CCM itatawala nchi kwa karne nzima

CCM itatawala nchi kwa karne nzima

kweli lakini naamini hata mtu muoga kuna siku ataamka. nsomba uisikilize nyimbo ya " coward of the county" ya kenn rogers utaelewa ninachomaanisha.

Kenny Rogers Lyrics
Play the Kenny Rogers Quiz
"Coward Of The County"

Everyone considered him
The coward of the county
He'd never stood one single time
To prove the county wrong
His mama called him Tommy
But folks just called him yellow
Something always told me
They were reading Tommy wrong

He was only ten years old
When his daddy died in prison
I took care of Tommy
'Cause he was my brother's son
I still recall the final words
My brother said to Tommy
"Son, my life is over,
But yours has just begun."

Promise me, son,
Not to do the things I've done
Walk away from trouble if you can.
Now it don't mean you're weak
If you turn the other cheek
And I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man

There's someone for everyone
And Tommy's love was Becky
In her arms he didn't have to prove he was a man
One day while he was working
The Gatlin boys came calling
They took turns at Becky
And there was three of them

Tommy opened up the door
And saw his Becky crying
The torn dress, the shattered look
Was more than he could stand
He reached above the fireplace
Took down his daddy's picture
As his tears fell on his daddy's face
I heard these words again

Promise me, son,
Not to do the things I've done
Walk away from trouble if you can
Now it don't mean you're weak
If you turn the other cheek
And I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man

The Gatlin boys just laughed at him
When he walked into the bar room
One of them got up
And met him half way 'cross the floor
Tommy turned around they said
"Hey, look, old yellow's leavin'."
You could've heard a pin drop
When Tommy stopped and locked the door

Twenty years of crawling
Was bottled up inside him
He wasn't holding nothing back
He let 'em have it all
Tommy left the bar room
Not a Gatlin boy was standing
He said, "This one's for Becky,"
As he watched the last one fall
N' I heard him say

I promised you, Dad
Not to do the things you've done
I walk away from trouble when I can
Now please don't think I'm weak
I didn't turn the other cheek
Papa, I should hope you understand
Sometimes you gotta fight when you're a man

Everyone considered him
The coward of the county

Hata hizo nchi unazozisifia kwamba sio waoga, walianza taratibu, na kuna vitu vilipelekea wakafikia hiyo hatua.
Naamini hata hapa kwetu kama hivyo vitu viliyopelekea watu wakapoteza uoga vikiendelea, woga utaisha na usishangae yakatokea kama yanayoendelea mataifa mengine.

Lakini kwanini uoga uangaliwe kwenye eneo moja tu la kupambana hasa kupigana na polisi au vyombo vya dola? CCM inaweza kutolewa madarakani kwa njia nyingi tu bila hata kupambana na polisi kwa mabavu.

Kabisa unaamini CCM inaweza kuondolewa madarakani kupitia sanduku la kura?
 
Ng'wana wane, nimesema kupambana na polisi au vita na kura ni baadhi tu ya njia za kuitoa serikalini madarakani.
Sio njia pekee zilizopo mkuu.
 
Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.

Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.

Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.

Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.

Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.

Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.

Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.

Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.

Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.

Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
N taifa gan lenye ustawi ambalo raia wake wanaidindia serikali???
N taifa gan lenye ustawi ambalo raia wake wanapambana na askar na wanajesh??
THIS IS TANZANIA BROTHER (In hajj manara's voice)
HII N TANZANIA KAKA!!!!
 
Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.

Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.

Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.

Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.

Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.

Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.

Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.

Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.

Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.

Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
Kwa hyo unasemaje??
Tupigane na askar,jeshi???
Yan unataka mapinduz au???
 
Kwa mara ya kwanza naunga mkono hoja yako kwa 100%. Woga wetu ndio mateso yetu, tungemdindia na UKUTA mwaka juzi angekuwa anatuheshimu leo.
Tuliogopa uniform, jogging za mijini na sarakasi za bichi
 
Kwanini unataka kupigana na Polisi?

Polisi wanapiga kura?

Tatizo lako lipo ktk box la kura

Wapo wanaoipigia kura CCM na ni wengi.

Huwezi kushinda uchaguzi kwa kupigana na Polisi.
Ndiyo, polisi wanapiga kura.Pale wanapowasimamia wana CCM kubeba masanduku ya kura na kujaza makura yao feki.Pale wanapowakamata mawakala wa vyama vya upinzani muda mfupi kabla uchaguzi.Hayo ni kwa uchache tu,uchafu wao ni mwingi.Haiwezekani ukaandika,ukamaliza.
 
Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.

Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.

Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.

Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.

Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.

Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.

Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.

Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.

Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.

Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
Miafrika ndivyo tulivyo by Nyani Ngabu
 
Ujinga mmoja tu umeona wewe huangalii ujinga mwingine kama vyama vyenyewe kutokua na msimamo wa yale wanayopigania, na kufarakana wao kwa wao na kutimuana kwa tofauti ya kimsimamo.hiyo utasemaje kama sio ujinga kwa upande wa mmoja.
 
Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.

Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.

Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.

Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.

Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.

Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.

Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.

Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.

Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.

Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?

Mkuu pia upinzani dhaifu ndo tatizo lingine!! Yaan juzi ijumaa baada ya yule binti kupigwa risasi niliamini wangeliamsha ila hakuna lolote!! Kiongozi wa upinzani ni muoga kuliko mbwa koko.

Na hakuna kosa kubwa walilofanya kama kuahirisha ule UKUTA, pale ndo ilikua mlango wao wa kutokea. Sasa kwa ubabe unaotumiwa na ccm unategemea suluhu kwa kukaa mezani ili iweje?! Nchi imetaharuki na watu hawana aman kama hawa fisiem wanavyojinasibu!!!
 
Cheki Korea huko uone jinsi raia wasivyo na uoga.

Ukiangalia hii video utagundua police walikuwa wamesimama ,hapa bongo Hao wangechezea mitama, virungu na risasi juu za moto . Kiufupi Ccm inalindwa na Jeshi la Tanzania kwa ujumla labda Jeshi liipindue Ccm lakini sio wananchi labda itokee miujiza lakini hakuna chama cha kukitoa Ccm madarakani.
 
Mkuu pia upinzani dhaifu ndo tatizo lingine!! Yaan juzi ijumaa baada ya yule binti kupigwa risasi niliamini wangeliamsha ila hakuna lolote!! Kiongozi wa upinzani ni muoga kuliko mbwa koko.

Na hakuna ksa kubwa walilofanya kama kuahirisha ulr UKUTA, pale ndo ilikua mlango wao wa kutokea. Sasa kwa ubabe unaotumiwa na ccm unategemea suluhu kwa kukaa mezani ili iweje?! Nchi imetaharuki na watu hawana aman kama hawa fisiem wanavyojinasibu!!!
Lazima awe muoga, yote yanasababishwa na vyombo vya usalama havipo kulinda Haki za wananchi lipo kulinda maslahi yabaadhi ya viongoz wa kisiasa . Km Jeshi lisingeegemea upande wowote hayo yangewezekana kwa Asilimia 100
 
Kwanini unataka kupigana na Polisi?

Polisi wanapiga kura?

Tatizo lako lipo ktk box la kura

Wapo wanaoipigia kura CCM na ni wengi.

Huwezi kushinda uchaguzi kwa kupigana na Polisi.

Akili kutoka shithole hii mkuu! Sidhan kama umeelewa hata kilichoandikiwa! Mambo ya akili za shithole hayo lakini. Mbona ccm inashinda uchaguzi kwa kupiga watu kupitia polisiEndeleen kupalilia chuki kwa watu
 
mleta mada uko sahihi kabisa, ila hata upumbavu wa wapinzani nao unachangia...hawasomeki!!
 
Ndani ya CCM mpya kuna nidhamu ya woga; kumface mwenyekiti wa chama chake kumshauri anaona ni kheri aende Jehanam
 
Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
MiTanzania kwa ujumla wetu Ndivyo Tulivyo. Wachache wanalalamika nyuma ya keyboard, akijitokeza wa kusema basi tunamuita msaliti. Ukisha itwa msaliti suburi yatakayo kufika, sisi tutaendelea kulalamika nyuma ya key bodi zetu. Tunasubiri "Masiya"aje au CCM iache uchama DOLA ambalo halitatokea labda wawe wanajenga mnara wa "Babeli" wavurugane wao kwa wao.
 
Binafsi sidhani nitakuja kupanga mstari kupiga kura tena, 2015 ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho.
 
Ukiangalia hii video utagundua police walikuwa wamesimama ,hapa bongo Hao wangechezea mitama, virungu na risasi juu za moto . Kiufupi Ccm inalindwa na Jeshi la Tanzania kwa ujumla labda Jeshi liipindue Ccm lakini sio wananchi labda itokee miujiza lakini hakuna chama cha kukitoa Ccm madarakani.

Hiki kizazi unachokiona hapo kinakuja TZ mkuu, kila jambo na majira yake!! Kuamini kuwa hakuna wa kuotoa ccm madarakan unakosea!
 
Hata hizo nchi unazozisifia kwamba sio waoga, walianza taratibu, na kuna vitu vilipelekea wakafikia hiyo hatua.
Naamini hata hapa kwetu kama hivyo vitu viliyopelekea watu wakapoteza uoga vikiendelea, woga utaisha na usishangae yakatokea kama yanayoendelea mataifa mengine.

Lakini kwanini uoga uangaliwe kwenye eneo moja tu la kupambana hasa kupigana na polisi au vyombo vya dola? CCM inaweza kutolewa madarakani kwa njia nyingi tu bila hata kupambana na polisi kwa mabavu.

Nakuhakikishia kwa TANZANIA ni vigumu sana kuitoa C.C.M madarakani bila kumwaga damu tena ni mamia kwa maelfu ya watu lazma wawe KAFARA ili wengine waje kuishi vzur!!!

Nashaur tukae kimya kwa sababu kizazi hiki hakina uwezo Wa kuitetea nchi yao,may be miaka 100 ijayo can be done!!
 
Back
Top Bottom