi mwambie amchomoe chenge uone
 
Hata wenzetu koote walikua waoga hivihivi
Libya walimuogopa sana Gadafi na jeshi lake kali
Iraq walimuogopa sana Sadam na nguvu zake za kijeshi

Siku ikifika uoga unaisha

Siku moja tumbo ambalo lilizoea kula milo mitatu kwa siku litakapo ambulia kashata moja ya mia kwa siku
Hapo ndo uoga utaisha.

So iko siku matumbo yanayolala njaa yataongea wala si uoga
Muda haujafika.
 
Kwanini unataka kupigana na Polisi?

Polisi wanapiga kura?

Tatizo lako lipo ktk box la kura

Wapo wanaoipigia kura CCM na ni wengi.

Huwezi kushinda uchaguzi kwa kupigana na Polisi.
Well said
Kwa mwoga hakuna kilio
 
9E442FE1-99BB-46FB-B5C1-AC974F4B11AD.jpeg
Hata wenzetu koote walikua waoga hivihivi
Libya walimuogopa sana Gadafi na jeshi lake kali
Iraq walimuogopa sana Sadam na nguvu zake za kijeshi

Siku ikifika uoga unaisha

Siku moja tumbo ambalo lilizoea kula milo mitatu kwa siku litakapo ambulia kashata moja ya mia kwa siku
Hapo ndo uoga utaisha.

So iko siku matumbo yanayolala njaa yataongea wala si uoga
Muda haujafika.
 
774EC36B-0148-4B83-9A36-CC91B45B3A56.jpeg
Kenny Rogers Lyrics
Play the Kenny Rogers Quiz
"Coward Of The County"

Everyone considered him
The coward of the county
He'd never stood one single time
To prove the county wrong
His mama called him Tommy
But folks just called him yellow
Something always told me
They were reading Tommy wrong

He was only ten years old
When his daddy died in prison
I took care of Tommy
'Cause he was my brother's son
I still recall the final words
My brother said to Tommy
"Son, my life is over,
But yours has just begun."

Promise me, son,
Not to do the things I've done
Walk away from trouble if you can.
Now it don't mean you're weak
If you turn the other cheek
And I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man

There's someone for everyone
And Tommy's love was Becky
In her arms he didn't have to prove he was a man
One day while he was working
The Gatlin boys came calling
They took turns at Becky
And there was three of them

Tommy opened up the door
And saw his Becky crying
The torn dress, the shattered look
Was more than he could stand
He reached above the fireplace
Took down his daddy's picture
As his tears fell on his daddy's face
I heard these words again

Promise me, son,
Not to do the things I've done
Walk away from trouble if you can
Now it don't mean you're weak
If you turn the other cheek
And I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man

The Gatlin boys just laughed at him
When he walked into the bar room
One of them got up
And met him half way 'cross the floor
Tommy turned around they said
"Hey, look, old yellow's leavin'."
You could've heard a pin drop
When Tommy stopped and locked the door

Twenty years of crawling
Was bottled up inside him
He wasn't holding nothing back
He let 'em have it all
Tommy left the bar room
Not a Gatlin boy was standing
He said, "This one's for Becky,"
As he watched the last one fall
N' I heard him say

I promised you, Dad
Not to do the things you've done
I walk away from trouble when I can
Now please don't think I'm weak
I didn't turn the other cheek
Papa, I should hope you understand
Sometimes you gotta fight when you're a man

Everyone considered him
The coward of the county

Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.

Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.

Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.

Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.

Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.

Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.

Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.

Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.

Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.

Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
Mkuu, hayo uliyoandika ni moja ya sababu sikatai.
Binafsi naelekeza lawama kwa wasomi na si raia wote kwa ujumla wao.
Ubinafsi wa wasomi wa nchi yetu ni janga.
Wanashindwa kuunda vyama vya upinzani vyenye sera za maana.
Pia wanahuni taaluma zao na kukimbilia siasa kwaajili ya tija za muda mfupi na matumbo yao tu.
Je kwa mantiki yako, waTz wakitaka kukiondoa ccm kwa njia ya sanduku la plastiki, ni chama gani cha upinzani hapa nchini ambacho kinaweza kuwa ni mbadala kwa mfano?
 
Inanitia shaka sana Watanzania tena ninaodhani weledi, wanakuwa na kauli za kuamasisha vurugu! Wananchi wapambane na Polisi, na dola! It isn't wise dude! Mara nyingi tu nyie wasomi hamkutwi, wanakutwa vijina ambao hawajasoma kihivyo, maisha magumu, wana watoto wanne na kuendelea, umaskini unaendelea kutoka marehemu had I kwa watoto! Tuamasishe vijana wakalime vitunguu,wafuge kuku, nguruwe wauze wajiongezee kipato siyo kupambana na Polisi! Huku nyie hamwendi! Tuamasishe vijana wajifunze ufundi nk.
 
N taifa gan lenye ustawi ambalo raia wake wanaidindia serikali???
N taifa gan lenye ustawi ambalo raia wake wanapambana na askar na wanajesh??
THIS IS TANZANIA BROTHER (In hajj manara's voice)
HII N TANZANIA KAKA!!!!
Naona wewe huna exposure lazima ni mkomunist
 
Kwanini unataka kupigana na Polisi?

Polisi wanapiga kura?

Tatizo lako lipo ktk box la kura

Wapo wanaoipigia kura CCM na ni wengi.

Huwezi kushinda uchaguzi kwa kupigana na Polisi.

wizi wa kura je??
Mawakala Feki?
Nk Nk
 
Tupambane na polisi kwa sababu gani kwa mfano?
Tukiitoa ccm madarakani ni chama gani kinaweza kuongoza nchi?
 
Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.

Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.

Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.

Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.

Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.

Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.

Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.

Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.

Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.

Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
Leo angalau umenena point ktk hili, watu wamejengewa hofu na wengi pia hawajui hata haki zao za msingi na hawawezi kuzipigania, na pia kuhusu hili la elimu ni kweli, Angalia shule za misingi na kata zinavyozalisha failures wengi. Hapo unategemea nini kama si mitaji ya watawala?!
 
Mkuu hayo yote chanzo chake ni dhana ya siasa ya ujamaa ambayo ilipandikizwa ndani ya mfumo wa maisha ya Watanganyika...

Moja ya madhara ya siasa ya ujamaa ni kuwa na taifa lenye watu walio na fikra tegemezi...

Ndio maana ndani ya nchi kama Tanzania utapata wananchi wanaotegemea ajira badala ya kujiajiri n.k

Hivyo basi hata katika siasa, Watanganyika wanaamini kuwa Nyerere ni baba wa taifa na urithi mmojawapo aliowaachia ni CCM...
 
Nina Iman bado hakuna Watanzania wenye nia ya kupigana na Dola kwa kuwa hawana sbb ya kufanya ivo.

Ila kuna kikundi cha watu walijivika UTANZANIA kina shawishi sana mapambano baina ya wananchi na dola yao.

Nyani Ngabu as we always says " charity begins at home" hebu tuambie mwenzetu mtaani kwako umewahi pambana na nani na ajenda ilikuwa nini?

Ili tuitumie kutoka nayo ngazi ya familia, mtaa, kata, tarafa wilaya mkoa hadi Taifa.

Jua hivi vitu ni connection kama hakuna basi ujue hakuna tatizo hapo zaidi ya wivu na uchu wa madaraka.
 
Ni kweli kabisa mkuu mbowe tunae muamini sababu ya woga na ujinga alitokomea kusikojulikana akatuacha makamanda!
 
Kura 18000 zote mmeibiwa??????????fanyeni siasa safi acheni ujinga
 
Back
Top Bottom