CCM isijifiche kwa Putin, bei zilishapanda kitambo sana

100% Kwani unajitahidi sana kuitetea serikali na mapungufu yake!! Hata hivyo muanze kumuelemisha mama kuwa asizungumzie tu juu ya INFLATION bali kuna uwezekano nchi ikaingia kwenye hali mbaya zaidi ya RECESSION kama hamtakuwa makini na kuuthibiti mfumuko wa bei!
Nchi haikuingia kwenye recession kipindi cha Jiwe wakati uchumi ulikuwa horrible ndio ije kuingia saizi?

Unaelewa maana ya inflation wa bei?

Screenshot_20220303-121310.png
 
Back
Top Bottom