Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!
Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula ili kuwezesha wanaofunga kukamilisha hili kwa amani na furaha!
Serikali ihakikishe inasimamia na kudhibiti wanaotaka kuchuma faida kubwa za duniani kwa kupandisha bei ya vyakula badala ya kutumia mwezi huu kuvuna baraka za mwenyezi Mungu kwa kutenda haki!
Wana CCM tuongoze kwa kuwa mfano bora kwa kutenda haki kwenye biashara zetu! Kwakuwa CCM ndio chama tawala, basi sisi tukiongoza kwa kutenda haki nchi yetu itapata baraka kubwa zinazotokana na mwezi huu mtukufu!
NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA!
Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Taifa
kaka haya ndio madhara ya akili ndogo kuongoza akili kubwa,,, nape hajui alitendalo mkuuBwana Nape,
Nadhani unaweza kuwa kiongozi mzuri, lakini uhaharibiwa na huko uliko. Jana nimekusikia ukikanusha na kutetea chama chako CCM kuhusu tuhuma za Mabere Marando. Kwa mtu makini asingelikanusha bila kuwa na uhakika kama anachokisema Marando ni sahihi. Umechukua unazi wako na CCM. Suppose ushahidi usio na mashaka unatolewa kuhusiana na aliyoyasema, jamii ya wasomi/waelewa/wachambuzi wa mambo watakuweka kundi lipi/wapi. suppose unakuwa Rais kesho utakurupuka kutoa kauli bila ushahidi hivyo!! If it were me I will request Marando to provide evidence rather than rushing to acussations against Marando. Nakutakia kazi njema.
Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!
Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula ili kuwezesha wanaofunga kukamilisha hili kwa amani na furaha!
Serikali ihakikishe inasimamia na kudhibiti wanaotaka kuchuma faida kubwa za duniani kwa kupandisha bei ya vyakula badala ya kutumia mwezi huu kuvuna baraka za mwenyezi Mungu kwa kutenda haki!
Wana CCM tuongoze kwa kuwa mfano bora kwa kutenda haki kwenye biashara zetu! Kwakuwa CCM ndio chama tawala, basi sisi tukiongoza kwa kutenda haki nchi yetu itapata baraka kubwa zinazotokana na mwezi huu mtukufu!
NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA!
Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Taifa
Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!
Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula ili kuwezesha wanaofunga kukamilisha hili kwa amani na furaha!
Serikali ihakikishe inasimamia na kudhibiti wanaotaka kuchuma faida kubwa za duniani kwa kupandisha bei ya vyakula badala ya kutumia mwezi huu kuvuna baraka za mwenyezi Mungu kwa kutenda haki!
Wana CCM tuongoze kwa kuwa mfano bora kwa kutenda haki kwenye biashara zetu! Kwakuwa CCM ndio chama tawala, basi sisi tukiongoza kwa kutenda haki nchi yetu itapata baraka kubwa zinazotokana na mwezi huu mtukufu!
NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA!
Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Taifa
angalia red, siku nyingine sema ccm kinawatakia ( chama cha mapinduzi kinawatakia) SIO CHAMA CHA MAPINDUZI INAWATAKIA ramadhani njema , kama ulivyoandika !!Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!
Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula ili kuwezesha wanaofunga kukamilisha hili kwa amani na furaha!
Serikali ihakikishe inasimamia na kudhibiti wanaotaka kuchuma faida kubwa za duniani kwa kupandisha bei ya vyakula badala ya kutumia mwezi huu kuvuna baraka za mwenyezi Mungu kwa kutenda haki!
Wana CCM tuongoze kwa kuwa mfano bora kwa kutenda haki kwenye biashara zetu! Kwakuwa CCM ndio chama tawala, basi sisi tukiongoza kwa kutenda haki nchi yetu itapata baraka kubwa zinazotokana na mwezi huu mtukufu!
NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA!
Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Taifa
Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!
Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula ili kuwezesha wanaofunga kukamilisha hili kwa amani na furaha!
Serikali ihakikishe inasimamia na kudhibiti wanaotaka kuchuma faida kubwa za duniani kwa kupandisha bei ya vyakula badala ya kutumia mwezi huu kuvuna baraka za mwenyezi Mungu kwa kutenda haki!
Wana CCM tuongoze kwa kuwa mfano bora kwa kutenda haki kwenye biashara zetu! Kwakuwa CCM ndio chama tawala, basi sisi tukiongoza kwa kutenda haki nchi yetu itapata baraka kubwa zinazotokana na mwezi huu mtukufu!
NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA!
Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Taifa
Mwambie baba ritz aliyekupa hicho cheo cha u mc ukituambia sisi haisaidii maana una bunduki halafu unaagiza watu wenye mikono mitupu wakimwona simba wamwueCcm tendeni haki sio kwenye bei za vitu tu bali nyanja zote!
Serikali ya chama gani na wewe ni katibu mwenezi wa chama gani? Nilitegemea utawaambia huko huko!
Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!
Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula.....
Umetumia ile machine yenu ya spoofing kuanzisha thread hii?Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu!