CCM ipo kwenye hatua za mwisho kuanguka

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,641
Kuna kila dalili kuwa ccm inaenda kusambaratika

Miaka ya nyuma tuliambiwa ccm Ina mbinu nyingi za ushindi

Nikweli kipind cha nyuma ccm kushindwa ilikuwa Ni swala la kushangaza
Ila kwa zama hizi mambo yamebadilika sana
Ushawah wa ccm umeyeya wanaogopa siasa za majukwaan Sasa wamehamia kwenye SIASA zZA KIBABE

Bahati nzuri historia huwa haidanganyi utawala wa mabavu ndio huwa hatua ya mwisho kabisa kwa wadhalimu kungatuka

Kung'atuka huchukua siku moja tu, huchukua mtu mmoja tu kuongoza mabadiliko huwa haiitaji Chama cha siasa,
Ipo siku atatokea mtu mmoja, kila atachokisema umma utamskiliza

Nawasihii ccm waachane na siasa za kizamani siasa za kuyumbisha

Mabadiliko huwa hayaitaji watu wengi kuleta mabadiliko it happened once a dedicated and patriotic man
Haya mambo ya vyama it's path way to challenge an immoral ruling

Haiitaji kununua wabunge ili ccm iendelee kuwa hai zama zimebadilika

The wind of changes... Tupo million 50
Siku moja isiyokuwA na Jina polis watashirikiana na umma, jeshi litakuwa upande umma

Wataawala mnaopiga watu risasi., mnaoua. Mnaonyanyasa

Dunia hubadilika chungeni sana

Rafik zangu wa ccm wananiambia kuwa wanataka waifanye act ya Zito kuwa na wabunge wengi kuliko Chama kingne cha upinzani

Play hard but don't forget time is. Money
 
Tangu utabiri wa kusema CCM inaanguka hivi karibuni uanze imeshatimia robo karne ( 1992-2017) 25 years!

NCCR Mageuzi washapotea, TLP washapotea, CUF washapotea
Hata Chadema ndo wanaelekea huko Zamani ukiona Picha ya Lema unajua anamtikisa Rais lakin Siku hizi unakutana na Picha kabeba Mzoga wa Mbwa anaufukia!
 
Ccm mbona ilishajifia siku nyingi tu.inapofikia hatua za kununua madiwani, Wabunge halafu unasahau mioyo ipo kwa wananchi na wakumbuke pia miaka hii sio zama zile za ujima asilimia kubwa ya wananchi wanajitambua na wana smartphone mpaka vijijini zimetapakaa na wanajua mipango yoote mibovu ya Chama hiki chakavu ole wenu nyie mnaotumia kodi yetu vibaya Kwa ajiri ya huu ujinga eti muue vyama vya upinzani kwa karne hii hamtaweza pamoja na bunduki zenu na mapanga
 
Ccm mbona ilishajifia siku nyingi tu.inapofikia hatua za kununua madiwani, Wabunge halafu unasahau mioyo ipo kwa wananchi na wakumbuke pia miaka hii sio zama zile za ujima asilimia kubwa ya wananchi wanajitambua na wana smartphone mpaka vijijini zimetakaa na wanajua mipango yoote mibovu ya Chama hiki chakavu
Mgonjwa kujipa moyo wa kupona ugonjwa wake ni haki ya kikatiba

Kila ikifika Miaka mitano huibuka Watabiri Uchwara na kusema ndio Mwisho wa CCM

Kuna waliosema 2010 ndio Mwisho wa CCM
Baadae wakasema 2015 na wakaapa kabisa

Sasa hivi Watabiri wa Kichina China wanasema tusubiri 2020
Ikifika 2020 baada ya Uchaguzi wanakwambia 2025
 
Ccm mbona ilishajifia siku nyingi tu.inapofikia hatua za kununua madiwani, Wabunge halafu unasahau mioyo ipo kwa wananchi na wakumbuke pia miaka hii sio zama zile za ujima asilimia kubwa ya wananchi wanajitambua na wana smartphone mpaka vijijini zimetakaa na wanajua mipango yoote mibovu ya Chama hiki chakavu
Kwa hiyo hizo smart phone ndo mnapiga nazo picha za majengo mapya ya chuo kikuu dsm kutuonyesha nyufa sio. Ngoja tuangalie namna ya kurudisha zile za tochi tu ili watu wafanye kazi
 
Tangu utabiri wa kusema CCM inaanguka hivi karibuni uanze imeshatimia robo karne ( 1992-2017) 25 years!

NCCR Mageuzi washapotea, TLP washapotea, CUF washapotea
Hata Chadema ndo wanaelekea huko Zamani ukiona Picha ya Lema unajua anamtikisa Rais lakin Siku hizi unakutana na Picha kabeba Mzoga wa Mbwa anaufukia!
Sio utabili we ndio hujitambui Kati ya vyama vya upinzani na ccm kipi kinachokufa???? Umeshawahi kujiuliza toka mwaka 1995 CCM ilikuwa na wabunge wangapi 2000,2005,2010,15, waliokuwa wanapungua no.ni wa ccm au upinzani? Tafakari na ujiulize kufikia 2025 au 30 watapungua wangapi tena?
 
Mku na mwanachama mwenzangu usibishane tubishe kwa hoja kwani inawezekana kuna mambo yanaonekana ukibisha juju bila hoja bado unadaiwa.Dawa ya hoja inapanguliwa na hoja ukijibu kiuwepesi wenye hoja wanatuchulia kama watu tulioshindwa kweli

'..mkurugenzi unapewa posho,gari,nyumba na ulinzi...halafu unatangaza mpinzani kashinda..!!? By RPM
 
Tangu utabiri wa kusema CCM inaanguka hivi karibuni uanze imeshatimia robo karne ( 1992-2017) 25 years!

NCCR Mageuzi washapotea, TLP washapotea, CUF washapotea
Hata Chadema ndo wanaelekea huko Zamani ukiona Picha ya Lema unajua anamtikisa Rais lakin Siku hizi unakutana na Picha kabeba Mzoga wa Mbwa anaufukia!
72a67bc5298bfd53921d1bccaca49512.jpg
 
Kwa hiyo hizo smart phone ndo mnapiga nazo picha za majengo mapya ya chuo kikuu dsm kutuonyesha nyufa sio. Ngoja tuangalie namna ya kurudisha zile za tochi tu ili watu wafanye kazi
angalia akili zako we nae hapa jukwaani siku hizi hakuna cha Great thinkers Kumbe kuna Thinkers uchwara tu tena wenye mawazo ya std 4
 
Sio utabili we ndio hujitambui Kati ya vyama vya upinzani na ccm kipi kinachokufa???? Umeshawahi kujiuliza toka mwaka 1995 CCM ilikuwa na wabunge wangapi 2000,2005,2010,15, waliokuwa wanapungua no.ni wa ccm au upinzani? Tafakari na ujiulize kufikia 2025 au 30 watapungua wangapi tena?

Hesabu za Siasa sio za sequence and series Wewe!

Seif Sharif Hamad Mwaka 1995 alizidiwa kura elf 2 na Dkt Salmeen Amour sawa na 0.8% Sasa hivi ni Mwaka wa 20 anasubiria kuapishwa!

Kura za Urais na Wabunge walizopata wapinzani 1995 ni nyingi kuliko walizopata Mwaka 2000 na chache zaid kuliko walizopata Mwaka 2005!
Labda nikupe mifano
Mzee Mkapa Mwaka 1995 alipata 61% dhidi ya Mrema
Mwaka 2000 akapata 75% dhidi ya Lipumba

Jk akaja kuvunja record ya kupata 82% Mwaka 2005

Mwaka 2010 zikashuka na 2015 zikashuka zaid lakin huo sio ushahidi kuwa zikashuka au kupanda 2020 kwa kuwa Sisa haifuati hesabu za Sequense and series!

Robo karne Sasa hata theluthi Moja Bungeni hamjafikia bado mnajiona mna Mafanikio !
 
Kuna kila dalili kuwa ccm inaenda kusambaratika

Miaka ya nyuma tuliambiwa ccm Ina mbinu nyingi za ushindi

Nikweli kipind cha nyuma ccm kushindwa ilikuwa Ni swala la kushangaza
Ila kwa zama hizi mambo yamebadilika sana
Ushawah wa ccm umeyeya wanaogopa siasa za majukwaan Sasa wamehamia kwenye SIASA zZA KIBABE

Bahati nzuri historia huwa haidanganyi utawala wa mabavu ndio huwa hatua ya mwisho kabisa kwa wadhalimu kungatuka

Kung'atuka huchukua siku moja tu, huchukua mtu mmoja tu kuongoza mabadiliko huwa haiitaji Chama cha siasa,
Ipo siku atatokea mtu mmoja, kila atachokisema umma utamskiliza

Nawasihii ccm waachane na siasa za kizamani siasa za kuyumbisha

Mabadiliko huwa hayaitaji watu wengi kuleta mabadiliko it happened once a dedicated and patriotic man
Haya mambo ya vyama it's path way to challenge an immoral ruling

Haiitaji kununua wabunge ili ccm iendelee kuwa hai zama zimebadilika

The wind of changes... Tupo million 50
Siku moja isiyokuwA na Jina polis watashirikiana na umma, jeshi litakuwa upande umma

Wataawala mnaopiga watu risasi., mnaoua. Mnaonyanyasa

Dunia hubadilika chungeni sana

Rafik zangu wa ccm wananiambia kuwa wanataka waifanye act ya Zito kuwa na wabunge wengi kuliko Chama kingne cha upinzani

Play hard but don't forget time is. Money
Matapishi
 
Ccm mbona ilishajifia siku nyingi tu.inapofikia hatua za kununua madiwani, Wabunge halafu unasahau mioyo ipo kwa wananchi na wakumbuke pia miaka hii sio zama zile za ujima asilimia kubwa ya wananchi wanajitambua na wana smartphone mpaka vijijini zimetapakaa na wanajua mipango yoote mibovu ya Chama hiki chakavu ole wenu nyie mnaotumia kodi yetu vibaya Kwa ajiri ya huu ujinga eti muue vyama vya upinzani kwa karne hii hamtaweza pamoja na bunduki zenu na mapanga
Pesa ya kuwanunua Wapinzani ni pesa za walipa kodi na pesa za kurudia uchaguzi ni pesa za walipa kodi na pesa inayotumika kuchakachua na kuwa polisiccm wawanyanyase Wapinzani, Dili la kuwanunua Wapinzani linaongozwa na Maliyamungu Bashite na Lipumba wakishirikiana na Le mutuz na Jerry muro, kila mpinzani anayenunuliwa wanakula 10% ni Mladi Haramu kupata kutokea nchini ni Ufisadi wa kisayansi uliobuniwa na Madalali wa siasa huko CCM.
 
angalia akili zako we nae hapa jukwaani siku hizi hakuna cha Great thinkers Kumbe kuna Thinkers uchwara tu tena wenye mawazo ya std 4
Mku ww inaongozwa na shule. Hivi kuna msomi aliyesoma alafu akaja mtaani kuja kumdharau waliishia primary huyu ana weza kuwa msomi mwenye jeuri yaani ktk mji aliotoka ndo msomi pekee.

Mji wenye vipofu mwenye jicho moja ndo mfalme
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom