CCM itakuja kufa siku walimu wakijitambua

CCM itakuja kufa siku walimu wakijitambua

Naunga mkono hoja kwa 95%. Ukweli ni kwamba, Watumishi wa umma especially Walimu ni kundi la ajabu sana.
Shida nyingine ni Viongozi wa vyama vya watumishi wa umma.
Viongozi hawa kwa asilimia kubwa ni mapandikizi ya CCM/SERIKALI.
Vyama hivi havina meno hata kidogo, na hawana uwezo hata wa kuthubutu kuikemea Serikali kwa uovu huu.
Nakazia
 
Hii serikali ya chama cha mapinduzi inadharau kuanzia mtoto mdogo mpaka kikongwe, haina adabu kabisa yani Kuna hili kundi la special group ~WALIMU linafanya kazi kwa mazingira magumu taabani kama wapo kuzimu lakini chaajabu tuhela wanavyopata hata muokota makopo anamzidi, hawajawahi kufrahia maisha tangu kuzaliwa kwao, walimu wanateseka sana mpaka huwa natoa machozi ila shida kubwa hawajitambui.

Walimu hawajitambui kwa sababu kuu ya umasikini. Hawajui kugoma kama wale wa Uganda maana wakigoma tu wanatishiwa kufukuzwa kazi Sasa wao wanaogopa ilihali hiyo kazi yenyewe pesa yake ni ndogo mpaka ATM inamcheka. Walimu nawashauri kwenye majukwaa yenu, magroup yenu ya WhatsApp, kwenye semina zenu jihamasisheni muanze mgomo. Serikali ya ccm iliahidi nyongeza ya 23% mkasema mama anaupiga mwingi haya sasa nadhani mmeona.

Mbona walimu mmezubaa kiasi hiki jamani halafu mmekuwa wahanga wa kutapeliwa mara QNET mpaka kwenye vyama vyenu vinawatapeli. Mwenge ukipita unalazimishwa kuchangia manina, mnatumiwa kwenye mipango kazi ya miongo na nusu miongo kama uchaguzi mkuu na sensa maana nyinyi ni cheap labour wakiamini pesa hamzijui mkipewa buku ten per day mnakuwa midomo ya ngiri sijui mkoje.

Walimu mko wengi nchi hii. Wale wa shule ya msingi hamasisheni maandamano ya wanafunzi waingie barabarani kupinga kupanda kwa gharama za maisha nchini, hali kadharika hivyo hivyo na wale wa sekondari mpaka chuo kikuu hamasisheni wanafunzi wagome na kuandamana barabarani naamini hawatakataa. Hilo likifanyika serikali hii itatia adabu.

N. B. picha ya chini haina uhusiano wowote View attachment 2300756
Walimu wanatukosea sana na wanakosea taaluma yao kwa sababu ya marupurupu ya kijinga.
 
Binafsi walimu wanastahili mazingira magumu Tena zaidi na zaidi, Hawa wapuuzi ni sehemu ya waliotufikisha hapa na bado wallah 😬😬,Kila mwaka wa uchaguzi ndo viherehere wa kushiriki fraud kwenye chaguzi- Nasema Tena kazi iendelee
Wanaliumiza taifa na kujiumiza wenyewe ni sawa na chatu kutaka kuvunja msumeno,walimu wanakosea sana.
 
Mimi nimefanya kazi ya ualimu miaka kadhaa nakuambia kwa Tanzania Mwalimu hata akatwe 95%ya mshahara wake hata kaa agome kwa maana huko vijini wanakopa sana mwisho Wa mwezi anautegemea sana ukiwawashauri tugome wengine wanakuambia nikigomea mshahara wadeni wangu nitawaambiaje wengine ajira walilata kwa bahati kwa kuombewa na baba au MJOMBA au shangazi ataacheje ni ngumu sana
Sio walimu tu ambao hawagomi hata we hapo huna uwezo wa kugoma,ndio maana mafuta yanapanda Kila siku lakini huna lolote unaloweza fanya
 
Hao walimu unaowanga kwa system ya uchaguzi ilivyo sijajua mwalimu kama anaweza akawa na uwezo wa kufanya fraud kwenye matokeo ya uchaguzi kama ni uchakachuaji unaweza fanyika ngazi ya halmashauri huku chini mwl anaganga njaa tu apate ya sembe.Acheni kuwatuhumu walimu kwa tuhuma ambazo si rahisi kufanya
Mjinga tu ndo ataamini walimu ndo wanaoiweka CCM madarakani
 
Kusimamia chaguzi kwa weledi na haki bila kupendelea chama tawala hapo ccm itang'oka bila kupenda.
Umewahi simamia Uchaguzi? Jitahidi mwaka Mmoja usimamie Uchaguzi.Utakuja niambia kuwa hao watu unaowasema huwa unawaonea bure
 
Zamani nilikuwa nawatetea Sana hawa watumishi waalimu

Naanza kukuelewa mleta mada hii kada Kuna shida mahali Kuna jiran yangu ni mwalimu eti jina lake la sensa halijarudi analalamika Sana anadai atampigia mwenyekiti wa CCM wilaya kwani uchaguzi 2020 alipambana Sana sasa sijui alipambania nini?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kama ungejua kifupi cha neno mwalimu haya yote usingeyaandika.Maana kirefu chake kinaendana na hali halisi ya maisha ya walimu walio wengi.
 
Ccm haiwezi kuondolewa madarakani na walimu wala walimu hawawezi kuiondoa ccm madaraka nipe mfano duniani ambapo walimu waliweza kuiondoa serikali madarakani. Mimi ntakupa mfano wa jeshi kuondoa serikali madarakani

mfano wako wa uganda na mgomo wa walimu vipi wameweza iondoa serikali ya museveni madarakani?
au unapiga makelele baada ya kukosa sensa
kwa taarifa na makamasi yako kichwani 23% ilikuwa ya wafanyakazi wote sio walimu kwa ujinga wako unajua wafanyakazi tz ni walimu tuuu

bahati ulio pata unaishi karibu na walimu kuliko kada nyingine
kwa taarifa yako Ccm itaondolewa madarakani na
1 Tume huru
2upinzani thabiti sio huu wenu wa kina mdude na wewe yani watoke ccm aingie mdude na kina lema never *****
3, usimamizi wa sheria ulio thabit

Nb, mod; kumekuwa na nyuzi nyingi sana za kuwatukana walimu nowdays mnafumbia macho mtu kagongewa mkewe na mwl anatukana walimu mtu kakosa sensa anatukana walimu
mtu kagongewa mama ake na mwalimu anatukana walimu
mtu kagogewa dada ake na mwl anatukana walimu

hebu tuwaache walimu wafanye kazi wafundishe wenetu wapate hako ka elimu sisi wengine kaya maskini tunaona walimu bado mashujaa
 
Hii serikali ya chama cha mapinduzi inadharau kuanzia mtoto mdogo mpaka kikongwe, haina adabu kabisa yani Kuna hili kundi la special group ~WALIMU linafanya kazi kwa mazingira magumu taabani kama wapo kuzimu lakini chaajabu tuhela wanavyopata hata muokota makopo anamzidi, hawajawahi kufrahia maisha tangu kuzaliwa kwao, walimu wanateseka sana mpaka huwa natoa machozi ila shida kubwa hawajitambui.

Walimu hawajitambui kwa sababu kuu ya umasikini. Hawajui kugoma kama wale wa Uganda maana wakigoma tu wanatishiwa kufukuzwa kazi Sasa wao wanaogopa ilihali hiyo kazi yenyewe pesa yake ni ndogo mpaka ATM inamcheka. Walimu nawashauri kwenye majukwaa yenu, magroup yenu ya WhatsApp, kwenye semina zenu jihamasisheni muanze mgomo. Serikali ya ccm iliahidi nyongeza ya 23% mkasema mama anaupiga mwingi haya sasa nadhani mmeona.

Mbona walimu mmezubaa kiasi hiki jamani halafu mmekuwa wahanga wa kutapeliwa mara QNET mpaka kwenye vyama vyenu vinawatapeli. Mwenge ukipita unalazimishwa kuchangia manina, mnatumiwa kwenye mipango kazi ya miongo na nusu miongo kama uchaguzi mkuu na sensa maana nyinyi ni cheap labour wakiamini pesa hamzijui mkipewa buku ten per day mnakuwa midomo ya ngiri sijui mkoje.

Walimu mko wengi nchi hii. Wale wa shule ya msingi hamasisheni maandamano ya wanafunzi waingie barabarani kupinga kupanda kwa gharama za maisha nchini, hali kadharika hivyo hivyo na wale wa sekondari mpaka chuo kikuu hamasisheni wanafunzi wagome na kuandamana barabarani naamini hawatakataa. Hilo likifanyika serikali hii itatia adabu.

N. B. picha ya chini haina uhusiano wowote View attachment 2300756
Kabla ya kuwalaumu walimu tuanze kuwalaumu wanaojiita opposition waliosema Lucy ni fisadi papa kisha wakamkaribisha kulala master bedroom
 
Walimu wana nafasi kubwa hapa nchini, lakini hao pekee hawatoshi kuitoa CCM madarakani.

Inatakiwa watu wa Tanganyika wachukue mfano wa sri-lanka na kumtoa yule bibi pale.
it will come with a Great cost but it will be productive.


AMANI HAIIJI BURE, ILA KWA NCHA YA UPANGA!
 
Back
Top Bottom