maliyamungu Bashite na Lipumba ndiyo walimshauri Mtukufu malaika wa chato aidhinishe pesa za kuwanunua Wapinzani toka Hazina kwa Doto na wao kujinufaisha kupitia cha juu 10%
maliyamungu Bashite na Lipumba ndiyo walimshauri Mtukufu malaika wa chato aidhinishe pesa za kuwanunua Wapinzani toka Hazina kwa Doto na wao kujinufaisha kupitia cha juu 10%
Mkuu kauli yako imeonekana ya kitoto ndio maana nikakujibu hivyoMku ww inaongozwa na shule. Hivi kuna msomi aliyesoma alafu akaja mtaani kuja kumdharau waliishia primary huyu ana weza kuwa msomi mwenye jeuri yaani ktk mji aliotoka ndo msomi pekee.
Mji wenye vipofu mwenye jicho moja ndo mfalme
Na hapo penye umauti ndipo anguko la wasababishaji wa mautiZamani ukiona Picha ya Lema unajua anamtikisa Rais lakin Siku hizi unakutana na Picha kabeba Mzoga wa Mbwa anaufukia!
Mku utoto nao ni umri kwani vipiMkuu kauli yako imeonekana ya kitoto ndio maana nikakujibu hivyo
Akili za CCM ni kuzuia watanzania wasijue haki zao kwa sasa, Uchaguzi hauna maana kwani CCM wanajisimika ushindi kwa kuwatumia polisiccm uchakachuaji wa sasa ni hatari zaidi mawakala wanakamatwa wanabambikiwa kesi wapiga kura hawaruhusiwi kulinda sanduku la kura, yaani CCM mnatamani hata mitandao ya simu ife kusiwepo Whatsapp, JF na mitandao yote Nchi irejee kwenye Analogia kabsa, CCM wanataka mfumo wa chama kimoja urejee pesa inayotumika kuwanunua Wapinzani kurudia uchaguzi ingeweza kuleta maendeleo na wananchi wangewapigia kura CCM pasipo kutumia nguvu kudhoofisha upinzani, pesa za walipa kodi pesa za Umma inapigwa na Maliyamungu Bashite na Lipumba kwa njia haramu kazi ya kuwanunua Wapinzani kuwakomoa kuwadhalilisha kuwabambikia kesi, kuwapiga Risasi kuzuia maombi ya kuwaombea Wapinzani ni Aibu kubwa watanzania wameamka wanajua kila kitu huko CCM msidhani wamelala wanajipanga kuja na njia bora za kuwatia Adabu CCM.Kwa hiyo hizo smart phone ndo mnapiga nazo picha za majengo mapya ya chuo kikuu dsm kutuonyesha nyufa sio. Ngoja tuangalie namna ya kurudisha zile za tochi tu ili watu wafanye kazi
Maliyamungu Bashite na Lipumba sasa wameshiba pesa haramu za kuwanunua Wapinzani wamemtuma Abdalah kambaya wa CUF kusaka waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali Duniani wakiamini kupitia Ndumba watafanikiwa kufanya unyama wao milele pasipo kuadhibiwa na watanzania na Mungu.ccm itaangushwa na kizazi makini karne ijayo siyo hii ya
Wivu
Fitina
Majungu
Ukabila
Umimi
Ubashite
Majigambo
Bado afrika hatujasettle vya kutosha na CCM haitatolewa madarakani Kwa kura ila Kwa nguvu ya UMMA
Nguvu ya UMMA Tanzania ipo misibani in small scale region not national wide
Bakiza maneno ya kuongea nchi bado inaendeshwa na wahisani
Uchaguzi hauna maana tena kwa sababu wakurugenzi huenda na matokeo mifukoni kwa sasa CCM wanajiteua wenyewe kwa kutumia polisiccm.'..mkurugenzi unapewa posho,gari,nyumba na ulinzi...halafu unatangaza mpinzani kashinda..!!? By RPM
Haha.Maliyamungu Bashite na Lipumba sasa wameshiba pesa haramu za kuwanunua Wapinzani wamemtuma Abdalah kambaya wa CUF kusaka waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali Duniani wakiamini kupitia Ndumba watafanikiwa kufanya unyama wao milele pasipo kuadhibiwa na watanzania na Mungu.
Marehemu Slobodan Milosovitch aliyekuwa raisi wa Yugoslavia ni mfano mzuri kwa utawala wa kidikteta kuanguka pale polisi na wanajeshi waliposalim amri na kuungana na waandamanaji kumtoa dikteta huyo Ikulu, Mwisho wa siku dikteta huyo alijinyonga akiwa mahabusu huko The Hague, kwenye mahakama ya uhalifu ya Kimataifa.Kuna kila dalili kuwa ccm inaenda kusambaratika
Miaka ya nyuma tuliambiwa ccm Ina mbinu nyingi za ushindi
Nikweli kipind cha nyuma ccm kushindwa ilikuwa Ni swala la kushangaza
Ila kwa zama hizi mambo yamebadilika sana
Ushawah wa ccm umeyeya wanaogopa siasa za majukwaan Sasa wamehamia kwenye SIASA zZA KIBABE
Bahati nzuri historia huwa haidanganyi utawala wa mabavu ndio huwa hatua ya mwisho kabisa kwa wadhalimu kungatuka
Kung'atuka huchukua siku moja tu, huchukua mtu mmoja tu kuongoza mabadiliko huwa haiitaji Chama cha siasa,
Ipo siku atatokea mtu mmoja, kila atachokisema umma utamskiliza
Nawasihii ccm waachane na siasa za kizamani siasa za kuyumbisha
Mabadiliko huwa hayaitaji watu wengi kuleta mabadiliko it happened once a dedicated and patriotic man
Haya mambo ya vyama it's path way to challenge an immoral ruling
Haiitaji kununua wabunge ili ccm iendelee kuwa hai zama zimebadilika
The wind of changes... Tupo million 50
Siku moja isiyokuwA na Jina polis watashirikiana na umma, jeshi litakuwa upande umma
Wataawala mnaopiga watu risasi., mnaoua. Mnaonyanyasa
Dunia hubadilika chungeni sana
Rafik zangu wa ccm wananiambia kuwa wanataka waifanye act ya Zito kuwa na wabunge wengi kuliko Chama kingne cha upinzani
Play hard but don't forget time is. Money
MugabeDua LA Kuku kamwe halimpati mwewe
Huu ni upuuzi na fikra za kilofa sana! Badala ya kusema ukweli kuwa UKIWA umeingia Huko Upinzani! Nyambaf sanaKuna kila dalili kuwa ccm inaenda kusambaratika
Miaka ya nyuma tuliambiwa ccm Ina mbinu nyingi za ushindi
Nikweli kipind cha nyuma ccm kushindwa ilikuwa Ni swala la kushangaza
Ila kwa zama hizi mambo yamebadilika sana
Ushawah wa ccm umeyeya wanaogopa siasa za majukwaan Sasa wamehamia kwenye SIASA zZA KIBABE
Bahati nzuri historia huwa haidanganyi utawala wa mabavu ndio huwa hatua ya mwisho kabisa kwa wadhalimu kungatuka
Kung'atuka huchukua siku moja tu, huchukua mtu mmoja tu kuongoza mabadiliko huwa haiitaji Chama cha siasa,
Ipo siku atatokea mtu mmoja, kila atachokisema umma utamskiliza
Nawasihii ccm waachane na siasa za kizamani siasa za kuyumbisha
Mabadiliko huwa hayaitaji watu wengi kuleta mabadiliko it happened once a dedicated and patriotic man
Haya mambo ya vyama it's path way to challenge an immoral ruling
Haiitaji kununua wabunge ili ccm iendelee kuwa hai zama zimebadilika
The wind of changes... Tupo million 50
Siku moja isiyokuwA na Jina polis watashirikiana na umma, jeshi litakuwa upande umma
Wataawala mnaopiga watu risasi., mnaoua. Mnaonyanyasa
Dunia hubadilika chungeni sana
Rafik zangu wa ccm wananiambia kuwa wanataka waifanye act ya Zito kuwa na wabunge wengi kuliko Chama kingne cha upinzani
Play hard but don't forget time is. Money
Mugabe
Mabadiliko huwa hayaombwiDua LA Kuku kamwe halimpati mwewe
Mkuu pohamba nakuheshimu lkn uchambuz wako umejaa siasa na sio uhalisiaTangu utabiri wa kusema CCM inaanguka hivi karibuni uanze imeshatimia robo karne ( 1992-2017) 25 years!
NCCR Mageuzi washapotea, TLP washapotea, CUF washapotea
Hata Chadema ndo wanaelekea huko Zamani ukiona Picha ya Lema unajua anamtikisa Rais lakin Siku hizi unakutana na Picha kabeba Mzoga wa Mbwa anaufukia!
Itakuja siku moja mitaa itafurika watu ccm hawataaminiCCM ilishakufa siku nyingi kilichobaki ni police na tume ya uchaguzi.
CCM ilishakufa siku nyingi kilichobaki ni police na tume ya uchaguzi.