Akili za CCM ni kuzuia watanzania wasijue haki zao kwa sasa, Uchaguzi hauna maana kwani CCM wanajisimika ushindi kwa kuwatumia polisiccm uchakachuaji wa sasa ni hatari zaidi mawakala wanakamatwa wanabambikiwa kesi wapiga kura hawaruhusiwi kulinda sanduku la kura, yaani CCM mnatamani hata mitandao ya simu ife kusiwepo Whatsapp, JF na mitandao yote Nchi irejee kwenye Analogia kabsa, CCM wanataka mfumo wa chama kimoja urejee pesa inayotumika kuwanunua Wapinzani kurudia uchaguzi ingeweza kuleta maendeleo na wananchi wangewapigia kura CCM pasipo kutumia nguvu kudhoofisha upinzani, pesa za walipa kodi pesa za Umma inapigwa na Maliyamungu Bashite na Lipumba kwa njia haramu kazi ya kuwanunua Wapinzani kuwakomoa kuwadhalilisha kuwabambikia kesi, kuwapiga Risasi kuzuia maombi ya kuwaombea Wapinzani ni Aibu kubwa watanzania wameamka wanajua kila kitu huko CCM msidhani wamelala wanajipanga kuja na njia bora za kuwatia Adabu CCM.