CCM itakuja kufa siku walimu wakijitambua

CCM itakuja kufa siku walimu wakijitambua

Zamani nilikuwa nawatetea Sana hawa watumishi waalimu

Naanza kukuelewa mleta mada hii kada Kuna shida mahali Kuna jiran yangu ni mwalimu eti jina lake la sensa halijarudi analalamika Sana anadai atampigia mwenyekiti wa CCM wilaya kwani uchaguzi 2020 alipambana Sana sasa sijui alipambania nini?
Walimu ni janga
 
Hao walimu awafiki hata laki 5 nchi nzima weka ufafanuzi wataweza vipi iondoa ccm madarakani. Ccm itakufa siku watz wote wakijitambua
Acha ujinga wewe hao walimu Ni wanafunzi wangapi wanapiyia mikononi mwao,je wanhekiwa wanawaandaa wanafunzi mapema kupata elimu ya kujitambua,unafikili wakiwa watu wazima ,wanhekiwa na akili za funza Kama zako?
 
Hii serikali ya chama cha mapinduzi inadharau kuanzia mtoto mdogo mpaka kikongwe, haina adabu kabisa yani Kuna hili kundi la special group ~WALIMU linafanya kazi kwa mazingira magumu taabani kama wapo kuzimu lakini chaajabu tuhela wanavyopata hata muokota makopo anamzidi, hawajawahi kufrahia maisha tangu kuzaliwa kwao, walimu wanateseka sana mpaka huwa natoa machozi ila shida kubwa hawajitambui.

Walimu hawajitambui kwa sababu kuu ya umasikini. Hawajui kugoma kama wale wa Uganda maana wakigoma tu wanatishiwa kufukuzwa kazi Sasa wao wanaogopa ilihali hiyo kazi yenyewe pesa yake ni ndogo mpaka ATM inamcheka. Walimu nawashauri kwenye majukwaa yenu, magroup yenu ya WhatsApp, kwenye semina zenu jihamasisheni muanze mgomo. Serikali ya ccm iliahidi nyongeza ya 23% mkasema mama anaupiga mwingi haya sasa nadhani mmeona.

Mbona walimu mmezubaa kiasi hiki jamani halafu mmekuwa wahanga wa kutapeliwa mara QNET mpaka kwenye vyama vyenu vinawatapeli. Mwenge ukipita unalazimishwa kuchangia manina, mnatumiwa kwenye mipango kazi ya miongo na nusu miongo kama uchaguzi mkuu na sensa maana nyinyi ni cheap labour wakiamini pesa hamzijui mkipewa buku ten per day mnakuwa midomo ya ngiri sijui mkoje.

Walimu mko wengi nchi hii. Wale wa shule ya msingi hamasisheni maandamano ya wanafunzi waingie barabarani kupinga kupanda kwa gharama za maisha nchini, hali kadharika hivyo hivyo na wale wa sekondari mpaka chuo kikuu hamasisheni wanafunzi wagome na kuandamana barabarani naamini hawatakataa. Hilo likifanyika serikali hii itatia adabu.

N. B. picha ya chini haina uhusiano wowote View attachment 2300756
Binafsi walimu wanastahili mazingira magumu Tena zaidi na zaidi, Hawa wapuuzi ni sehemu ya waliotufikisha hapa na bado wallah 😬😬,Kila mwaka wa uchaguzi ndo viherehere wa kushiriki fraud kwenye chaguzi- Nasema Tena kazi iendelee
 
Hii serikali ya chama cha mapinduzi inadharau kuanzia mtoto mdogo mpaka kikongwe, haina adabu kabisa yani Kuna hili kundi la special group ~WALIMU linafanya kazi kwa mazingira magumu taabani kama wapo kuzimu lakini chaajabu tuhela wanavyopata hata muokota makopo anamzidi, hawajawahi kufrahia maisha tangu kuzaliwa kwao, walimu wanateseka sana mpaka huwa natoa machozi ila shida kubwa hawajitambui.

Walimu hawajitambui kwa sababu kuu ya umasikini. Hawajui kugoma kama wale wa Uganda maana wakigoma tu wanatishiwa kufukuzwa kazi Sasa wao wanaogopa ilihali hiyo kazi yenyewe pesa yake ni ndogo mpaka ATM inamcheka. Walimu nawashauri kwenye majukwaa yenu, magroup yenu ya WhatsApp, kwenye semina zenu jihamasisheni muanze mgomo. Serikali ya ccm iliahidi nyongeza ya 23% mkasema mama anaupiga mwingi haya sasa nadhani mmeona.

Mbona walimu mmezubaa kiasi hiki jamani halafu mmekuwa wahanga wa kutapeliwa mara QNET mpaka kwenye vyama vyenu vinawatapeli. Mwenge ukipita unalazimishwa kuchangia manina, mnatumiwa kwenye mipango kazi ya miongo na nusu miongo kama uchaguzi mkuu na sensa maana nyinyi ni cheap labour wakiamini pesa hamzijui mkipewa buku ten per day mnakuwa midomo ya ngiri sijui mkoje.

Walimu mko wengi nchi hii. Wale wa shule ya msingi hamasisheni maandamano ya wanafunzi waingie barabarani kupinga kupanda kwa gharama za maisha nchini, hali kadharika hivyo hivyo na wale wa sekondari mpaka chuo kikuu hamasisheni wanafunzi wagome na kuandamana barabarani naamini hawatakataa. Hilo likifanyika serikali hii itatia adabu.

N. B. picha ya chini haina uhusiano wowote View attachment 2300756
Wakati huo huo usisahau kuwaambia Polisi na wanajeshi wakitumwa kwenda kuwapiga risasi na mabomu wanaoandamana barabarani, WAKATAE, mahakama pia wakipelekewa kesi za walioandamana kupinga ongezeko la gharama za maisha, pia WAKATAE, magereza nao WAKATAE kupelekewa wafungwa au Mahabusu wanaotokana na kuandamana kufuatia ongezeko la gharama za maisha, lakini pia usiwasahau wakurugenzi wa halmashauri, waambie pia WAKATAE maelekezo ya kutangaza wasioshinda kwenye nafasi za uongozi!

Vinginevyo utakuwa umeangalia wanyonge na unaendeleza ukandamizaji dhidi yao kwa kuwa tu macho yako yameishia kwao, lakini mizizi ya udhalimu wa kutotenda haki imeenda mbali mno, kiasi kwamba kuing'oa hakuwezi kutegemea kundi moja la walimu tu, haitokaa itokee!

Ni mimi Themnyonge kwa sasa nipo safarini kuelekea Singidani!
 
Binafsi walimu wanastahili mazingira magumu Tena zaidi na zaidi, Hawa wapuuzi ni sehemu ya waliotufikisha hapa na bado wallah [emoji51][emoji51],Kila mwaka wa uchaguzi ndo viherehere wa kushiriki fraud kwenye chaguzi- Nasema Tena kazi iendelee
Hao walimu unaowanga kwa system ya uchaguzi ilivyo sijajua mwalimu kama anaweza akawa na uwezo wa kufanya fraud kwenye matokeo ya uchaguzi kama ni uchakachuaji unaweza fanyika ngazi ya halmashauri huku chini mwl anaganga njaa tu apate ya sembe.Acheni kuwatuhumu walimu kwa tuhuma ambazo si rahisi kufanya
 
nyie ******* kweli, si mlisema ccm itakufa 2015 haikufa hadi leo ipo, mkasema itakufa kwa Movement 4 Change haikufa, itakufa kwa kudai katiba mpya haijafa... Mbwa nyie sasa hivi mnataka Walimu wawasaidie kuiua ccm 😂😅 kima cha chini cha mshahara wa Mwl anae anza kaz Certificate ni 489,000/= hadi kufikia 2,116,000/= sasa Mwl gani aache kufundisha atoke kazin saa 9 mchana akafanye maisha yake, akae kuhangaika eti kuua ccm... Nyie pambaneni na ccm mtakufa masikini na wake zenu mama zenu wataendelea kuliwa kwasabab mmeshindwa kuwatunza 😅
 
Hao walimu unaowanga kwa system ya uchaguzi ilivyo sijajua mwalimu kama anaweza akawa na uwezo wa kufanya fraud kwenye matokeo ya uchaguzi kama ni uchakachuaji unaweza fanyika ngazi ya halmashauri huku chini mwl anaganga njaa tu apate ya sembe.Acheni kuwatuhumu walimu kwa tuhuma ambazo si rahisi kufanya
Naelewa vyema ninachomaanisha mkuu.
 
Naunga mkono hoja kwa 95%. Ukweli ni kwamba, Watumishi wa umma especially Walimu ni kundi la ajabu sana.
Shida nyingine ni Viongozi wa vyama vya watumishi wa umma.
Viongozi hawa kwa asilimia kubwa ni mapandikizi ya CCM/SERIKALI.
Vyama hivi havina meno hata kidogo, na hawana uwezo hata wa kuthubutu kuikemea Serikali kwa uovu huu.
 
Back
Top Bottom